radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hapa ntapingana na wewe ukiangalia uchezaj na mbinu ni vitu viwili tofaut angalia utulivu wa viungo na mnyumbuliko wa pogbaMourinho ni Kocha mzuri sana kwa mbinu kuliko hata huyu OGS lkn tatizo ana ukoloni mwingi sn, kwani hapo unadhani OGS kuna anachofundisha kipya sana kuliko Wachezaji wenyewe kuwa na morali ya kujituma ili wapate matokeo mazuri?
Wachezaji walikuwa hawamtaki Mou tokana na mikwaruzano yake kila kukicha kati yake na Wachezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
