capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Only mourinho games I watched were champions league couldn't bare watching otherwise. I'm excited for games again now.
Here we go...Lukaku atakuwa mzuri tu siku sio nyingi.
ni mchezaji wa kawaida labda ameletwa kwa mipango ya badae
Siku hizi hata kikosi kinatolewa mapema. Hadi sasa kikosi kimeshakuwa hewaniExcited. Since Mou sacked I’m always excited when United is about to play.
Sure,Siku hizi hata kikosi kinatolewa mapema. Hadi sasa kikosi kimeshakuwa hewani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha pia kasema hataki kuona lukaku anasimama kule mbele kama zamani inabidi awe anaingia ndani kusaidiana na wenzake kisha wapange mashambulizi pamoja. Kwa sababu ana mbio atawaka tuHere we go...Lukaku atakuwa mzuri tu siku sio nyingi.
Sub pia kuna risasi nzuri..
Sent using Jamii Forums mobile app
Matathis is a must win game
Pogba
Herrera
Rashford
Martial
Go Go United
Leo amewekwa benchi tutapata tabu sanaaa...huyu dogo anazunguka uwanja mzima kukaba mipira anatufanya tuone mechi rahiiiisi, sasa leo hayupo tumemuacha Martial 'mvivu wa mwisho' hawezi/hajui kukaba 'utadhani ana undugu na kibendera cha kule kushoto, habanduki pale' na hutakaa umuone anapiga krosi hata moja dakika zote 90, Angalao Shaw atapiga krosi 5.



Siku hizi ni New Man United.Karibuni Kibandani umiza kwetu.
Huna kiingilio, vaa jezi ya Pogba View attachment 984278
Sent using Jamii Forums mobile app