Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ahsante brother, ila naomba unipigie wale majirani zangu muda mchache ujao.
shida yangu kubwa msimu ujao nisiione sura ya josep guardiola pale uingereza kwa sababu kama ataendelea kuwepo atakuwa ni kikwazo kiupande wetu, jamaa ana maarifa makubwa ya kuwashawishi wachezaji.
ni bora msimu ujao adui yangu mkubwa awe jurgen klopp peke yake.
chengine kwa nini mashabiki wengi wa liverpool hamumpi heshima Georginio Gregion Emile Wijnaldum ?
Daaa yaani Mimi hakuna kitu kitaninyima raha kama Liverpool akichukua ubingwa. Wataongea mpaka tutasahau kwamba hawajachukua ubingwa kwa miaka cjui 27. Halafu Hawa ndio wapinzani wetu kimafanikio
 
Hivi JF kwenye Nyuzi za club kuna uzi uliochangamka kama wa kwetu??

Sent using Jamii Forums mobile app
uzi wa liverpool japokuwa siipendi pia unafanya vizuri sana.
uwepo wa king ngwaba, mosdef, don clericuzio, malyafele, m-babe, advocate FI na wadau wengine umekuwa ni kisima cha maarifa.
 
ahsante brother, ila naomba unipigie wale majirani zangu muda mchache ujao.
shida yangu kubwa msimu ujao nisiione sura ya josep guardiola pale uingereza kwa sababu kama ataendelea kuwepo atakuwa ni kikwazo kiupande wetu, jamaa ana maarifa makubwa ya kuwashawishi wachezaji.
ni bora msimu ujao adui yangu mkubwa awe jurgen klopp peke yake.
chengine kwa nini mashabiki wengi wa liverpool hamumpi heshima Georginio Gregion Emile Wijnaldum ?
kocha yeyote anaechukua ubingwa mbele ya Pep, Klopp, Pochettino huyo ni kocha bora pia ni timu bora nashangaa unavyokata Pep asiwepo
 
nadhani itakuwa umenielewa vibaya muheshimiwa, nataka pep guardiola afanye vibaya ili aondoke kwa faida ya kwetu sisi japokuwa ni vigumu kwa uongozi wa manchester city kufanya mamuzi ya kumtimua hata kama atashindwa kuwapa ubingwa wa ligi au UEFA msimu huu.

nataka manchester city irudi kwenye nyakati zile walizokuwa wakifanya biashara za usajili za wachezaji aina ya mangala, demichellis, wilfred bonny, joleon lescott, jack rodwell, santa cruz, kolo toure,bakary sagna n.k.

angalia mabadiliko ya liverpool tokea timu akabidhiwe klopp wameacha kufanya sajili za ovyo kama za andy carroll, charlie adam, marcovic, aquillani, koncheski na wengineo jambo ambalo limepelekea iwachukue miaka 4 warudi kwenye ubora wao wakati kuna makocha zaidi ya 5 wameshindwa kazi pale anfield, msingi wa timu bora unapatikana kwa usajili bora chini ya mwalimu bora anayejua kuishi na wachezaji.

unafikiri haitokuwa faida kwa manchester united?
lakini kama guardiola ataendelea kuwepo msimu ujao hatofanya biashara za kipumbavu na kupelekea man city kurudi tena kwenye ubora msimu ujao kwa kufanya tena usajili wa nguvu jambo litakalozidisha ugumu wa ligi kwa sababu sidhani kama liverpool na wao kasi yao itapungua msimu ujao kuanzia usajili.

kama ataendelea kuwepo msimu ujao biashara ya kwanza atahakikisha anatafuta mbadala wa fernandinho na david silva, na usishangae mara anamleta isco alcaron ,alcantara na mafundi wengine.

nyakati hizi ambazo tunataka kurudi kwenye ubora wetu hatupaswi kuwa na maadui wengi ndio maana nataka guardiola aondoke. mkuu hutojisikia furaha kama guardiola anaondoka halafu nafasi yake inazibwa na kocha kama massimiliano allegri.
raha ya ushindi hata kama umepambana na kipofu bado utahesabiwa wewe ni bingwa halali kama floyd mayweather.
hahahahaahaaaaaa adui muombee njaa.
 
Swadakta kabisaa umeongea points tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa yaani Mimi hakuna kitu kitaninyima raha kama Liverpool akichukua ubingwa. Wataongea mpaka tutasahau kwamba hawajachukua ubingwa kwa miaka cjui 27. Halafu Hawa ndio wapinzani wetu kimafanikio
Hahahaha boss upo kama Mimi yaani bora ichhukue timu nyingine yeyote lakini sio Liverpool maana watatusema sana hasa sisi United
 
OGS on January Transfer Plans
Screenshot_2019-01-04-12-46-12.jpg
Screenshot_2019-01-04-12-46-53.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom