Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sawa lakini huyu mtu mweusi mwenzetu hana professionalism kabisa, ilitakiwa kukausha tu sababu kama sikosei ni jose ndiyo amemsajili pogba, Pogba anatakiwa azingatie mpira na aachane na nywele mara instagram yote kwa yote timu ya Man United wapiga kazi wachache sana
Pogba aliwahi kuulizwa kuhusu kuhama United na kwenda Barcelona

Akasema anaogopa kusema jambo lolote maana ataadhibiwa

Kumbuka wakati huo huo Mou alimpa heshima ya U Vice captain (kipindi hicho). Hivi huyo mtu anaheshimu badge au is just a mercenary & gold digger.

Lakini wakati huo huo maisha ya Pogba nje ya uwanja yamekuwa yakiathiri performance yake uwanjani, na watu kama SAF alikuwa hawezi kuwavumilia.
 
Hivi nikisema kuwa wewe una kila sababu na vigezo vya kuingia Au kupelekwa katikakati ya Makao makuu ya nchi (Dodoma, Milembe ) utasema Mimi ni mkorofi mkuu.

Hivi Mimi ni member humu kuanzia 2014 na wewe umejiunga May 2018 unathubutu kusema bila aibu kuwa wewe ni mkongwe humu. Mkuu kama umepatwa na mshituko wa kufukuzwa, kutimuliwa, kuswagwa kWa kocha wako kipenzi tafadhali muone daktari kabla hali haijawa mbaya. Hayo ni maoni yangu utakuja kunikumbuka.

Muhudumu Ongeza nyingine.
Kwa hisani ya yule yule swala Mou Pesa, Mou Faya. Mourinho.
Maneno yako yametimia
Utabiri wako umetimia
Hatimaye mgalatia wa Yombo vituka ameondoka
 
Poa mkuu,wasalimie kina Jimy delicious wenzio
 
Maneno yako yametimia
Utabiri wako umetimia
Hatimaye mgalatia wa Yombo vituka ameondoka
Hahaha hahahaha hahhaahahaha

Mkuu acha kabisa kuna watu nawacheki tuuuu hahahaha

Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
 
Hahaha hahahaha hahhaahahaha

Mkuu acha kabisa kuna watu nawacheki tuuuu hahahaha

Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
Hahahahahahahahahahahahahahahaha lile genre la Mourinho mgalatia limekimbia ,wengine wamebadilishia gia an gani akina RADIKA Hahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Ndugu zetu wapenzi wa Man Utd hapa Jf tunaomba msitoane macho tafadhari

kwa niaba ya mashabiki wa mourinho(not man u) tumekubali kilichotokea ila bila kupepesa macho

Ndugu yenu Paul lebile pogba ametukosea sana,ametunyong'onyesha sana na ameonesha tabia zisizo za kimpira ambazo hata yeye hazitomsaidia kuongeza kiwango chake uwanjani

Ila yote kwa yote tumemsamehe ila tungependa ajifunze kwa mwenzake Eden Hazard wa Chelsea, na aendelee kujituma uwanjani na si mitandaoni

Aksanteni kwa 26billion.
 
Pogba aliwahi kuulizwa kuhusu kuhama United na kwenda Barcelona

Akasema anaogopa kusema jambo lolote maana ataadhibiwa

Kumbuka wakati huo huo Mou alimpa heshima ya U Vice captain (kipindi hicho). Hivi huyo mtu anaheshimu badge au is just a mercenary & gold digger.

Lakini wakati huo huo maisha ya Pogba nje ya uwanja yamekuwa yakiathiri performance yake uwanjani, na watu kama SAF alikuwa hawezi kuwavumilia.
Hahahahahahaha hahaha hahahaha

Eti maisha ya nje ya uwanja yanaathiri uwezo wa Pogba uwanjani..... Hahaha hahahahaha Let me hahahaha hahahahaha

Miezi kadhaa nyuma Pogba kabeba world cup halafu fainal alipiga bongeeeeeeeeeee la shuti kama ungeweka hicho kitambi chako cha Safari tungekuwa tumeshakulia ubwabwa muda mrefu....

Kikombe cha Europa huyo huyo Le PogDance Alipiga msumali umbali wa Chalinze na Yombo akakufaNya unyanyue kwapa. Leo unakuja kusema Pogba kiwango chake kimeisha.

Unanipa kazi ya bureeeeee kukujibu mijadala ambayo iliwahi kujadiliwa humu long time agooooo.
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha lile genre la Mourinho mgalatia limekimbia ,wengine wamebadilishia gia an gani akina RADIKA Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Mkuu acha kabisa kuna wahamiaji haramu walikuwa wamevamia Viwanja visivyouzwa , wenyewe tumerudi wanasema sisi wageni ...

Huyo RADIKA nimeshamalizana nae japo alinipaga Changamoto kubwa mno ila mwisho wa siku "Watashindana lakini hawata shinda"...

Hahahahaha

Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
 
ujinga sio tusi....brother....mjinga akielimishwa vizuri anakua mwelevu!
Mkuu nadhani wewe ni mstaarabu. Unaonekana ni mstaarabu. Nadhani hata wewe ukiitwa MAJINGA hutafurahi
 
Man u hakuna RANGI ambayo hamtakaa muione!!!!Eti carick ndio mrithi mpaka mwisho wa msimu
Bora nipoteze mechi nikiwa na Maestro Carick ambae najua atapata full support ya team na wachezaji. Kuliko kuwa chini ya Mgalilaya Mou ambae bifu kazianzisha kwa wachezaji na ushindi hatupati.
 
Poa mkuu,wasalimie kina Jimy delicious wenzio
Mkuu unaelewa maana ya Cane ?? Sio ile ya Harry Kane wa Tottenham, yaani CANE. hahahahaha

Sasa nakusubiri unijibu bar'bara ili nikupalase kisawasawa hadi uombe Poo.

Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
 
Mkuu acha kabisa kuna wahamiaji haramu walikuwa wamevamia Viwanja visivyouzwa , wenyewe tumerudi wanasema sisi wageni ...

Huyo RADIKA nimeshamalizana nae japo alinipaga Changamoto kubwa mno ila mwisho wa siku "Watashindana lakini hawata shinda"...

Hahahahaha

Mhudumu zungusha.
Kwa hisani ya Mou Faya, Mou Pesa, Mourinho ....
Mi sioni point yako watashindana lakini hawatashinda mi sijawahi kushindana na wewe kumbe wewe upo kimashindano aaisee kazi ipo
 
Kina watu hawajielewi humu

Watu tunajadili kuhusu timu yetu kumbe wengine wapo kwenye ligi (kubishana)
Nimeshangaa sana huyu jamaa

Msome rio nae alikuwa mshabiki wa mourinho na mtetezi kwamba anamtetea kocha na timu ina maana nae wa hovyo? Jukwaa hili lina mambo ya ajabu sana
2018_12_18_16.23.03.jpeg
 
Back
Top Bottom