Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jirani zangu kuna kitu hamjakijuw, team yenu ni mbovu sana. Tatizo siyo kocha. Huyu ni kocha wa 3 kama siyo 4. Na mnaendelea kuwalaumu makocha.
Sina imani kama umetafakari vizuri kabla ya hilo hitimisho lako
 
Watafuta vipaji hatuna united msimu wa 7 huu hamna beki wa kushoto wa maana au kulia ingia nne na tano tukubali kocha tumemtoa kafara tunafurahia subir aje van gaal mwingine
Kocha alikuwa ni tatizo kubwa pia asee. Mimi sioni timu ya kufanana nayo kiuchezaji pale EPL msimu huu. Nadhani Man U ndiyo inacheza vibaya kuliko timu yoyote. Vitimu vidogo tu vinaupiga mwingi sisi kwa nini tuwe Wa hovyohovyo?
 
Kila kocha na falsafa yake kuna watu lazima uwe nao wa kwendana na mfumo wako

Hivi pep kwa nini hakuwaacha wakina nasri?
 
Kila kocha na falsafa yake kuna watu lazima uwe nao wa kwendana na mfumo wako

Hivi pep kwa nini hakuwaacha wakina nasri?
Ni sawa mfumo Mara nyingi una determine aina ya wachezaji,ila ukiachana na wachezaji aliowakuta na kuwabakisha Mou signings nyingi alizofanya zimetoka kuwa good ones zimekuja kuwa worse ones hapo ndo shida yake kubwa nyingine inapojipambanua.
 
MTU kasajili kikosi kizima jitu linaleta tantalila za karumekenge..

Ifike Muda tukubali tu , Mo Hana analoweza. Aende akafanye upuuzi wake wa kulinda kwenye vitimu vidogo.
 
Ebana mmeshakuwa kama Newcastle United. Yaani OLE Gunnar ndio anashikiria mikoba kwa at least mechi 23 plus FA cup? Natabiri atatimuliwa March. Laughable team, Laughable management. Garbage Garbage Manchester United.

Naona management haijui la kufanya wameliondoa Tangazo la kumpa mikoba. Tusubiri tuone watakachofanya. Ila kuna uwezekano ni mkubwa atakuwa Manager kwa miezi 5 kama sio chini yake.
 
Mkuu mi nashabikia Aseno lakini ni shabiki mkubwa sana wa Valencia, yule jamaa anapiga mpira mkubwa saaaana. Huaga natamani ahamie kwetu akawafundishe vijana team spirit na commitment. Alitolewa kua winger karudishwa full back lakini performance yake haina mfano. Nachompendeaga zaidi cross zake zote zinavukaga..hadi raha kumuangalia akicheza. Halaf as u said, hana makuu ndani na nje y uwanja. Sasa Mou anakuaje na guts za kumkalishaa bench machine kama hii!
Wacheni aende tu hana lolote
 
Mtu fulani angetolewa huko tz kama Jose ingekuwa vzr sn sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…