Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Sometimes unahitaji zaidi point 3 kuliko kucheza vizuri.
Wachezaji wamepambana vya kutosha.
GGMU
Wachezaji wamepambana vya kutosha.
GGMU
Mkuu tujitahidi kuita koleo koleo sio mwiko mkubwa. Tukubali kukosoa mapungufu yanayoonekana wazi.
Mkuu tujitahidi kuita koleo koleo sio mwiko mkubwa. Tukubali kukosoa mapungufu yanayoonekana wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Martial anafunga goli zote Rashford hakuwa anacheza??Toka Ole kaingia Rashford katupia 3, Martial katupia 0. Ukumbuke pia Martial alicheza dakika 90 mechi zote kasoro leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa game na tot aisee sanchez anatakiwa anza na martial
0-0Nahitaji matokeo ya kina jorginyo huko.....
Mwenye ambae anajua anipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial maisha binafsi ya nje naona yana mchanganya sana hajaweka nia uwanjaniToka Ole kaingia Rashford katupia 3, Martial katupia 0. Ukumbuke pia Martial alicheza dakika 90 mechi zote kasoro leo.
Sent using Jamii Forums mobile app