Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Kwenye "left United" wanamaanisha nini?Manchester United says manager Jose Mourinho has left the club with "immediate effect"
Kwamba yeye mwenyewe kamwaga manyanga au?
Kwenye "left United" wanamaanisha nini?Manchester United says manager Jose Mourinho has left the club with "immediate effect"
Kocha wa spurs ana msimu wa 6 au 5 huu anaijua spurs ndani nje anaijua academy yake nje ndani unawezeje kumlinganisha na mourinho?Point yangu usifananishe kuwa Tottenham hajasajili na anafanya vizuri (tafsiri ya kufanya vizuri??????)
Kwa ambition za United bado hafanyi vizuri
United has always been getting titles
Spurs je?
Lazima usikitikeHe is gone, dah.
Ndio kaondoka mwenyewe kwa makubalionoKwenye "left United" wanamaanisha nini?
Kwamba yeye mwenyewe kamwaga manyanga au?
kaogopa kipigo cha PSG mana kingekuwa ni cha mbwa koko
Watafuta vipaji hatuna united msimu wa 7 huu hamna beki wa kushoto wa maana au kulia ingia nne na tano tukubali kocha tumemtoa kafara tunafurahia subir aje van gaal mwingineLazima usikitike
vikombe kwa gharama kiasi gani?Pay respect to this guy aisee , na mapungufu yote yake ndio kocha pekee aliyewapa vikombe baada ya Sir Alex kuondoka ..
Katika watu ambao wanafuraha na hii news ni Iker casillas

Kwanini?Yani inatakiwa huyo apewe muda hata miaka minne au mitano lakin tukitaka mafanikio ya mkato atafukuzwa tenaNasikia wanamchukua Papa Zahera![]()
Man utd has bigger problem zaidi ya kocha , bunch of average players ambao hata kocha mpya hawezi kuwabadili na hao wakina egoist players ambao ndio wachafuzi wa dressing rooms and training sessions and since atakuwa intern coach inaweza kuwa ni majanga zaidi ya faida kumfukuza Mou muda huu..Lakin bado naona tatizo halijatatuliwa tumetoa kafara moja bado ile bodi ya kibiashara naona walichukia paul pogba kukaa bench
Poch ni ngumu mkuuNafikir wamchukue zizou au wa spurs kama wataweza
Kwa kweli ile mech ya liverpoolSio sisi tu inaonekana hata Mou mwenyewe alitaka afukuzwe
Hao watakuwa ni mashabiki wa ccm pia,maana ndo wana tabia hiyo....kwahyo hao itakuwa ni man u+ccmkuna majinga humu yalikua yanamtetea mou ; sasa hivi yanajifanya eti yanasupport maamuzi ya management....hahaaaahaaaaa
Trophies are pricelessvikombe kwa gharama kiasi gani?
Mkuu basi apewe scholes na ferdinandPoch ni ngumu mkuu
Zizou hapana, labda kwa miezi sita iliyobaki
Hahaa scholes hawez kukubali kazi, ataaibikaWakuu hiki kipindi cha mpito tumpe timu jemedari paul scholes wakat wanatafuta kocha kamili aje athibitishe maneno yake
Hahahahahha na mimi nataka apewe huyo jemedari ana mdomo sanaHahaa scholes hawez kukubali kazi, ataaibika