Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa haraka haraka hichi kipindi cha Kwanza Newcastle wamefanikiwa kuizuia United kucheza Mpira wa Kasi na wa kushambulia Muda wote kitu Ambacho kimewatoa mchezoni wachezaji wengi wa United na kushindwa kufunga goli/Magoli.

Newcastle wameamua kucheza Mourihno Style kukaba/kupack bus kwa kutumia mabeki watano na viungo wakabaji wengi katikati na kuufanya mchezo kuwa mgumu.

Kama nilivyosema huko nyuma game ya Leo Ndio kipimo cha Kocha kimbinu, Tuone bench la Ufundi litafanya nini kipindi cha pili kuifanya Hii game kuwa rahisi kwetu.

Kwa kuwa Newcastle wanacheza Mpira wa kukaba na wa Nguvu Naona kuna uhitaji wa Lukaku kuingia mapema kuchukua Nafasi ya Rashford anayeonekana kuzidiwa nguvu/ubavu na mabeki wa Newcastle.

Matta pia anaweza kufanyiwa subb na Nafasi yake kuchukuliwa na Either Lingard/Sancez.

*Lingard atasaidia Katika ukabaji ama Sanchez Kama atakuwa fit atasaidia kuifanya match kuwa rahisi kwa uwezo wake.

Bado Naona ushindi kwa United, unaweza usiwe wa goli nyingi Kama tulivyoanza kuzoea.

Nitarudi baada ya kipindi cha Pili kwa uchambuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usipomuongelea mashiali post yako inapoteza uzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha safi sana huyu sio kama Mou, unamtoaje Rashford mpambanaji unaacha martial. Rashford kapiga faulo matata sana, ikamponyoka kipa Lukaku kaisukuma ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom