Hapo pia bodi nzima na mashabiki watamchukia sana hadi aone dunia ngumu sana kwake. Nampenda pia mshikaji ila kwa uhusiano Wa sasankati yake na kocha kwa maendeleo yake ni heri aondoke tuHivi ikitokea mick amegoma ,sipati picha mahusiano yake na Jose yatakuaje akibaki
Sikatai na wala sipingi Mou kuendelea kuwa kocha wa Man United kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kibiashara, na ninapoongelea Soka la Kushambulia na kasi simaanishi soka la Asernal or Liverpool, naongea Falsafa, Barca wanacheza Sexy football na wana makombe ya kutosha.yani hapa ni kama unampanga john terry au vidic striker, utamuambiaje mou asipaki basi wakati ndio kipaji na uwezo wake wa kufundisha soka miaka nenda miaka rudi?
kama hutaki basi au uongozi wa man u hautaki solution ni kumfukuza mourinho na sio kumpangia mourinho afanye nini.
mimi kama mshabiki ambae nimeangalia kwa uchungu toka enzi za moyes, lvg mpaka sasa timu yetu ikionewa na kushika nafasi ya 7 nipo na mou asilimia 100 na nimeridhia timu yetu ipaki basi.
sasa hivi tunahitaji makombe kuboost confidence, tunahitajika kushinda makombe ili kuepuka balaa la kuwa timu ndogo.
hao liverpool unaowasifia miaka 10 sasa wana kombe moja tu, ila mourinho mwaka mmoja tu aliokaa katupa makombe matatu.
nikuulize wewe upo tayari tucheze mpira wa kushambulia mwanzo mwisho miaka kumi bila kushinda chochote cha maana?
au utakubali tupaki basi miaka miwili mitatu hii timu irudi vizuri then ndio tuanze kufikiria huo mpira unaoutaka?





Hapo pia bodi nzima na mashabiki watamchukia sana hadi aone dunia ngumu sana kwake. Nampenda pia mshikaji ila kwa uhusiano Wa sasankati yake na kocha kwa maendeleo yake ni heri aondoke tu
Hakuna mkuu ila ila nilimaanisha nguvu uwezo wa wachezaji wake mara nyingi ni waghalama kubwaKuna kocha aliewai kupata makombe kwa nguvu za mashabiki?
Kuna jamaa alivamia jukwaa then mbishi while yuko empty
Sikatai na wala sipingi Mou kuendelea kuwa kocha wa Man United kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kibiashara, na ninapoongelea Soka la Kushambulia na kasi simaanishi soka la Asernal or Liverpool, naongea Falsafa, Barca wanacheza Sexy football na wana makombe ya kutosha.
Man United kwa kikosi cha Msimu huu haina sababu ya kujilinda au kucheza kwa kuhofia/kupack basi, tuna kikosi kizuri na kikubwa.
Tuna Kipa ambaye kwa sasa ndio Kipa namba moja duniani, mabeki wazoefu na wazuri, Viungo na washambuliaji wa uhakika, kinachotukwamisha ni Falsafa yetu tu.
Tunapack bus had kwa Benley? Tunafunga na timu ndogo, timu kama Crystal Palace nayo ni ya kuipakia bus.
Tuache wachezaji wafunguke, tushinde goli nyingi na soka liwe la uhakika hata hizi timu ndogo zitatuogopa kama ilivyokuwa enzi za SIR Alex.
Tulikuwa hatufungwi na timu za kijinga jinga au dro kama tunazopata sasa.
Mfumo wa kujilinda unazifanya hata timu ndogo kutudharau, soka lina kuwa sio la uhakika, ushindi unakuwa wa tabu au shida.
Wachezaji wanapoteza confidence na Radha ya Mpira, waone akina Martial, Mikh, Rashford n.k
Rashford alikuwa anakuja vizuri lakini mfumo unamfanya apoteze Confidence, akiwa timu ya taifa anakuwa tofauti na akiwa kwenye Club.
Martial amepoteza nafasi timu ya Taifa n.k
Enzi za SIR wachezaji wa timu yote walikuwa wanaitwa kwenye timu zao za Taifa.
Mbinu, Itikadi na Falsafa za Mourihno zinaenda kuua confidence na vipaji Old T tuwe wakweli.
Ni shabiki wa Man U since msimu wa 97/98.
Naijua vizuri, sawa tutachukua makombe lakini sio kwa mbinu sahihi.
Magwiji na Mafundi wa Soka wote wanamlaumu Mourihno kwa mbinu zake, tumeona kwa Scoles, Gary Nevel, Gigs na hata Sir Alex.
Ni kweli heshima yetu imerudi nje ya uwanja na si uwanjani, uwanjani bado tunasumbuliwa na timu ndogo.
Hatuna uhakika wa ushindi kwa match zaidi ya tano.
Bado tunashumbuka kupata ushindi hata kwa timu kubwa za top 4.
Hakuna mkuu ila ila nilimaanisha nguvu uwezo wa wachezaji wake mara nyingi ni waghalama kubwa
RanieriKocha gani ambae anachukua makombe halafu kikosi chake sio cha gharama kubwa?
View attachment 678070View attachment 678071View attachment 678072
Kuna MTU humu anaongea mno kuwa eti cjui tunawalipa wachezaji wetu hela ya Karanga....Anaongea hivyo kisa kitimu chake kinapata matokeo siku za karibuni...
Anasahau ya kuwa kitimu chake miaka kedekede hakina hata kikombe cha uji....
Nimemzidi kila sekta..hata uko kwenye mshahara anapochekelea nimemzidi....
Hana hata kikombe kimoja cha the really EPL.., anachojua yy ni kuja kuungana na timu nyingine zilizomuacha mbali na kuanza kuponda timu zilizomzidi...


nani huyo aisee ajue tu ukoo wake wote unaweza kulishwa na rashford kwa miaka 20Yupo tu humu humu anajijua....Hakarabati uwanja yy anakarabati majukwaa tu......Hadi spurs kamzidi...nani huyo aisee ajue tu ukoo wake wote unaweza kulishwa na rashford kwa miaka 20
Moja ya post ya hovyo kabisa kuwahi kuisoma humu jf.Tukiiangalia Match ya Liverpool na Man City kuna vitu vingi vya kujifunza juu ya Match Ile iliyojaaa ufundi na msisimko wa aina yake.
Liverpool wametuonyesha udhaifu wa Man City, Man City hawana mabeki wazuri wala kipa, same as Liverpool lakini wana Striking force nzuri inayowafichia madhambi yao.
Tactically, zilikutana timu zenye Falsafa moja ya kushambulia muda wote wa Mpira, lakini Zenye madhaifu sawa upande wa Mabeki na Kipa.
Kushinda mchezo kulihitaji mbinu za Makocha binafsi, Kloop baada ya Match ametuambia alitumia mifumo zaidi ya Minne kuweza kupata ushindi Ule haikuwa kazi rahisi kuwasimamisha na kuwafunga City ya Pep Gurdiola.
Kosa kubwa alilofanya Klop ni kupunguza pressing force langoni mwa City kwa kuwatoa Salah na Mane' ili kulinda ushindi jambo lililoipa City nafasi ya kusawazisha magoli.
Ni makosa kujilinda mbele ya Viungo na Washambuliaji wa City, Gurdiola ni fundi katika Creativity eneo la 18 la timu pinzani, anawafanya akina De Bruyne, Sane na Silver kuwa ma ghost pale mbele, watakufunga ndani au nje ya 18 licha kuweka wachezaji zaidi ya Sita kuzuia.
Klop aligundua udhaifu wa City kuanzia safu ya Kiungo, ndio mana alitumia zaidi Mawinga/viungo wa pembeni wenye mbio.
