ZVI ZAMIR
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,296
- 3,194
Kwa bahati mbaya kwenu na nzuri kwetu bwana mou ameondoka jana katuachia mataji matatu ndani ya miaka miwili aliyokaa nasi. Majogoo miaka kumi sasa hakuna kikombe chochote kipya ndani ya makabati yenu.tifu kwa Manchester United na Kunikumbusha Liverpool ya akina Phil Neal, Alan Hansen na Ian Rush.
Kilichotokea Jumapili ni Liverpool FC kuipa Manchester United PENZI la Ghetto ambalo Kanye West anampa Kim Kardashian.. Kama Hujui Penzi la ghetto tafuta video ya Kanye West na Kim Kardashian wakiwa Ikulu ya Uganda kwa Yoweri Kaguta Museven.
Ashante Jurgen Kloop kwa kusababisha majivu ya Bill William Obe Shankly kukusanyika kwa Mara nyingine ndani ya ardhi tukufu ya Anfield
Montelo 10
Montelo 10