Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkimpata mtu kama zidane, atatembea vzr, anajua kuwapa moyo wachezaji, atatumia rasilimal zilizopo, atawafikisha pazuri,
Hata kwa wachezaji waliopo man u, akipewa wenger atatembea vzr, maana ni wachezaji wanaopenda kushambulia,
Una pogba, fred ,herera ,hao ni viungo wazur duniani,
Una martial , rashford ,
Msimamishe lukaku apate mipira ,
Hii timu akipewa kocha muhamasishaji, akawabadil kisaikolojia akaishi nao kirafik , itatisha,
Tatizo mou kila siku kugombana na wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app