Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilicho observe Jana

Rashford walichoka na wanahitaji kupumzishwa. Mechi ya FA wapumzishwe au wasichezeshwe dakika 90

Valencia anahitaji kuachwa mkataba wake utakapoisha June, na asiongezewe mkataba japo club ina room ya kumuongeza mwaka 1

United anahitaji kujsajili beki kati angalau 1, January hii. Tunaweza kuwategemea Lindelof na Smalling kidogo, lakini si Bailly na Jones

Herrera, Matic and Pogba combination at the middle of the park is ticking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo amewekwa benchi tutapata tabu sanaaa...huyu dogo anazunguka uwanja mzima kukaba mipira anatufanya tuone mechi rahiiiisi, sasa leo hayupo tumemuacha Martial 'mvivu wa mwisho' hawezi/hajui kukaba 'utadhani ana undugu na kibendera cha kule kushoto, habanduki pale' na hutakaa umuone anapiga krosi hata moja dakika zote 90, Angalao Shaw atapiga krosi 5.

Sent using Jamii Forums mobile app
Martial alikufanyaje ndugu mana ni siku nyingi huwa unaweka wazi kabisa humpendi. Ila kweli Dogo hakabi na hapendi kusumbuka sana japo mguuni mpira upo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeee?
red._devils-20190103-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom