Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado mapema kuwaanzisha wote, Lingard nadhani aliachwa kwa ajili ya game na Tot, Sanchez bado hajawa fit.

Game na Tot natamani Kama tutaanza na washambuliaji wawili, Rashford na Lukaku kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
De gea lindelof jones valencia shaw herera matic mata pogba then mbele rashford na lukaku nafasi ya mata akichemka anaingia lingard akichemka stiker mmoja wapo anatoka anaingia sanchez au martial then inageuka 451
 
Huyu Lindelof ndio Mourinho alituaminisha sio mchezaji mzuri duh
Tuanze kumsahau Sasa Mourihno, kila ukimuangalia Lendlof uwanjani, kuna Muda najisema basi Hakuna haja ya kusajili Beki wa Kati.

Lendlof anazidi kuimarika na kubadilika, anazuia anapanda kushambulia na kukaba vizuri.

Natamani Benchi la ufundi liendelee kuwaamini Lendlof na Jones Kama chaguo la kwanza, Baily na Smalling wakawa wasaidizi.

Yule chalii wa Kiargentina akirudi aje kusaidiana na Shaw.

Ila ukiwasifia hawa mabeki wa Kati usisahau kumsifia Huyu Mtu anayeitwa Ander Herera, Ndio anayefanya Kazi kubwa pale nyuma.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Valencia kashindwa kutia kross hata moja au kuingia kwenye box la adui naona falsafa ya mourinho imemkaa
Huu upande wa Valencia Leo umetuangusha sana, Valencia alicheza zaidi na pasi za nyuma, alishindwa kupiga Cross, alikuwa tofauti na Luis Nani, alishindwa kupandisha timu.

Mourihno alimuharibu Mno, kabla ya Mou kipindi cha SAF Valencia alikuwa anapiga Cross na kupiga mashuti, hopefully Captain wetu atabadilika na kurudi Katika zama zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mech tunamhitaji sana martial mech ya leo ilikuwa ngumu sana wale jamaa hawakupi nafasi kidogo martial alibanwa sanchez aingie kipind cha pili
Martial inampasa kufanya mazoezi ya physique. Dogo anakosa stamina na yupo too soft. Alafu apunguze ku-derribble. Anachezewa faulu ambazo hazina hata kadi ulimaanisha kuwa siyo mmjanja au anatengeneza mazingira yeye ya kuchezewa faulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama kabisa kaka sijui wewe!
Alhamdullilahy kwema kabisa naona jana tena tumeendeleza wimbi la ushindi ingawa ilikuwa mechi ngumu kwetu. Nakumbuka hawa jamaa tulitoka nyuma kwa goli zao mbili na kushinda tatu kwa mbili enzi zile za yule mtu. Huwa wasumbufu kiasi nashukuru tumewapa haki yao
 
Hapana haita faa kabisa. Rashfird yuko fast.. lukakku yuko slow. Wakati wa kujenga mashambulizi ya haraka haraka hawataendana kwa speed. Aanze mmoja tu kama sasa
Bado mapema kuwaanzisha wote, Lingard nadhani aliachwa kwa ajili ya game na Tot, Sanchez bado hajawa fit.

Game na Tot natamani Kama tutaanza na washambuliaji wawili, Rashford na Lukaku kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mechi ilikuwa ngumu na mtihani wa kwanza kwa Guna.
performance ilikuwa ya kawaida sana kulinganisha na mechi zilizopita, wapinzani waliingia na mfumo wa kukaba mwanzo mwisho na kuzuia mashambuliza karibu na box lao.

muhimu tumepata points zote na kupunguza gap la top 4

Once United Always United
Hii mechi ilikuwa ngumu na mtihani wa kwanza kwa Guna. Wengi tuliitarajia na wachambuzi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom