Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Mimi nikiwa kwa TV afu goli lifungwe nisipost?? Nitaumwa kwa kweliThank you my dear, hahaha style mpya ya mwaka huu,hapana dear basi tu sijui kwanini najikuta mpka mechi iishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kuna mechi nyingine ni hatari kuangalia kwa afya yako....kama leo kipindi cha pili nilihisi network imekata gafla
Sent using Jamii Forums mobile app

