Alipoajiriwa nikawa sina njinsi zaidi ya kumsapoti. Nilikuwa najikumbushia tu niliyoyaamini mwaka 2016.Inanilazimu kwa uchungu mkubwa kutengua kauli yangu kuwa "Mourinho akitua man utd nahamia Midlesbrough". Karibu Mourinho.
GGMU.

Kwani beba tuliweza kumfanya awe vizur?Spurs hawajasali na hawana nia ya kusajili kwa sasa sio tu kwasababu ya project ya uwanja lakini pia kocha anawajua wachezaji wake (kuna uelewano kati ya kocha na wachezaji) ambacho kwa siku karibubi hiki kitu kocha wetu alikishwa kabisa
Kochwa kunyimwa hela haina maana kwa ndo aharibu kabisa timu kuanzia nyuma, katika na mbele kiasi kwamba yeye mwenyewe au management hawajui ni eneo gani lenye shida. Hakutakiwa kujifananisha na man city etih kwa sababu wao wanatumia hela nyingi, yeye alitakiwa afanye kazi atumie wachezaji alio nao au aende akachukue kwenye academy na sio kuharibu timu nzima mpaka tumefika mahali hata De gea sasa anaonekana mbovu
Alimtaka Bailly akaletwa, lindelof akapewa basi ajaribu kuwafanya wawe wazuri lakini wapi kilichotokea ni kwamba hata hao amegombana nao baadhi kiasi kwamba mchezaji anakuwa hajiamini tena
Kocha alichotakiwa kujua kwamba Man united sio man city, sio liverpool, sio chelsea, sio totenham wala sio sawa na timu yoyote bali alitakiwa afanye kazi bila kujali hizo timu nyingine. Hili pia alishindwa
Kuna wachezaj wengine ngumu sana kuwavumilia makosa yanajirudia rudia tu unafanyaje ndugu yangu? Falsafa ya timu hutolewa na kocha sio mchezaj akishindwa kwendana nayo si anauzwaNadhan kikubwa kilichomtoa kocha pale ni mahusiano mabaya ya wazi wazi kati yake na wachezaji na akajaribu pia kuonyesha kwamba pia bodi haimpi support wazi wazi lakini yeye binafsi hakutaka kukubali mapungufu yake
Issue mkuu haijakuwa solved huyo kocha anaekuja nae atatimuliwa muda si mrefu. Issue ipo kwa glazer na genge lake la wahuni ambao wanakula hela za Man u kwa ujanja ujanjaKwa upande wangu sijafurahi lakini nadhan ni hatua ambayo imelazimu
Tusingeweza kuuza wachezaji wote tumbakize kocha ukiangalia makosa ya wazi ya upangaji wa kikosi yaliyokuwa yanafanyika katika mechi ya hivi karibuni
Ilifika mahali nikawa nahisi kama kocha labda ameishiwa mbinu au labda anafanya makusudi
Mwisho wa siku mzigo ni yeye wa kuubeba kwahiyo ni hatua ila lengo sio kufukuza fukuza bila sababu
Mourinho toka kaja kapeawa kiasi gani? Tayizo ni mourinho.Issue mkuu haijakuwa solved huyo kocha anaekuja nae atatimuliwa muda si mrefu. Issue ipo kwa glazer na genge lake la wahuni ambao wanakula hela za Man u kwa ujanja ujanja
Mpango mzur sana huo hata buyern munich na dortmund wapo hivyoWanaiiga arsenal sasa.
Recruitment procedure, na kuwa na mkurugenzi wa soka ambaye kocja ataripoti kwake.
Arsenal tunaweka mifano uk.
Salute kwako mkuuSpurs hawajasali na hawana nia ya kusajili kwa sasa sio tu kwasababu ya project ya uwanja lakini pia kocha anawajua wachezaji wake (kuna uelewano kati ya kocha na wachezaji) ambacho kwa siku karibubi hiki kitu kocha wetu alikishwa kabisa
Kochwa kunyimwa hela haina maana kwa ndo aharibu kabisa timu kuanzia nyuma, katika na mbele kiasi kwamba yeye mwenyewe au management hawajui ni eneo gani lenye shida. Hakutakiwa kujifananisha na man city etih kwa sababu wao wanatumia hela nyingi, yeye alitakiwa afanye kazi atumie wachezaji alio nao au aende akachukue kwenye academy na sio kuharibu timu nzima mpaka tumefika mahali hata De gea sasa anaonekana mbovu
Alimtaka Bailly akaletwa, lindelof akapewa basi ajaribu kuwafanya wawe wazuri lakini wapi kilichotokea ni kwamba hata hao amegombana nao baadhi kiasi kwamba mchezaji anakuwa hajiamini tena
Kocha alichotakiwa kujua kwamba Man united sio man city, sio liverpool, sio chelsea, sio totenham wala sio sawa na timu yoyote bali alitakiwa afanye kazi bila kujali hizo timu nyingine. Hili pia alishindwa
Mkuu bodi inalaumiwa kwa kutafuta watu ambao si sahihi kuiongoza club unampa kazi kocha mpak bus halafu unamnyima pesa unafanya nini? Yani rashford akabe?Sikuelewa kwann bodi hawakumwamini huyu kocha na at least yeye aliweza kufanya timu icheze soka la kupendeza ila tu kilichokuwa kina miss ni striker mmaliziaji wa kufunga goli 20+ kwa msimu
Hapa ndo tunarudi pale pape baadhi ya mashabiki wanailamu bodi kwamba yenyewe ndo yenye makosa ambayo ukiangalia ni ukweli
Lakini angalia tofauti kubwa iliyopo kati ya maurino na Van gal kwamba Van Gal pamoja na kufanya kazi katika mazingira magumu lakini timu haikuonekana kuvurugika kama ilivyo sasa at least tulijua kwa van gal kwamba shida ni umaliziaji. Ila kwa huyu maurino kisa tu kakosa wachezaji wake basi kaivuruga timu nzima hautuji kama shida ni striker, midfielder, beki au kipa. Kwa kifupi ni kwamba ameiharibu timu nzima
Na mwisho na baya zaidi ni kwamba ameuwa confidence za asilimia kubwa ya wachezaji. Wakati ukiangalia Van gal yeye hakujali kama bodi hawampi support alienda kwennye academy akachukua makinda wakina Rashford, Tuanzabe, n.k akawafanye wacheze timu ya wakubwa na akawajengea confidence

U have a point chusa. Ninachoona ni kuwa man utd ina kikosi kizuri. Tatizo ni kocha. And yes confidence ni tatizo. Lakin kikosi hiki kikirudishiwa confidence kitakuwa moto sanaSikuelewa kwann bodi hawakumwamini huyu kocha na at least yeye aliweza kufanya timu icheze soka la kupendeza ila tu kilichokuwa kina miss ni striker mmaliziaji wa kufunga goli 20+ kwa msimu
Hapa ndo tunarudi pale pape baadhi ya mashabiki wanailamu bodi kwamba yenyewe ndo yenye makosa ambayo ukiangalia ni ukweli
Lakini angalia tofauti kubwa iliyopo kati ya maurino na Van gal kwamba Van Gal pamoja na kufanya kazi katika mazingira magumu lakini timu haikuonekana kuvurugika kama ilivyo sasa at least tulijua kwa van gal kwamba shida ni umaliziaji. Ila kwa huyu maurino kisa tu kakosa wachezaji wake basi kaivuruga timu nzima hautuji kama shida ni striker, midfielder, beki au kipa. Kwa kifupi ni kwamba ameiharibu timu nzima
Na mwisho na baya zaidi ni kwamba ameuwa confidence za asilimia kubwa ya wachezaji. Wakati ukiangalia Van gal yeye hakujali kama bodi hawampi support alienda kwennye academy akachukua makinda wakina Rashford, Tuanzabe, n.k akawafanye wacheze timu ya wakubwa na akawajengea confidence
Man u walikuwa naye enzi za fergie. David gill kama unamkumbuka. huyu ndio alileta vyombo pale united. Toka aondoke man u imekuwa ikisajili wachezaj wa ajab ajab. Na pia man u ikavunja structure ya director of football.Wanaiiga arsenal sasa.
Recruitment procedure, na kuwa na mkurugenzi wa soka ambaye kocja ataripoti kwake.
Arsenal tunaweka mifano uk.
Hii taarifa umepewa na nani? Kwamba Carrick ndio interim coach.Man u hakuna RANGI ambayo hamtakaa muione!!!!Eti carick ndio mrithi mpaka mwisho wa msimu
Glazers ndio wanye timu ww unawaita wahuni.Issue mkuu haijakuwa solved huyo kocha anaekuja nae atatimuliwa muda si mrefu. Issue ipo kwa glazer na genge lake la wahuni ambao wanakula hela za Man u kwa ujanja ujanja