Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Manchester United starting 1st 11
De gea

Pogba
Martial






De gea

PogbaMartial







Pogba






Mkuu hii game tukishinda ni mungu katupendelea tu hapa sioni hata dalili ya drawArsenal kuvunja mwiko wa kitambo kingi ??
Leo katika dimba la Old Trafford Manchester United wanawakaribisha Arsenal katika mechi ya ligi kuu ya soka ya Uingereza inayotarajiwa kuanza mishale ya saa 5:00 Usiku.
Arsenal wana rekodi mbaya ndani ya dimba la Old Trafford katika mechi za Ligi kuu ambapo mara ya mwisho kupata ushindi katika uwanja huo kwa mechi za Ligi kuu ya Uingereza ni Septemba 17, 2006 goli la Emmanuel Adebayor.
Na kwa kipindi chote hiko cha takribani miaka 12 Arsenal wamekuwa wanachezea kichapo au kupata sare tu .
Je unadhani vijana wa Unai Emery wanaweza kuvunja huo mwiko na kupata ushindi leo ? au United wataendelea kutunza rekodi yao ?
Mkuu sio kirahisi hivyoMkuu hii game tukishinda ni mungu katupendelea tu hapa sioni hata dalili ya draw
Fear factor ya Old Trafford haipo tena nategemea Arsenal kutunyanyasa sana Leo.
Na Leo hii mechi siangalii sipendi aibu za kujitakia Mimi.
Mkuu naelewa lakini kwa mwenendo wa timu yetu na hasa kipindi hiki tuna majeruhi ya beki zetu tunazozitegemea matumaini ni madogo mno mpira wa sasa haubebwi na historia mkuu yule tulokuwa tunamuonea mzee wenga hayupo tenaMkuu sio kirahisi hivyo
Hamna mkuu timu yetu sio ndogo mi siwezi kumuoga arsenal ndio kushinda anaweza maana nayo ni timu nzur ila sio kiivo kuanza kuwaogopa wakishinda ni sehemu ya mchezo ila si kwamba wana quality nzur ya wachezaj kutushinda ni vile tu kocha atakuja na game plan nzur.Mkuu naelewa lakini kwa mwenendo wa timu yetu na hasa kipindi hiki tuna majeruhi ya beki zetu tunazozitegemea matumaini ni madogo mno mpira wa sasa haubebwi na historia mkuu yule tulokuwa tunamuonea mzee wenga hayupo tena
Kikosi huwa kinatupa picha ya mchezo utakavyokuwa upande wetu. Mi nasubiri kuona kikosi cha leo mkuuHamna mkuu timu yetu sio ndogo mi siwezi kumuoga arsenal ndio kushinda anaweza maana nayo ni timu nzur ila sio kiivo kuanza kuwaogopa wakishinda ni sehemu ya mchezo ila si kwamba wana quality nzur ya wachezaj kutushinda ni vile tu kocha atakuja na game plan nzur.
Poa.Kikosi huwa kinatupa picha ya mchezo utakavyokuwa upande wetu. Mi nasubiri kuona kikosi cha leo mkuu
Kupenda ni kuchagua usilazimishe mtu ashibikie team za kipuuzi ulizokarilishwaUkimuona leo anayejiita shabiki wa Chelsea, Man city na Leicester hata Totenham jua
1.Alikuwa shabiki wa liverpool, arsenal, man United, Newcastle au everton.
2.hakuwa mshabiki wa mpira bali kaanza kushabikia sasa na ndo kazikuta hizo timu ziko kwenye njia.
3.ni mhamiaji haramu.
4.katoka kijijini kafika mjini katafuta timu ya kushabikia kazikuta hizo.
Shabiki mkongwe wa mpira na anayeujua mpira vema utamkuta liverpool, arsenal, man United, Newcastle na everton hizi ni timu zenye historia na umaarufu unaoeleweka. Kwa mbaali sana nimewaacha na Aston villa.
City huo kwa sasa ni muendelezo mkuu sio kama team zako izo za mtaani unazozitajaCity haiwezi kuwa level ya United, hivi ule msimu Mtibwa ilivyochukua ubingwa ilikuwa level ya Yanga, au Simba? Au kipindi kile Mbeya City ipo vizuri ilikuwa level ya Yanga au Simba. Man City ni kama Mbeya City tu
Tell her bossSafi Sana ndugu mchambuzi ambaye miaka michache nyuma hukujua hata Kama kuna kitu kinaitwa Jamii forums achilia mbali miaka ya Jambo forum wakati ambao hukujua hata maana ya internet
Umelipwa kiasi gani na kuanza kwako zamani kushabikia mpiraKumbe umeanza kushabikia soka 2010, that's why u know nothing, hapa ni sawa nabishana na mtoto wa chekechea kwenye masuala ya soka
Mimi nimekuwa shabiki tangu tunashinda treble, kwa hiyo unaweza kuona tofauti yetu na tofauti ya timu zetu (mtashinda treble labda ya kupiga pasi)
Hivi wewe ni shekhe Yahaya? Umesema kuwa msimu ujao hatutacheza UEFA?
Yah, Kwa MUFC ni bora ikose mapato.Mkuu kukosa mapato unaona ndio itakuwa bora?
We umelipwa shilingi ngapi ku comment hapaUmelipwa kiasi gani na kuanza kwako zamani kushabikia mpira