Na goli la mapema la Chamberlain liliwashangaza City.
Tumemuona Gurdiola licha ya kutanguliwa goli zaidi ya tatu hakuwa na Pressure alibadilisha mchezo na kuifanya City kucheza mpira wake dakika 15- 20 za mwisho za mchezo na kufanikiwa kurudisha magoli mawili.
Strike force ya Liverpool haikuwa makini, wangeweza kushinda magoli zaidi ya Site kama wangekuwa na utulivu, Mane' hakuwa na bahati.
Pengo la Countihno lilionekana katika kiungo cha Liverpool na kazi kubwa ikahamia kwa Salah.
City nao kumkosa Silver kulifanya mfumo kutokuchezeka, wa pasi nyingi nyingi na fupi fupi kati ya Silver, De Bruyne na Sane hali iliyopelekea kutokuona makali ya Aguero.
Ukiangalia kikosi cha Liverpool, City na hata Chelsea hakuna timu yenye kikosi chenye mchanganyiko Mzuri kama Man Utd kwa sasa pale Old T.
Mourihno anatakiwa kubadilika na kuachana na mbinu zake kujilinda, anatakiwa kuifanya timu na wachezaji kuwa huru.
Man Utd ingekuwa chini ya Gurdiola tungekuwa tunaongea mengine muda huu.
Mfumo wa kujilinda na kukaba unafanya vipaji vingi kupotea au kufanya pale Old T.
Timu inakosa kasi na ari ya kushambulia, Mikhtaryan ndio huyo ameshapotea licha ya uwezo na kipaji alichonacho, A. Martial hayupo huru uwanjani na anabidi kutumia muda mwingi kulinda kuliko kushambulia.
Licha ya Shughuli ya Matic kuijua lakini hatuoni ile kasi yake uwanjani, Matic mwisho wake ni katikati katikati haruhusiwi kwenda kushambulia.
Wakati msimu uliopita ndio alikuwa moja ya Wachezaji waliokimbia Km nyingi, Mou anaua kipaji cha Any Hererra kwa kumtaka akabe kuliko kushambulia, Kabla Herera alikuwa kama Countihno wa sasa.
Kwa falsafa ya kukaba zaidi kunaifanya timu kukosa Ubunifu pale mbele, ni kweli tunashinda lakini katika mazingira magumu, hard football na sio Sexy football kama ya City au Barcelona.
Asili ya Man United ni kucheza soka la nguvu, kushambulia na la kasi kwa kutumia Mawinger zaidi.
Tete si za kusajiliwa Sanchez au Ozil nataka kujua Mourihno amekubali kubadilika, hawa akina Sanchez ni wachezaji wanaocheza soka wakiamini katika vipaji vyao na kasi ya timu.
Mourihno akibadilisha style na falsafa yake na kucheza soka la kushambulia na kasi muda wote, timu itafunga magoli mengi zaidi ya wanachokifanya City.
Timu ina upungufu wa Creative players kutokana na mfumo, kwa sasa ni Pogba tu, lakini kuna akina Mikh, Martial na Matta.
Asernal World Class Player alikuwa Sanchez na Ozil pekee timu ilikosa top players wengi.
Man United kuna mchanganyiko Mzuri.
Tusubiri Ujio wa Sanchez.
Mkuu ao watu watakuchosha tu uwa hawanaga hoja zaid ya majungu kwa morinho.ukitaka kwenda nao sawa wewe soma post zao then zipite tu kama hujaziona vileKocha gani ambae anachukua makombe halafu kikosi chake sio cha gharama kubwa?
na pia wana ma super star wa kutoshaSikatai na wala sipingi Mou kuendelea kuwa kocha wa Man United kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kibiashara, na ninapoongelea Soka la Kushambulia na kasi simaanishi soka la Asernal or Liverpool, naongea Falsafa, Barca wanacheza Sexy football na wana makombe ya kutosha.
kocha ndio anajua acheze mfumo gani, yeye ndio kazi yake hio na sio sisi. hao mabeki wazoefu wazuri ni wapi? hebu nitajieMan United kwa kikosi cha Msimu huu haina sababu ya kujilinda au kucheza kwa kuhofia/kupack basi, tuna kikosi kizuri na kikubwa.
