Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu nisaidieni kitu hapa.

Baada ya Ferguson kuacha kazi ya ukocha kuna role yoyote alipewa kwenye timu?

Naelewa ana influence as a Legend, nachotaka kujua ni kama ana any official role.

Hii imekuja baada ya ubishi kuibuka kijiweni kwamba eti Ferguson ndiye aliyeshauri coaching team ya sasa (the whole bench), na aliyekuwa anaongoza mjadala anasema Fergie ni member wa board. Mimi nimejaribu kuangalia simwoni kwenye board.

Kuna mahali nimeona alikuwa ni Non executive director around 2013 mpaka Van Gaal anatimuliwa, so kama mtasaidia updates tafadhali.

cc: Mc cane, Damushin, Darmian, lukesam, radika, 4G LTE, Daud1990 na wengine wote.
 
Committee Charters
 
niwe mkweli brother kichwa changu ni cheupe japokuwa sijazidiwa na nyumbu pindi anapokuwa na kiu ya maji kwenye kufuatilia masuala ya uongozi na uendeshwaji wa klabu kuanzia ngazi ya juu hadi wahifadhi wa vifaa vya mazoezi, stori zangu za manchester united zinaishia old trafford peke yake hivyo basi kuliko kujifanya nina uelewa mkubwa wa mambo ngoja na mimi nisubirie elimu hii ya bure kutoka kwa waelewa. Sehemu pekee unayopaswa kujifanya unajua kila kitu ni kwenye kibanda cha kahawa na drafti ila si JF utadhalilika

lakini tukirudi mwaka 2012 wakati sir alex ferguson anatangaza kung'atuka madarakani baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu bwana Richard Arnold ambaye ni Group Managing Director na director ya kwamba sir alex atafanya kazi kama ni director na vile vile atakuwa kama ni balozi wa klabu.
kuna tovuti fulani nimeitembelea muda huu sina uhakika kama ni official baada ya kusoma comment yako wameweka list ya board of directors wa klabu ya manchester united bahati mbaya na mimi sijaliona jina la sir alex ferguson. Ukiangalia majina hayo ukimuondoa ed woodward, richard arnold, Cliff Baty, Robert Leitão na John Hooks waliobaki ni ukoo wa Glazer.
  1. Board of Directors
  2. Bloomberg - Are you a robot?
wiki iliopita niliona taarifa kwenye mitandao ikidai ya kwamba klabu imedhamiria kumpa nafasi sir alex ferguson awe ni mshauri wa klabu katika maswala ya uwanjani.

kiupande wangu siamini madai ya huyo jamaa ya kwamba benchi lote la ufundi ni mawazo ya ferguson peke yake ila ninaweza kuamini ya kwamba sir alex ferguson amehusika kwenye mpango wa kumuunganisha solskajaer na mike phelan ndani ya klabu japokuwa ole gunnar amezungumza kidiplomasia kwa mawazo yangu ya kwamba ni yeye ndiye alimtafuta mike phelan.

"Well, the first thing I thought about. Because I'm young-ish still, Kieran [McKenna] and Michael [Carrick], young, and I though I want some experience with me," he told MUTV.
"I rang Mick but he was doing a coaching course up in Burnley so I couldn't get hold of him until what must have been three or four o'clock in the afternoon. I'd got the phone call earlier in the morning so it's one of those hectic ones. He's been here, he's done it all, he's worked with the gaffer more closely than I have. He's an incredible calming influence around me and his football knowledge is really, really good."

pia siwezi kuamini ujio wa Mark Dempsey ni mawazo ya ferguson bali nitaamini yalikuwa ni mawazo ya ole gunnar solskjaer kwa sababu jamaa alifanya naye kazi tokea academy, cardiff hadi Molde FC.

Labda jamaa anafikiri wenzetu wanapangiwa mambo yote ya kufanya kama bwana yule wa palestina anavyowapangia wenziwe mikakati ya nchi kuanzia uchumi, siasa, sarafu, afya na mpaka muda wa kulala eti kwa sababu ana PHD ya mananasi kupitia chuo kikuu cha kampala.

kama ningelikuwa ndiye mrithi wa ferguson nyakati zile basi nisingelithubutu kumuondoa mike phelan na mholanzi rene meulensteen na ningeliwatafutia ajira japo ya kuosha vyombo kwa sababu wale ndio walikuwa 65% ya ubongo wa ferguson.
1546525900997.png

1546527008427.png

ukiwatoa wanadamu wawili wenye damu ya manchester uyo jamaa goalkeeping coach Emilio Alvarez (EA) ndiye peke yake aliyebakia katika wale team mourinho na sababu kubwa jamaa amemsimamia david degea tokea yupo atletico madrid.

