Kuna Rio, Neville, Gigs, Keano na wengine wengiNimeshangaa sana huyu jamaa
Msome rio nae alikuwa mshabiki wa mourinho na mtetezi kwamba anamtetea kocha na timu ina maana nae wa hovyo? Jukwaa hili lina mambo ya ajabu sanaView attachment 971389
Mimi ni mshabiki wa timu na bench zima la ufundi sio mshabiki wa kocha nyie ndugu zangu wawapi? Yaani kama mtu mmoja anawazo tofauti ina maana ni adui wa timu? Ukikuta mnakubaliana wote jambo moja bila kupingana ubongo wenu unaweza kuwa na tatizo tumefukuza makocha wawili mourinho wa tatu nani mwenye tatizo? Unaweza kuniambia kwa nini makocha wawili hawakuwahi hata kushika nafasi ya pili na timu? Matatizo ya hii timu sio kocha ni uongozi mzima ila mnaweza kumhukumu mourinho kwa kuwa yeye ni kocha lakin ili kocha afanikiwe kuna vitu vingi sanaHahahahahahahahahahahahahahahaha lile genre la Mourinho mgalatia limekimbia ,wengine wamebadilishia gia an gani akina RADIKA Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Hapa leo pametoa kali ya mwakaKuna Rio, Neville, Gigs, Keano na wengine wengi
Na baada ya Mourinho kutumbuliwa, Neville amesema angependa Poch ndio apewe timu
Kwahiyo hapa watamshangaa Neville kutoa huo ushauri, kisa tu huko nyuma alikuwa anamsapoti Jose
Bado tumebaki na phil jones, chris smalling ashley young na valencia sisi ni maluza au washindi?Kuna Rio, Neville, Gigs, Keano na wengine wengi
Na baada ya Mourinho kutumbuliwa, Neville amesema angependa Poch ndio apewe timu
Kwahiyo hapa watamshangaa Neville kutoa huo ushauri, kisa tu huko nyuma alikuwa anamsapoti Jose
Watu wanafurahia Mou kufukuzwa ila tumetoka kwenye great Manchester na sasa hivi tunawaona Chelsea ndio role model wetu. Baada ya miaka kadhaa mtaona side effect ya kilichotokea leo. So sad kwa timu yangu.Mimi ni mshabiki wa timu na bench zima la ufundi sio mshabiki wa kocha nyie ndugu zangu wawapi? Yaani kama mtu mmoja anawazo tofauti ina maana ni adui wa timu? Ukikuta mnakubaliana wote jambo moja bila kupingana ubongo wenu unaweza kuwa na tatizo tumefukuza makocha wawili mourinho wa tatu nani mwenye tatizo? Unaweza kuniambia kwa nini makocha wawili hawakuwahi hata kushika nafasi ya pili na timu? Matatizo ya hii timu sio kocha ni uongozi mzima ila mnaweza kumhukumu mourinho kwa kuwa yeye ni kocha lakin ili kocha afanikiwe kuna vitu vingi sana
Kama tunataka mpira wa kushambulia basi ni kocha wa spurs tu zidane mechi kubwa anacheza kaunta atak means anapak busPossible replacement
1. Carrick
2. Arteta
3. Jardim
4. Blanc
5. Zidane
6. Wenger
7. Pochetino
8. Garry Neville
9. Conte
10. Hiddink
11. Rodgers
Hawa ni baadhi ya makocha wanaotajwa tajwa
Nadhani pia Spurs hawana ambition ya kuchukua makombe.
Kama una ambition ya kuchukua makombe, lazima usajili.... Tena sio kusajili tu, bali usajili wachezaji bora
Watu wanafurahia Mou kufukuzwa ila tumetoka kwenye great Manchester na sasa hivi tunawaona Chelsea ndio role model wetu. Baada ya miaka kadhaa mtaona side effect ya kilichotokea leo. So sad kwa timu yangu.
Kuna jamaa hapo chini ametoa point kubwa sana @chunky88Nimeshangaa sana huyu jamaa
Msome rio nae alikuwa mshabiki wa mourinho na mtetezi kwamba anamtetea kocha na timu ina maana nae wa hovyo? Jukwaa hili lina mambo ya ajabu sanaView attachment 971389
Spurs hawajasajili kocha walie nae ana miaka kati ya 5 au 6 anaijua timu nje ndani anawajua players wake nje ndani hadi academy yake anaijua vizur sana na wachezaj wameielewa falsafa yake imewakaa vizurPoint Yangu nadhani hujaielewa
Ukimtoa Bastian ambaye aliingia top 5 ya mauzo ya jezi na Depay aliyeingia top3 wachezaji wengi aliowataka LVG hawakuja sababu sura mbaya kama Muller hazitakiwi man u ya sasa, watu kama perisic ambao sio maarufu hawatakiwi, Timu imekuwa ni all about business,Wanashangilia vibaya sana kama tunakwenda kufanikiwa wakat kocha ajae hatujui kama nae project zake zitakuwa nzur au laa
Pia yanaweza kuwa ya liverpool ukawa ndo mwisho wa manchester united tukawa tunajivunia historia tu
Angalia bek zilizobak na viungo kisha angalia top 5 ya bek na viungo jumlisha na ushambuliaji je tunawakamata?
Tunapondana na kushangilia tunachokijua tunachofanya?