Tuna Kipa ambaye kwa sasa ndio Kipa namba moja duniani, mabeki wazoefu na wazuri, Viungo na washambuliaji wa uhakika, kinachotukwamisha ni Falsafa yetu tu.
umedanganya na huangalii mpira kwa hii comment unaonekana unahadithiwa tu. kwanini nakwambia hivi?Tunapack bus had kwa Benley? Tunafunga na timu ndogo, timu kama Crystal Palace nayo ni ya kuipakia bus.
hao makocha waliokuja baada ya fergie na wakawa wanashambulia walishinda nyingi eeh.Tuache wachezaji wafunguke, tushinde goli nyingi na soka liwe la uhakika hata hizi timu ndogo zitatuogopa kama ilivyokuwa enzi za SIR Alex.
Tulikuwa hatufungwi na timu za kijinga jinga au dro kama tunazopata sasa.
Mfumo wa kujilinda unazifanya hata timu ndogo kutudharau, soka lina kuwa sio la uhakika, ushindi unakuwa wa tabu au shida.[/url]
hebu nitajie mwaka ambao martial au rashford wamecheza vizuri kuliko msimu huu, sikuelewi ujue rashford huyu huyu ambae ana goli 9 na assist 5? martial huyu huyu ambae ana goli 10 na assist 6? hawa jamaa wapo kwenye form ya maisha na wanacheza vizuri kushinda miaka yote waliyowahi cheza. ili labda uelewe Eden Hazard ana goli 6 na assist 4 msimu huu. amepitwa na wote hao wawili.Wachezaji wanapoteza confidence na Radha ya Mpira, waone akina Martial, Mikh, Rashford n.k
Rashford alikuwa anakuja vizuri lakini mfumo unamfanya apoteze Confidence, akiwa timu ya taifa anakuwa tofauti na akiwa kwenye Club.
Martial amepoteza nafasi timu ya Taifa n.k
si kweli, carrick alikuwa mara anaitwa mara haitwi, jones na smalling pia hivyo hivyo, butner, bebe, de gea wote walikuwa hawaitwi.Enzi za SIR wachezaji wa timu yote walikuwa wanaitwa kwenye timu zao za Taifa.
kama nani kipaji chake kinauliwa?Mbinu, Itikadi na Falsafa za Mourihno zinaenda kuua confidence na vipaji Old T tuwe wakweli.
lini sir Alex amemponda mou? link please. na hao wachezaji wa zamani uliowataja ni ma pundit, kazi yao ni kuponda wanalipwa wafanye hivyo, kama unachukua opinion za pundits na kuzifanya ni fact nakuonelea huruma. maana utahangaika kila siku.Ni shabiki wa Man U since msimu wa 97/98.
Naijua vizuri, sawa tutachukua makombe lakini sio kwa mbinu sahihi.
Magwiji na Mafundi wa Soka wote wanamlaumu Mourihno kwa mbinu zake, tumeona kwa Scoles, Gary Nevel, Gigs na hata Sir Alex.
si ndio maana tumekaa mechi zaidi ya 40 bila kufungwa OT,[/quote]Ni kweli heshima yetu imerudi nje ya uwanja na si uwanjani, uwanjani bado tunasumbuliwa na timu ndogo.
Hatuna uhakika wa ushindi kwa match zaidi ya tano.
Bado tunashumbuka kupata ushindi hata kwa timu kubwa za top 4.
Mhuuu acha aseeHivi Kuwa Ni wewe Ndiye Mchezaji Wa Mpira Ukotayari Kupelekwa Arsenal??
Micky hataki Kwenda Kulipwa Pesa ya Karanga.