Manchester United (Red Devils) | Special Thread

January hii kuna dalili tutaingia kweli sokoni kuongeza nguvu?
 
Valencia kashindwa kutia kross hata moja au kuingia kwenye box la adui naona falsafa ya mourinho imemkaa
 
Nina imani kubwa na benchi la ufundi na hasa wachezaji wetu ni marekebisho madogo tu lkini kwa man utd hii hakuna ninachofurahi kama wachezaji wanapofunguka kushambulia spurs wakileta Mpira wakufunguka hakika tutamuumiza GGMU.
 
Rashford vs Newcastle
100% dribbles completed
Most shots (7)
Most shots on target (4)
Most shots from inside the box (4)
1 chance created
1 goal.
 
performance ilikuwa ya kawaida sana kulinganisha na mechi zilizopita, wapinzani waliingia na mfumo wa kukaba mwanzo mwisho na kuzuia mashambuliza karibu na box lao.

muhimu tumepata points zote na kupunguza gap la top 4

Once United Always United
 
Mkuu usipomuongelea mashiali post yako inapoteza uzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Martial ni mzuri sana Mchezo ukiwa wa wazi zaidi, kitu Ambacho Newcastle kipindi cha Kwanza hawakuruhusu Mchezo kuwa wa Kasi na wa wazi.

Walichofanya walikaba na kuzuia njia zote Ndio mana Leo kipindi cha Kwanza hukuiona Man United uliyoitegemea na ni kutokana na aina ya Mpinzani unayecheza Naye.

Pia kumbuka kipindi cha Kwanza Man United walicheza sana mpira wa upande wa kushoto, na Newcastle walimkaba sana Martial, Mashambulizi yetu yalikuwa yanatokea upande wa kushoto, it was a game plan, Newcastle walikuwa imara sana katika beki ya kati na Katika eneo la Kiungo.

Kipindi cha Pili tulibadili Mfumo na Mpira kuchezwa pande zote lakini hasa katikati baada ya Newcastle kuanza kufunguka na wao.

Martial anatakiwa kubadilika, bado anatakiwa kujituma zaidi na kucheza Mpira Kama Rashford alivyobadilika, anatakiwa kuonyesha uwezo wake, Kipaji pekeee bila juhudi na Malengo atakuwa mchezaji wa kawaida.

Match ya Leo Kwangu alikabwa zaidi na zile drible zake nyingi hazikufanikiwa hata kwa upande wa Pogba na Matic.

It was a tough game, Match Kama hizi Huwa haziwi nzuri wala kuwa na Magoli Mengi.

Tumeshuhudia zaidi ya Mara 5 Hivi Mpira ukisimama ili wachezaji kupatA matibabu, ilikuwa match ngumu Kidogo.

Kwangu kwa match za namna Hii, ni vema kuanza na Lingard kuliko Martial.

Tumpe Nafasi Martial ni mchezaji mzuri sana sana Ila anakosa focus na njaa, ameridhika mapema, anasahau kuna Balon de' or ambayo CR7 na Mess wameichukua Mara 5 kila mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni ila mechi na TOT tukicheza hivi mhhh
Mkuu haikuwa Match mbaya though, ingawa uzuri wa Match inategemea na Mpinzani wako, naanza kupata amani iliyotoweka, kumbe Wapinzani wetu wameanza kutuhofia, Benitez toka mapema alionyesha kutaka droo ama Kama kufungwa isiwe kwa Magoli Mengi.

Hata Tot watakuwa na nidhamu hawatokuja kichwa Kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamie Carragher believes that the Magpies might be able to expose Man United’s defensive fragilities because of the genius of their own manager, Rafael Benitez.

Dua la kuku
 
Martial ni mzuri sana Mchezo ukiwa wa wazi zaidi, kitu Ambacho Newcastle kipindi cha Kwanza hawakuruhusu Mchezo kuwa wa Kasi na wa wazi.

Walichofanya walikaba na kuzuia njia zote Ndio mana Leo kipindi cha Kwanza hukuiona Man United uliyoitegemea na ni kutokana na aina ya Mpinzani unayecheza Naye.

Pia kumbuka kipindi cha Kwanza Man United walicheza sana mpira wa upande wa kushoto, na Newcastle walimkaba sana Martial, Mashambulizi yetu yalikuwa yanatokea upande wa kushoto, it was a game plan, Newcastle walikuwa imara sana katika beki ya kati na Katika eneo la Kiungo.

Kipindi cha Pili tulibadili Mfumo na Mpira kuchezwa pande zote lakini hasa katikati baada ya Newcastle kuanza kufunguka na wao.

Martial anatakiwa kubadilika, bado anatakiwa kujituma zaidi na kucheza Mpira Kama Rashford alivyobadilika, anatakiwa kuonyesha uwezo wake, Kipaji pekeee bila juhudi na Malengo atakuwa mchezaji wa kawaida.

Match ya Leo Kwangu alikabwa zaidi na zile drible zake nyingi hazikufanikiwa hata kwa upande wa Pogba na Matic.

It was a tough game, Match Kama hizi Huwa haziwi nzuri wala kuwa na Magoli Mengi.

Tumeshuhudia zaidi ya Mara 5 Hivi Mpira ukisimama ili wachezaji kupatA matibabu, ilikuwa match ngumu Kidogo.

Kwangu kwa match za namna Hii, ni vema kuanza na Lingard kuliko Martial.

Tumpe Nafasi Martial ni mchezaji mzuri sana sana Ila anakosa focus na njaa, ameridhika mapema, anasahau kuna Balon de' or ambayo CR7 na Mess wameichukua Mara 5 kila mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Martial anatakiwa kuanza
 
Back
Top Bottom