Mourinho katuachia timu gani?
Van gaal, Moyes na Mourinho kila mmoja kainyooshea kidole bodi ya united juu ya utafutaji na uundaji wa timu ya ushindani leo mtu anashangilia na kuzodoana kama tumeachia timu yenye nguvu ulaya
Toka aondoke sir alex hatujawahi hata kuwa na timu bora ulaya ktk top 10 tumezidiwa hata na atletico madrid kwa nini?
kumbukumbu zangu zinanidanganya kuwa, Van Gaal aliwapa FA na kesho yake Mourinho akatangazwa kumreplace.Pay respect to this guy aisee , na mapungufu yote yake ndio kocha pekee aliyewapa vikombe baada ya Sir Alex kuondoka ..
Pogba mwenyewe anakingiwa kifua mauzo ya jezi mchezaj mzur anajulikana hata awe kwa kocha mpak bus tumemtoa rooney everton inayojilinda yeye alijipambanua kuwa bora ndo mana alionekana leo mtu anakwambia flani hang'ai kwa kuwa tunazuia yule greizman kula wanashambulia?Ukimtoa Bastian ambaye aliingia top 5 ya mauzo ya jezi na Depay aliyeingia top3 wachezaji wengi aliowataka LVG hawakuja sababu sura mbaya kama Muller hazitakiwi man u ya sasa, watu kama perisic ambao sio maarufu hawatakiwi, Timu imekuwa ni all about business,
Kocha anakuwa hana maana tena na maamuzi yake hayasikilizwi kwa style hii tutegemee tu kuchechemea kwa miaka mingi hadi Glazer na wahuni wake kina Woodward waondoke,Toka aondoke Gil hakuna chochote wanachofanya.
Na tulishangilia kweli kweli lakini na yeye alisema hakupata chaguo zake sahihi tulimhukumu bila kujua nini kinafanywakumbukumbu zangu zinanidanganya kuwa, Van Gaal aliwapa FA na kesho yake Mourinho akatangazwa kumreplace.
kumbukumbu zangu zinanidanganya kuwa, Van Gaal aliwapa FA na kesho yake Mourinho akatangazwa kumreplace.
Hahaha mkuu una kumbukumbu vizuri sana hahahaha tumetukanwa sana... Sitaki kuwatag waliotutusi najua wapo na wanaona yanayojili.
Niseme kitu tu, Usajili wa aina yoyote awe kocha au mchezaji ni Gambling. Ukisajili kocha akizingua piga chini. Najua watu watakuja na tantalila za mbona Ferguson alivumiliwa miaka yake ya mwanzo.
Moja ya post ya hovyo kabisa kuwahi kuisoma humu jf.
Unasifia striking force ya liverpool hivi unajua wamefunga magoli mangapi zaidi yetu?
Inakuaje timu inayopaki basi na kuua vipaji ikafunga magoli mengi zaidi ya arsenal, Chelsea, spurs na wapuuzi wengine.
Unazungumzia sexy football, hivi tangu aondoke Ferguson ni lini tulishawahi cheza mpira wa kushambulia? Au umezimisi side pass na back pass za van gaal?
Hakuna kitu kizuri kwenye mpira kama makombe mzee, mbinu za mreno ni kukupa makombe, mashabiki wa ass no wanabweka kila siku Mr bean aondoke wakati ni moja ya timu zinazocheza mpira wa kuvutia sana England.
yani hapa ni kama unampanga john terry au vidic striker, utamuambiaje mou asipaki basi wakati ndio kipaji na uwezo wake wa kufundisha soka miaka nenda miaka rudi?
kama hutaki basi au uongozi wa man u hautaki solution ni kumfukuza mourinho na sio kumpangia mourinho afanye nini.
mimi kama mshabiki ambae nimeangalia kwa uchungu toka enzi za moyes, lvg mpaka sasa timu yetu ikionewa na kushika nafasi ya 7 nipo na mou asilimia 100 na nimeridhia timu yetu ipaki basi.
sasa hivi tunahitaji makombe kuboost confidence, tunahitajika kushinda makombe ili kuepuka balaa la kuwa timu ndogo.
hao liverpool unaowasifia miaka 10 sasa wana kombe moja tu, ila mourinho mwaka mmoja tu aliokaa katupa makombe matatu.
nikuulize wewe upo tayari tucheze mpira wa kushambulia mwanzo mwisho miaka kumi bila kushinda chochote cha maana?
au utakubali tupaki basi miaka miwili mitatu hii timu irudi vizuri then ndio tuanze kufikiria huo mpira unaoutaka?
Wakuu hiki kipindi cha mpito tumpe timu jemedari paul scholes wakat wanatafuta kocha kamili aje athibitishe maneno yake
Hahahaha apewe tu tumuoneJaribuni hicho kitendo muone
Manchester kabla ya chochote kwanza inahitaji mtu ambaye mwenye Talent of Wisdom wa kuirudishia Imani dressing room bila ya kujali matokeo mpaka mwisho wa huu msimu tu then yafuate mengine.
Venginevyo panaweza pakachafuka zaidi.
Nafukua kaburi, kipindi watu humu wakiongelea tetesi za Mourinho kuajiriwa Manchester United, mimi nilisema kama inavyoonekana hapo juu.Akija Mourinho nahamia Middlesbrough