Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halafu kumbe umejiunga 2014

Ndio unanikosoa mimi kwamba nimejiunga juzi

You are very junior kwangu in terms of JF membership mzee
Nadhani hunijui wewe vizuri.

Kaa ukijua unaoambana na kisiki cha mpingo. Sasa Ngoja nikuchangamshe vizuri ili siku nyingine ukiiona hii ID uwe unakuwa na kumbukumbu za Kufukuzwa mou.

Kwa akili zako za kuvukia barabara za mwendo kasi kati ya mtu aliejiunga JF mwaka 2018 na 2014 Nani ni mkongwe humu ?? Nataka unijibu halafu nikufungulie Ballistic Missiles kutoka kwenye hiyo picha kwenye avatar yangu (North Korea).

Naona nimekwenda na wewe "Kifutiboli Futiboli" unazidi kunipanda kichwani.

Sasa basi kabla sijamaliza chupa yangu ya wine huku nikishangilia uondolewaji wa huyu nduli Mourinho nakuomba ujichanganye tena kwenye hii ID, ndipo maji utayaita MMA na muda si mrefu mtakuwa safari moja na Mou
 
sawa lakini huyu mtu mweusi mwenzetu hana professionalism kabisa, ilitakiwa kukausha tu sababu kama sikosei ni jose ndiyo amemsajili pogba, Pogba anatakiwa azingatie mpira na aachane na nywele mara instagram yote kwa yote timu ya Man United wapiga kazi wachache sana
Pogba amefanya kitu cha kipuuzi kwelikweli..Unprofessional kabisa
 
Something might be legal but unethical.

Kama ni sahihi, kipi kimemfanya afute?
Kumbe ukifuta post ni kosa ??? That means post zisizofutwa sio kosa ???

Yaani unataka kuniambia mtu akifuta post maana yake post hiyo haikuwa sahihi.

Hahahaha Mzee wa YeeezY, alifuta sio tu post account yake Nzima ya insta na Twitter , how do you say about Yeeezy Mzee ??

Hahahahaha Muhudumu ongeza kwa hisani ha Mou Pesa.
 
Ngoja tuone mkuu ila binafsi naamini ulikuwa unahitajika uwekezaj wa maana sio kocha tu bado mambo ni mengi spurs anasimama kwa sasa wana kocha yupo toka 2013
Siamini kama ulazima huo wachezaji mnao mipango tu ndo shida Sanchezi au. Pogba sio wabovu
 
Bad thing is wewe bado Mpya kwenye hili jukwaa. Vitu vingine zama PM tukusaidie.

Narudia tena huu Mjadala umeukutia njiani. Hayo yote uliyouliza ukirudisha page za hii thread nyuma utakuta majibu mujarabu.

Watu tulikuwa tumepoa humu kwasababu tulikuwa kwenye vita vikali vya kumuondoa huyu ibilisi.
Kumbe wewe umeanzia kushangilia na kujadili mambo ya United humu, tena 2014 pole sana

Kukufuata pm kama wewe ni jinsia ke niambie mkuu niwahi
 
Kumbe ukifuta post ni kosa ??? That means post zisizofutwa sio kosa ???

Yaani unataka kuniambia mtu akifuta post maana yake post hiyo haikuwa sahihi.

Hahahaha Mzee wa YeeezY, alifuta sio tu post account yake Nzima ya insta na Twitter , how do you say about Yeeezy Mzee ??

Hahahahaha Muhudumu ongeza kwa hisani ha Mou Pesa.

Kwa sababu unajua nini unachobishania sina sababu ya kubishana na wewe.

Case closed.
 
Umejiunga Jamii forum May 2018 unaanza kudharau expert members ambao tumepitia mitikisiko mikubwa kwenye harakati zetu za kumuondoa Nduli JOSE MOURINHO.