Silvino Louro, Ricardo Formosinho, Stefano Rapetti, Carlos Lalin na Giovanni Cera wote wameondoshwa.
nadhani tumepata jawabu kwa nini tulikuwa tunalinda ovyo, hahahahaaaa wataliano katika ubora wao wakishirikiana na special one.
 
View attachment 984902
View attachment 984922

Shukrani sana mkuu, mpaka kulileta swali humu ni baada ya kutafuta sana taarifa sahihi bila mafanikio, nikasema nihusishe wadau kuona kama nitapata habari zaidi.

Hizo link mbili nimeziona, kuna taarifa ya mahojiano niliiona wakati Babu anazindua kitabu chake akiwa referred as director (something like 2015), leo nimeitafuta sijaiona.

Asante, tutaendelea kujifunza.

Nimeshindwa kumbishia jamaa nikasema tu nijielimishe kivyangu, maana hata yeye hana strong supporting evidence.
 
performance ilikuwa ya kawaida sana kulinganisha na mechi zilizopita, wapinzani waliingia na mfumo wa kukaba mwanzo mwisho na kuzuia mashambuliza karibu na box lao.

muhimu tumepata points zote na kupunguza gap la top 4

Once United Always United
upo sahihi muheshimiwa wale jamaa walikuwa wanalinda kwa nguvu kuliko KMKM na wao ndio waliifanya mechi ionekane ya kawaida kwa kitendo chao cha kukaa nyuma ovyo bila ya kufunguka.
kuhusu performance haiwezekani kila siku tucheze vizuri halafu kumbuka ya kwamba ndani ya siku 11 tumecheza mechi 4 kivyovyote wachezaji wataonyesha uchovu.

kilichonivutia zaidi kwa siku ya jana ni kwamba rasmi tumeachana na falsafa ya kumtumia marouanne fellaini kama ni mkombozi pindi mechi inapokwenda vibaya, nyakati za mourinho muda ule atamuingiza fellaini wakati nje yupo alex sanchez.

kuna baadhi ya wahuni muda huu wanaendelea kukesha kwenye nyumba za ibada wakimuombea dua mungu mwenye sura ya kitoto ashindwe kupata mafanikio ili pochettino apewe kibarua, wanasahau ya kwamba kushindwa kwa ole ndio kushindwa kwa manchester united, tunawaomba wahuni hawa tukutane wiki mbili zijazo pale wembley, sina presha yoyote kwa huu mpira tunaocheza kipindi hiki tunaumiliki zaidi ya deportivo la coruna ya fundi roy makaay

halafu yule jose mourinho anastahili kifungo cha maisha kwa kitendo chake cha kutudanganya mashabiki wa manchester united nikiwemo na mimi, alituaminisha ya kwamba 70% ya wachezaji waliopo manchester united hawana hadhi ya kuendelea kuwepo ndani ya klabu kumbe ni uongo. Kumuangalia victor lindeloff na kaka yake jones wakicheza mpira imekuwa ni raha zaidi kuliko kuangalia movie za watu wakubwa.

mashabiki wa antonio valencia anawasalimia wan bissaka, tunahitaji eneo la upande wa kulia lifanyiwe mabadiliko kwa kuondoka darmian na valencia huku tukimuingiza mlinzi mmoja wa kulia na winga mmoja wa kulia. Ashley young bado anastahili kuwepo manchester united kwa mwaka mmoja zaidi.
1546532590469.png
 
Shukrani sana mkuu, mpaka kulileta swali humu ni baada ya kutafuta sana taarifa sahihi bila mafanikio, nikasema nihusishe wadau kuona kama nitapata habari zaidi.

Hizo link mbili nimeziona, kuna taarifa ya mahojiano niliiona wakati Babu anazindua kitabu chake akiwa referred as director (something like 2015), leo nimeitafuta sijaiona.

Asante, tutaendelea kujifunza.

Nimeshindwa kumbishia jamaa nikasema tu nijielimishe kivyangu, maana hata yeye hana strong supporting evidence.
ahsante brother, ila naomba unipigie wale majirani zangu muda mchache ujao.
shida yangu kubwa msimu ujao nisiione sura ya josep guardiola pale uingereza kwa sababu kama ataendelea kuwepo atakuwa ni kikwazo kiupande wetu, jamaa ana maarifa makubwa ya kuwashawishi wachezaji.
ni bora msimu ujao adui yangu mkubwa awe jurgen klopp peke yake.
chengine kwa nini mashabiki wengi wa liverpool hamumpi heshima Georginio Gregion Emile Wijnaldum ?
 
*SAKATA LA KIBARUA CHA UKOCHA NDANI YA MANCHESTER UNITED.*
Kwanza kabisa ukiizungumzia man utd unaizungumzia klabu tajiri kabisa duniani, kifedha, kishabiki, kimvuto, na pia kwa mataji ni kati ya timu tatu au nne zenye rekodi nzuri sana ulaya hasa kwa miaka michanga ya 2000, chini ya SAF.
Baada ya SAF kustaafu, ni miaka sita sasa united haijawahi sio tu kuchukua kombe la ligi uingereza ambalo ilikua kama utamaduni wake, bali pia hata kufikia kilele cha uwezo uwanjani bado hatujafika,

Nitazungumzia sana sana aina ya kocha ambae atafaa kuibeba manchester united hii kwa kuanzia msimu ujao wa 2019-2020, lakini kabla hatujafika huko ni lazima tuainishe mahitaji yetu kama klabu, na tujiulize ikiwa tunafahamu mahitaji yetu, tumekuwa tukikwama wapi kwa kila kocha aliepita na pia huyo ajae atafaa??

Wakati SAF anastaafu, utukufu wake ulitumika zaidi kumleta David Moyes kwenye klabu yetu,
Kulingana na CV na mwenendo wa klabu yetu na mahitaji yetu ya kipindi kile, ilionekana DM ni chaguo sahihi kabisa,
Kwa sababu zifuatazo,
Mosi, Tulikua wageni kwenye soko la makocha, ugeni huu unadhihirishwa na kukumbatia itikadi ya kumvumilia kocha ilihali hakupi matokeo kwa sababu tuuu SAF alikaa miaka minne bila kombe na leo katuletea mataji 26 old trafford,
Lakini pili, ni kuendelea kukomalia kuwa sisi ni klabu vumilivu kwa makocha wasio na mwelekeo wa mataji,

*Namna DM alivyoiimarisha Everton, tukumbuke namna ambavyo tulikua tukipambana sana kupata matokeo mbele ya everton, pia DM alihakikisha everton ipo ndani ya top 6 kwa misimu mingi tena kwa uwiano mzuri,
Kwa kuwa DM alikaa everton muda mrefu, na kwa kuwa aliitengeneza everton kuwa imara, SAF na bodi ikaona ni vema kumpa timu, pengine ni kukosa pesa tuu ndo kunamfanya ashindwe kugombania ubingwa!!

Haya ndo yalikuwa mahitaji ya awali ya timu mpaka kumleta DM.

Alipofika united, DM akafeli,
Alifeli kwa sababu ya kukosa kwanza kabisa, namna ya kuwamudu wachezaji wakubwa walioshinda mataji kuliko kocha, wenye pesa kuliko kocha, wanaolipwa mshahara mkubwa kuliko kocha mwenyewe,

DM hakuweza kumudu timu kubwa, yenye mahitaji makubwa, inayowaza makubwa, badala yake DM alikua anamuonyesha carrick clip za jagielka acheze kama jagielka anavyocheza, badala yake DM anaiongoza timu kupiga krosi 96 per game bila goli lolote, kuonesha kuwa hana tactic mbadala, siku anaingia carrington anashangaa trainning kits za united, anashangaa trophy room, wachezaji wakubwa wote wakamuona hana kitu, akawapoteza,
Mwisho Moyes akafukuzwa na miaka sita yake ya mkataba!!

Baada ya Moyes kufanya wachezaji kumdharau kutokana na profile yake, vitendo vyake, kauli zake (tunaita peanut talk, yani kauli cheap) , kukosa mbinu na identity ya mpira, haya sasa yakawa ndio malengo ya kocha wetu tunaemtafuta,

LVG akawa ndie chaguo pekee lililokuepo available, ukizingatia mafanikio yake akiwa na uholanzi,
CV ya LVG imeshiba haswa, ndie muasisi wa tiktaka pale barca baada ya Johan cruyff, ndie huyu aliepandisha bayern fainali UCL mara mbili, moja anafungwa na mourinho vs Inter milan, ana falsafa ya mpira na mbinu za mchezo, ana kauli nzito kwa wachezaji na ni kocha mkubwa,

Akaleta falsafa ya pasi nyingi, bahati mbaya sana, timu ilikua haina watu wenye mpira anaotaka yeye, leo hii man city guadiola amesajili wachezaji 22, timu mbili kamili, ilimradi acheze mpira wake, sisi kwetu bodi haikuwa tayari kwa hilo, (overhaul), ikidai kile ni kikosi kikichotoka kuchukua ubingwa!!
Kingine ni wachezaji kutomuelewa lvg, kuwa waoga wa kucheza na kutokua na vipaji vya kucheza mpira wa tikitaka, ndio maana lvg akaona aanze moja kwa kuweka blackett, wilson, martial, rashford, aanze kuwafundisha upya, akina smalling hawawez kupiga pasi katika tight space, jones hawezi, ndio maana akamleta rojo, akamleta bastian schwei, watu wanaoweza kupokea mpira hata kama anavamiwa bado akatoa pasi bila kubabaika miguu wala kupiga pasi mkaa, ndivo city wanavyocheza sasa, na tunawasifu kuwa ni bora ulaya kwa sasa, wanapiga pasi hata kwenye box lao wanapiga pasi, hawana kitete, hawaogopi, ndivyo barca wanavyocheza,
Kwetu uoga wa kupoteza mipira ukafanya wachezaji wapige pasi safi tuu, yani hakuna anaethubutu kupiga pasi ya kujiongeza, hii pia inachangiwa na kocha kuwa mkali sanaa,
Mwisho wa siku lvg akafukuzwa pia,

Kutokana na kukaa muda bila makombe, na klabu bado tunataka kocha mkubwa, aibebe brand yetu, tukaacha habari za kutaka falsafa ya mpira, tukataka sasa tupate makombe tuu,
Hii ilidhihirishwa wazi baada ya ed woodward kumleta Mourinho ilihali SAF na Sir bobby charlton kugoma kukubaliana na woodward kuhusu suala la mourinho,
Mou anafahamika, hanaga mpira mzuri, hanaga falsafa maalum, lakini pia ni mtu ambae anailinda sana brand yake, yuko radhi amchafue yoyote ila sio yeye achafuke,
Ni wazi yaliotokea chini ya mou sote tunayajua, kugombana na wachezaji, kejeli, kukosa mbinu pia,

*Sasa kocha ajae anatakiwa awe vipi??*
Kuna majina mengi sana yametajwa, Zidane, Allegri, Potchetino, na mengine mengii,
Kocha ajae anatakiwa awe na falsafa ya mpira, inayoruhusu timu kufunguka zaidi na kushambulia, yani ikidhi attack attack attack, ilihali ndani ya falsafa hiyo hiyo iweze kuzuia vizuri tusifungwe,
Anachocheza OLS kwa sasa sio falsafa ile, wala hakuna mbinu pale, pale ni kawapa tu uhuru watu waende mbele wakashambulie, bado tactics hazipo, katika vita, plan ya vita ni muhimu kuliko bunduki yenyewe,
City wana defense kwa kukaa na mpira, ndio maana watu wengi city ni wale ambao wana mpira mguuni, hauchukui mpira hovyo, ukiuchukua wanakua na high defensive line, na kipa nae anasogea kusaidia beki, wakienda mbele kuna movement nyingi sana wanafanya kwenye box, kutafuta kuwekewa pasi ya mwisho,
Liverpool wanakaba wengi wengi kwa kuvamia, wakienda juu wako speed sana na wanajua nani anapita wapi kwa muda gani mpira ukiwa wapi,
Hizi ni timu bora EPL kwa sasa, lakini tuangalie aina ya wachezaji inaowachukua pia,
Leroy sane, ederson, mendy, stones, laporte, jesus,
Robertson, salah, firmino, wijnaldum, hawa wote ni under 25 yrs, ina maana wanakupa miaka 5 ya kucheza kitimu ukiwaweka pamoja chini ya falsafa nzuri,
Sisi tulisajili ilimradi tuu, usipojua unataka nini, kika mchezaji mzuri utamsajili, lakini sio kila mchezaji mzuri anakufaa,
Nimesema haya ili tujue kuwa kocha tunaemtaka je, hatutakwama kama mwanzo?
Zidane hana falsafa, mafanikio yake ya muda mfupi kwa timu iliokamilika kila idara, ni sawa na kumrudisha mou mwingine tu,
Carlo ancelloti umri umesogea sana, japo kimbinu yuko vizuri sana,
Potchetino, je hatakuwa david moyes mwingine??
Ataweza kuwamudu pogba na wenzie??
Kwaiyo tunapotafuta kocha tuangalie profile ya mahitaji yetu,
Vinginevyo naamini tuwekeze kwa potchetino tuu, ni risk lakini lazima tukubali kuanza mwanzo, tusajili wachezaji wataofit mfumo wake, sababu ni attacking pia.

