Kaumia mpira ukasimama dakika nzima akitibiwa, akarudishwa akacheza kidogo akakaa chini ikabidi atolewe. Tunashukuru pale katikati alikuwa ametukamata sana.OK, sikuona kama ilikuwa serious injury.
Walitubana sana kati na sissoko alikuwa akifanya maisha yetu kipindi cha kwanza yawe magumu kidogo.Kipindi cha kwanza Totts wamekamatika sana, ni mara chache sana Spurs anamaliza dakika 45 bila shuti lililolenga lango (zero shot on target).
Uarabuni mitandao huwa inachelewa, mmiliki wa Spurs ni wa wapi vile?
Numbisa upo vizuri kwa kila kitu mdada wewe.
Chief tulimalize hili la spurs kwanza ndio tumuangalie PSG. Tunaenda second half tuone kama yajayo yatafurahisha au tutakutana na come back ya hatariUnited wanaongoza lakini wamecheza vibaya first half, Very poor pass accuracy, Martial ana dribble hovyo pia, kadhalika wakipata mpira hawaonani fresh, hopefull watajirekebisha second half. Fullbacks wanaingia sana kat kat na wanaingizwa sana pia na mpinza anae dribble kuingia ndan, kwa style hii Psg bado njia yake kwny UEafa itakuw rahis
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa upo vizuri kwa kila kitu mdada wewe.