Manchester United (Red Devils) | Special Thread

United's Last 6 seasons after 14 games

2013 = 25pts (Moyes)
2014 = 25pts (LVG)
2015 = 28pts (LVG)
2016 = 21pts (Jose)
2017 = 32 pts (Jose)
2018 = 22pts (Jose)
 
United's Last 6 seasons after 14 games

2013 = 25pts (Moyes)
2014 = 25pts (LVG)
2015 = 28pts (LVG)
2016 = 21pts (Jose)
2017 = 32 pts (Jose)
2018 = 22pts (Jose)
Hapo probability ya kushiriki UCL inazidi kupungua maana huu msimu unaendana na ule wa 2016 ambao tuliingilia UCL kupitia mlango wa nyuma
 
Wakuu hivi kile kitendo alichofanya Klop jana cha kuingia uwanjani kushangilia goli kabla mechi haijaisha angefanya Mourinho ingekuwaje (Kuanzia kwa Refa, FA na Waandishi/Wachambuzi)
 
Hapo probability ya kushiriki UCL inazidi kupungua maana huu msimu unaendana na ule wa 2016 ambao tuliingilia UCL kupitia mlango wa nyuma
top 4 haiwezekani in reality, na mara hii mlango wa nyuma wa UCL haupo tena. Maana hatuna tunapofika kwenye UCL... in short next season hatumo UCL na itakuwa Kheri kwetu ili tukose mapato na mkataba yanayotokana na UEFA including deal la Adidas litapungua sana.
 
United's Last 6 seasons after 14 games

2013 = 25pts (Moyes)
2014 = 25pts (LVG)
2015 = 28pts (LVG)
2016 = 21pts (Jose)
2017 = 32 pts (Jose)
2018 = 22pts (Jose)
Na goal difference ilikuaje? mana dah.... baada ya mechi 14 bado inasoma kwenye negative??
 
top 4 haiwezekani in reality, na mara hii mlango wa nyuma wa UCL haupo tena. Maana hatuna tunapofika kwenye UCL... in short next season hatumo UCL na itakuwa Kheri kwetu ili tukose mapato na mkataba yanayotokana na UEFA including deal la Adidas litapungua sana.
Na mkataba unaompaga jaeuri edward woodward ni wa adidas tunaposhiriki uefa tunavuta mpunga wa maana ndio ambacho amekuwa akisisitiza timu ishike nafasi za nne za juu sio ubingwa yule mjinga msimu uliopita tulishika nafasi ya pili anamtumia mourinho mesej kumwambia alikuwa na msimu mnzur sana wakat hatukuchukua hata kombe moja mawazo yake ni kuvuta pesa za adidas maana tukishindwa kwenda uefa tunawalipa adidas kipaumbele chake ni pesa si mpira timu imedumaa sana chini ya utawala wa huyu jamaa.
 
Na ndio maana ninaomba sana tusiingie UEFA, this is in best interest of Football Club, I just wish MUFC fans nao, wakagoma kwenda uwanjani mpaka Woody amuondoe Mou na abadilisha timu kutoka kuwa business brand to Football club.
 
Fact mkuu.
 
top 4 haiwezekani in reality, na mara hii mlango wa nyuma wa UCL haupo tena. Maana hatuna tunapofika kwenye UCL... in short next season hatumo UCL na itakuwa Kheri kwetu ili tukose mapato na mkataba yanayotokana na UEFA including deal la Adidas litapungua sana.
Mkuu kukosa mapato unaona ndio itakuwa bora?
 
Manchester United could be without eight defenders for the meeting with Arsenal on Wednesday. Smalling, Bailly, Jones, Shaw, Lindelof, Valencia and Darmian all have injuries and Young is suspended. [@TelegraphDucker] The Peoples Person on Twitter
 
Baada ya miaka mingi...Tunaenda OT tukiwa na uhakika wa ushindi..

Inabidi tufikirie next game hii tukafanye zoezi..
Manchester United could be without eight defenders for the meeting with Arsenal on Wednesday. Smalling, Bailly, Jones, Shaw, Lindelof, Valencia and Darmian all have injuries and Young is suspended. [@TelegraphDucker] The Peoples Person on Twitter
 
Kikundi cha lawama mnaendeleaje, nacho nacho mpendea special one atamfulumusha arsenal mapema sana, hautaona arsenal ya kipindi cha pili wala tatu, mtasahau lawama na kutembeaa kifua mbele, mechi hiyo ni ya lingard na rashford, piga arsenal
 
Man U vs Reading.. FA Cup 3rd round
IMG-20181203-WA0007.jpeg
 
Arsenal wakitufunga ndo itakua aibu yakufungia mwaka. Morinyo kaishiwa mbinu afukuzwe, ana maneno mengi sana
 
Timu ikicheza kwa kasi tutashinda ila ikicheza nyoronyoro na Matic wao, tunalambwa. Timu ifunguke na kutumia winga
 
Back
Top Bottom