Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 573
- 5,014
BREAKING NEWS
MWINYI ZAHERA, kumbe kaondoka yanga kweli, na kuanzia muda wowote hivi Leo anatangazwa kuwa manager mpya wa Manchester united....
Ile kusema anaenda kusinya karatasi zake ulaya sio kweli, anaenda kwenye jiji la Manchester tayari kuchukua mikoba ya mourinho....
KILA LA KHERI MWINYI ZAHERA KWENYE MAJUKUMU YAKO MAPYA
![]()
Hahaha nimecheka sana kwa hili
mie shabiki wa Yanga Sc
Ila kwa Ulaya nipo Chelsea fc
Japo kiukweli mie ni team Mourinho
dah nimeumia kufukuzwa kazi
coz nilijikuta naitakia mema Man Utd kila ilipocheza

