SAF aliondoka nao
View attachment 973876
jamani substitution mumeziona?
cha ajabu unakuta timu pinzani inaondoka uwanjani na kikapu chenye magoli 3.
leo hii substitution unamkuta fred, mata, rojo, valencia, pogba tunaondoka sisi uwanjani na kikapu chenye magoli 3.
hahahahahahahaaaaaaaa ole gunnar solskjaer tafadhali tuokoe.
View attachment 973880
hii familia mpaka kipindi hiki bado wanakwenda uwanjani?
 
Tunaweza kumtazama Ole Gunnar Solskjaer kwa pande mbili

1. Kocha aliyepata mafanikio kwenye ligi yenye ushindani mdogo (huko Norway) kisha kuja EPL na kuishusha daraja Cardiff.Na pia kuanza msimu vibaya na Cardiff katika ligi ya Championship

2. Kocha anayeifahamu United na utamaduni wa United akiwa mchezaji na kocha.

Kocha aliyeipa ubingwa kwa mara ya kwanza timu ya Molde ya ligi kuu Norway kwa misimu 2.

Pia kocha aliyeifanya Molde ishike nafasi ya pili katika ligi kuu ya Norway katika kipindi chake cha ukocha hivi karibuni.

Tunaweza kumtazama kama moja kati disciples wa SAF.

Moja kati ya mtu anayejua kusoma mchezo (kumbuka akiwa United kama mchezaji, alikuwa akitokea benchi anabadili matokeo).

Tunaweza kumtazama kama mtu atakayetaka ku prove wrong wakosoaji wake baada kushindwa kufanya vyema pale Cardiff.

Tunaweza kumtazama kama kocha anayetaka kuonesha kwamba alishindwa akiwa Cardiff kwa sababu ya ufinyu wa rasilimali n.k

Ni uamuzi wako kuamua unamtazama vipi Ole

After all he is just a caretaker, temporal boss. Let's give him the benefits of the doubt.

Kuna WAOGA humu hawatatoa maoni yao sasa hivi, watasubiri Ole afanye vibaya wamponde, au afanye vizuri waje na hoja uchwara.
Ole labda aje alete spirit ya juu kwenye timu,ila kimbinu sina imani kama ana jipya. Nadhani atategemea zaidi nguvu ya wachezaji kuliko mbinu za kiufundishaji. N way suala la msingi timu angalau icheze mpira mzuri Wa kutisha wapinzani kidogo
 
Je lilikuwa suluhisho kumtimua Jose mourinho?
Je baada ya kumtimua matatizo ya man united yatakuwa yamekwisha?
Je tatizo la man united lilikuwa mourinho au wachezaji?
Je baada ya mourinho kuondoka man united itaanza kufanya vizuri?

Ni maswali ninayojiuliza
Kuna wachezaji hawafai kuwepo Man U wengine waliletwa na Mou Mwenyewe,wengine kawakuta. Pamoja na hivyo kocha alikuwa tatizo kuu. Timu ilikuwa inafungwa halafu inacheza mpira mbaya sana.
 
Wakiwa fit wote
De gea
Valencia,smalling,Bailly,Young
Matic,Pogba, Herrera
Sanchez, Lukaku, Rashford


ammadutd_47031150_649917605406059_1542556593783267972_n.jpg
 
Michael Carrick reminded the players that the club would still get rid of anyone who is not meeting its standards and that they needed to fight for the United shirt.

View attachment 973916
Hapa pogba anahusika labda ajirekebishe. Kwanza huyu jamaa basi tu sema ni biashara ila naona na yeye angefunguliwa mlango tu, pamoja na upungufu wa kocha mchezaji huwezi taka kuwa juu ya kocha pumbafu sana. Hiyo ni kutaka kuwa juu ya timu nzima.
 
Back
Top Bottom