Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaaa tutaona mengi msimu huu ... so excited now days msije mkajikana baadaye
Eddy wangu weeeee sasa Baba keshamleta mama mwingine unataka nipingane na baba nikose ada? Mimi nahitaji bado sapoti ya baba ndo kwanza niko form one baba ndo mambo yote kwangu nimpinge mawazo yake halafu niishie kuwa mtoto omba omba ? Sina jinsi ya kutomkubali,km niliweza kuwakubali kina Asha ngedere life likasonga basi hata kina Kim nitawasapot tu mimi nachohitaji ni furaha ya tumbo langu lishibe,elimu nipate hayo mengine baba atajiju na mizigo yake , halafu mwisho wa siku ujue baba ananihitaji sana ili mambo yake yanafikiwe.........wacha movie iendeleeeee tutafika tu...... dady #IneedonlyPreMiuMcup this time if u want to give me more its okey,fine........ Welcome Jozee Mourinho at OT .......... #GGMU
 
07abb8992e4481132190fe798f9ef35d.jpg

Deal went well, tusubiri utekelezaji tu
 
Hizi zitunze kabsaa

Ila mwakani tuna wapga nje ndani

Ukiwa na maana na wewe utapigwa nje ndani kwenye Manchester derby?naona ni mwendo wa kukariri tu bado nakumbuka pre-season alipigwa RM akafata Liverpool mkanyanyua ndoo hata jina nimelisahau duh amani ilitoweka umu,karibuni tena kwenye kelele zenu kama kawaida bado nasema after Sir Ferg hakuna jipya na mnahitaji muda anzia na The Choosen One,Master Tactics na The special one soon mtafanana na wale kwa timuatimua.
Hongereni kwa Mourinho na hongereni kwa kuanza maisha mapya ya matumaini tofauti na jana.
 
Aiseee mtani kama sisi tutakuwa hatuna jipya yaani nyie ndo itakuwa zaidi aiseee.......napita tu mtani
 
Mda wako wa kuongea ndo huu, msimu ukianza utajua
 
Aiseee mtani kama sisi tutakuwa hatuna jipya yaani nyie ndo itakuwa zaidi aiseee.......napita tu mtani

Mtani tofauti yetu ni mitaa ingawa ni majirani,toka babu asepe lini haujaishi kwa presha ndio wote EPL tunaishia kuiona kwa wenzetu ila mwenzangu kuna vingi unakosa mfn UCL spot kwako ni kama kuisaka bikra uswahilini na kila game kwako mashaka.
Natamani msimu uanze jirani tuna mengi ya kuzungumza
 
Ahhahahaha mtani mifano mingine siyo bana ,kwani mm sikucheza UEFA si umenizidi padogo tu nikatoka Leo ww kesho ukatoka kama ulivyosema hatuna utofauti ila aiseee mimi Nina kaafadhali sana kuliko Mwenzangu na mm sabb zinaeleweka km ulivyosema haya wewe jirani sabb zako Nini?
 
Eddy wangu weeeee sasa Baba keshamleta mama mwingine unataka nipingane na baba nikose ada? Mimi nahitaji bado sapoti ya baba ndo kwanza niko form one baba ndo mambo yote kwangu nimpinge mawazo yake halafu niishie kuwa mtoto omba omba ? Sina jinsi ya kutomkubali,km niliweza kuwakubali kina Asha ngedere life likasonga basi hata kina Kim nitawasapot tu mimi nachohitaji ni furaha ya tumbo langu lishibe,elimu nipate hayo mengine baba atajiju na mizigo yake , halafu mwisho wa siku ujue baba ananihitaji sana ili mambo yake yanafikiwe.........wacha movie iendeleeeee tutafika tu...... dady #IneedonlyPreMiuMcup this time if u want to give me more its okey,fine........ Welcome Jozee Mourinho at OT .......... #GGMU
Sawa mtani hongera kwa fasihi .... mimi nashkuru mmemrudisha nilimiss sana domokaya lake....

Atakuja na nani toka pale Chelsea nimesikia chokochoko eti William, kweli?..... nasubiri surprise nyingi toka kwake nahisi Leo Mo hatalala maana kaamua kufungua na Instagram kabisa

Ila pia hongereni kwa kurudisha boring football maana ma-Chevrolet yote mtakuwa mnayapaki nyuma kamakawa wazee wa back passes lazima mpewe taji tena
 
Mou karibu OT. Umekuja wakati mbaya, utapata wakati mgumu kuliko ulivyokuwa pale darajani. Media za uk zilikumiss wakati chelsea walipokutupia virago. Vilichangia kukuondoa pale darajani na vimekusaidia kukuweka hapo OT.

Unakazi kubwa sana kuirudisha United pale alipoiacha mzee Ferguson. Utakabiliwa na upinzani mkali toka majirani zako chini ya kocha bora kabisa kwa sasa namaanisha Pep Guandiola. Kule London kwa Chelsea na spurs ni vita. Kule Merseyside kwa klopp nu sheeder. Nje ya uwanja zipo media. Ila kiukweli umeongeza ladha kwenye epl. Ulipoondoka kuna vitu vilikosekana. Tulilimiss domo lako, nyodo na kuburi chako.

Karibu tena ingawa kuna wakati nakuonea huruma.
 
Mtani tofauti yetu ni mitaa ingawa ni majirani,toka babu asepe lini haujaishi kwa presha ndio wote EPL tunaishia kuiona kwa wenzetu ila mwenzangu kuna vingi unakosa mfn UCL spot kwako ni kama kuisaka bikra uswahilini na kila game kwako mashaka.
Natamani msimu uanze jirani tuna mengi ya kuzungumza
Kwema kaka?

MNA POINT 6 ZETU
 
Back
Top Bottom