Hatimaye tumefanikiwa unaanza kuzarau jitihada za sisi manguli ambao uwezo Wetu wa kupambana na Gaidi Mou ilitubidi tukatae nafsi zetu. Sadly hujui mijadala iliyokuwa humu mwaka Jana kuhusu mou ndio maana umerukia kuwa unatudharau. Kaa chini na wahenga upewe ABC..
Dah! Nimecheka san mkuu ulikua unausongo sana na JM
 
Umejiunga Jamii forum May 2018 unaanza kudharau expert members ambao tumepitia mitikisiko mikubwa kwenye harakati zetu za kumuondoa Nduli JOSE MOURINHO.

Hatimaye tumefanikiwa unaanza kuzarau jitihada za sisi manguli ambao uwezo Wetu wa kupambana na Gaidi Mou ilitubidi tukatae nafsi zetu. Sadly hujui mijadala iliyokuwa humu mwaka Jana kuhusu mou ndio maana umerukia kuwa unatudharau. Kaa chini na wahenga upewe ABC..
2014 JF, you are just a kid to me
 
Hivi huu ushamba wa kusema umejiunga juzi mnautoa wapi? Hivi mtu aliyejiunga juzi hana haki ya kuhoji, kutoa michango humu?

Any way, kuweka kumbukumbu sawa ID ya Mc Cane ni ya hiyo tarehe lakini wanajamii forum wamekuwa wakiona michango yangu (sio ya ID ya MC Cane) tangu kitambo sana

Pia nilikuwa sijajua kama Mourinho yupo humu JF, hongera kwa kumtumbua Mou wa JF mkuu

Pia naendelea kukushauri usishabikie matusi
Ninakupa Masaa Mawili ukanushe au uoneshe ni wapi nimeshabikia matusi kwenye huu uzi.

NINARUDIA TENA.....

Ninakupa Masaa Mawili ukanushe au uoneshe ni wapi nimeshabikia matusi kwenye huu uzi.

MUhudumu ongeza nyingine..
Kwa hisani Ya Mou Energy... Mou Faya .... Mou Pesa... Mourinho
 
Poleni watani, Mimi Liver nimekuja msibani tu. Ila kwa ukweli ndugu zangu mabadiliko yalikuwa lazima na sasa pressure ni kwa Pogba hakuna wa kusingizia tena inabidi acheze mpira sio social media. Na wengine wote waoneshe kuwa sio wao ni Maurinho. No more excuses.
 
Tunaangalia context of the situation mkuu, pogba anajiona ndo kila kitu naona hata akija kocha mpya kazi anayo kwa huyu kiduku.
Kumbe ukifuta post ni kosa ??? That means post zisizofutwa sio kosa ???

Yaani unataka kuniambia mtu akifuta post maana yake post hiyo haikuwa sahihi.

Hahahaha Mzee wa YeeezY, alifuta sio tu post account yake Nzima ya insta na Twitter , how do you say about Yeeezy Mzee ??

Hahahahaha Muhudumu ongeza kwa hisani ha Mou Pesa.
 
2014 JF, you are just a kid to me
Hivi nikisema kuwa wewe una kila sababu na vigezo vya kuingia Au kupelekwa katikakati ya Makao makuu ya nchi (Dodoma, Milembe ) utasema Mimi ni mkorofi mkuu.

Hivi Mimi ni member humu kuanzia 2014 na wewe umejiunga May 2018 unathubutu kusema bila aibu kuwa wewe ni mkongwe humu. Mkuu kama umepatwa na mshituko wa kufukuzwa, kutimuliwa, kuswagwa kWa kocha wako kipenzi tafadhali muone daktari kabla hali haijawa mbaya. Hayo ni maoni yangu utakuja kunikumbuka.

Muhudumu Ongeza nyingine.
Kwa hisani ya yule yule swala Mou Pesa, Mou Faya. Mourinho.
 
Tunaangalia context of the situation mkuu, pogba anajiona ndo kila kitu naona hata akija kocha mpya kazi anayo kwa huyu kiduku.
Mkuu Pokea salamu zangu , Tunaomba msituchagulie muziki wa kucheza acheni vijana wafurahi. Usimpangie cha kupost.

BTW karibu hapa Nanjilinji upunguze stress.
 
Back
Top Bottom