@Udeh_United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahsante brother, ila naomba unipigie wale majirani zangu muda mchache ujao.
shida yangu kubwa msimu ujao nisiione sura ya josep guardiola pale uingereza kwa sababu kama ataendelea kuwepo atakuwa ni kikwazo kiupande wetu, jamaa ana maarifa makubwa ya kuwashawishi wachezaji.
ni bora msimu ujao adui yangu mkubwa awe jurgen klopp peke yake.
chengine kwa nini mashabiki wengi wa liverpool hamumpi heshima Georginio Gregion Emile Wijnaldum ?

Guardiola hata tukimpiga haondoki, City hana kawaida ya kuwapa pressure makocha na jamaa anaonekana amevuka malengo. Kwa hiyo mtaendelea kuhangaika naye.

Kuhusu Wijnaldum heshima ipo mkuu, ndo maana sasa hivi kocha anaumiza kichwa pale kwenye viungo ila jamaa nafasi yake ipo. Msimu huu baada ya timu kuleta viungo wawili, kijana jitihada imeongezeka na kuhakikisha analinda namba yake.
 
upo sahihi muheshimiwa wale jamaa walikuwa wanalinda kwa nguvu kuliko KMKM na wao ndio waliifanya mechi ionekane ya kawaida kwa kitendo chao cha kukaa nyuma ovyo bila ya kufunguka.
kuhusu performance haiwezekani kila siku tucheze vizuri halafu kumbuka ya kwamba ndani ya siku 11 tumecheza mechi 4 kivyovyote wachezaji wataonyesha uchovu.

kilichonivutia zaidi kwa siku ya jana ni kwamba rasmi tumeachana na falsafa ya kumtumia marouanne fellaini kama ni mkombozi pindi mechi inapokwenda vibaya, nyakati za mourinho muda ule atamuingiza fellaini wakati nje yupo alex sanchez.

kuna baadhi ya wahuni muda huu wanaendelea kukesha kwenye nyumba za ibada wakimuombea dua mungu mwenye sura ya kitoto ashindwe kupata mafanikio ili pochettino apewe kibarua, wanasahau ya kwamba kushindwa kwa ole ndio kushindwa kwa manchester united, tunawaomba wahuni hawa tukutane wiki mbili zijazo pale wembley, sina presha yoyote kwa huu mpira tunaocheza kipindi hiki tunaumiliki zaidi ya deportivo la coruna ya fundi roy makaay

halafu yule jose mourinho anastahili kifungo cha maisha kwa kitendo chake cha kutudanganya mashabiki wa manchester united nikiwemo na mimi, alituaminisha ya kwamba 70% ya wachezaji waliopo manchester united hawana hadhi ya kuendelea kuwepo ndani ya klabu kumbe ni uongo. Kumuangalia victor lindeloff na kaka yake jones wakicheza mpira imekuwa ni raha zaidi kuliko kuangalia movie za watu wakubwa.

mashabiki wa antonio valencia anawasalimia wan bissaka, tunahitaji eneo la upande wa kulia lifanyiwe mabadiliko kwa kuondoka darmian na valencia huku tukimuingiza mlinzi mmoja wa kulia na winga mmoja wa kulia. Ashley young bado anastahili kuwepo manchester united kwa mwaka mmoja zaidi.
View attachment 985017
Hii machine ya crystal palace sijui kwanini hatuioni..huyu ni RB ninayemwelewa sana pale EPL..mtulivu,ana umakini anadrive mbele..anatufaa sana huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom