Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Class of the highest order, Eric. Top man.
2018_12_19_22.51.33.jpeg
 
Ebana mmeshakuwa kama Newcastle United. Yaani OLE Gunnar ndio anashikiria mikoba kwa at least mechi 23 plus FA cup? Natabiri atatimuliwa March. Laughable team, Laughable management. Garbage Garbage Manchester United.

Naona management haijui la kufanya wameliondoa Tangazo la kumpa mikoba. Tusubiri tuone watakachofanya. Ila kuna uwezekano ni mkubwa atakuwa Manager kwa miezi 5 kama sio chini yake.
  1. nitamhukumu ole gunnar solskjaer pindi atakapoanza kazi rasmi na si muda huu ambao ndio kwanza anasafisha suti zake kwa ajili ya kuhamia rasmi ikulu ya old trafford.
  2. barcelona baada ya kumtimua kocha mwenye uzoefu frank rijkard waliziba nafasi yake kwa kumuajiri josep guardiola ambaye CV yake ilikuwa nyepesi kuliko waraka wa maaskofu,hivi unadhani hawakuwepo makocha wenye uzoefu.
  3. baada ya guardiola kuondoka barcelona walimuajiri marehemu titto villanova ambaye alikuwa ni msaidizi wa guardiola na yeye CV yake ilikuwa nyepesi kuliko cheti cha Daud.
  4. madrid walimpa ajira zidane ambaye na yeye hakuwa na uzoefu wowote lakini alichokifanya ni kikubwa zaidi kuliko uzito wa kipara chake.
  5. mfano mwengine ni diego simeone na atletico madrid, leo hii ameifanya iwe timu ngumu, vipi kuhusu santiago solari na madrid yake muda huu?
  6. kama solkskjaer atafanya vizuri basi klabu impe mkataba wa muda mrefu na isihangaike na makocha wengineo kama zilivyofanya klabu nyenginezo kama barcelona na madrid. hizi si nyakati za kupima ubora wa kocha kwa kutumia hoja ya uzoefu bali mafanikio yake ndio yatazamwe kwa jicho la mwewe, unajua kama kenny daglish ilimshinda liverpool lakini jurgen klopp anaelekea kufanikiwa.
  7. faida kubwa ya ujio wa ole gunnar solskjaer ni kwamba hatatokea yeyote anayejiita legend ambaye atathubutu kumkejeli mungu mwenye sura ya kitoto, hutomsikia paul scholes, giggs, neville brother,ferdinand na wengineo wakinyanyua mdomo wao kama mambo yatakwenda vibaya, labda awe mzungu asiyependa unafiki kama roy keane.
  8. utawezaje kumkejeli mwanadamu aliyemfanya janadume lililoshiba maziwa ya mama yake anayeitwa samuel kuffour apige kelele kama mwizi aliyekatwa mkono pale nou camp mnamo mwaka 1999, ujio wa solskjaer kiupande wangu nauchukulia kama ni mzigo kwa bwana ed woodward na kibarua chake pamoja na pogba akishirikiana na crew yake inayo muunga mguu na mkono
  9. kama solakjaer atafanya vibaya hao legend wote watamgeuzia kibao ed woodward na watasema ya kwamba yeye ndio tatizo kwa kushindwa kutofautisha soka na biashara, pia watamshambulia paul na wachezaji wengineo ambao watashutumiwa hawaithamini nembo ya klabu bali wanathamini maslahi yao.
  10. kumsubiria ole gunnar solakjaer afanye vibaya ni sawa sawa na kumsubiria kylian mbappe afikishe miaka 20 ya kuzaliwa au kumsubiria romelu lukaku afunge goli mita 30 kama wayne rooney. nitamhukumu mwanadamu aliyenipa tabu kutamka jina lake nyakati zile nilipokuwa na uelewa mdogo zaidi kuliko huu niliokuwa nao pindi atakapoanza kazi.
 
Namba saba umemaliza kila kitu
 
Mkuu umemaliza kila kitu, tusubiri kazi ianze

Swali muhimu la kujiuliza ni hili
Manchester United imeenda kombo wapi tangu aondoke Sir Alex Ferguson?
  1. Moyes
  2. Van Gaal
  3. Jose
  4. Who next
 
SOLSKJAER PRICE

We understand that Manchester United have paid £1.8m (20m Norwegian Krone) to take Ole Gunnar Solskjaer ‘on loan’ from Moldeas their caretaker manager until the end of the season.

If United want to make the arrangement permanent in the summer it’ll cost an additional £7.2m (80m Norwegian Krone).
 
De Gea

Valencia Bailly Lindelof Young

Fred Herrera Pogba

Mata Rashford Martial

Ningepewa Timu Jumamosi dhidi ya Cardiff ningetembea hivo
Sir Alex Ferguson hakuwa hivyo...

Alizisoma timu pinzani. Ferguson alisoma upepo ndani ya timu yake na nje.

Ningekuwa Mimi ningepanga mixer wakubwa kadhaa, Pogba akiwepo....na watu wapya ambao timu pinzani isingetegemea.....

Kwa mfano, wanajua watamkaba Sana someone wanashangaa hawamuoni.
 
we nae mechi moja tu kelele kibao fala we
duuh kuwa hata na kahuruma basi kidogo mkuu,mwenzako kajitutumua kugoogle kuweka tafsiri kisha kuandika humu kitini kizima kisha wewe unamkata maini kwa sentensi moja tu.............aaaaaaaaaaaaaaah jamani
 
Tupe
SOLSKJAER PRICE

We understand that Manchester United have paid £1.8m (20m Norwegian Krone) to take Ole Gunnar Solskjaer ‘on loan’ from Moldeas their caretaker manager until the end of the season.

If United want to make the arrangement permanent in the summer it’ll cost an additional £7.2m (80m Norwegian Krone).

Tupeni CV ya huyu kocha
 
Back
Top Bottom