Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona una ndoto za mchana..

Na majeruhi uliyonayo bado unawaza ushindi Mbele ya Arsenal? 3-1 or 4-1 nakufunga.
Nasema sio 3-1 au 4-1 inaweza kuwa zaidi (unapoandika hivyo ujue United ndio yupo nyumbani shauri yako)
 
Jose naona safari yake imewadia, kama mwenyewe amekubali
Screenshot_2018-12-04-13-03-42.jpg
 
Tungeanza na pogba kwanza msimu wa tatu huu hajui nini anatakiwa kufanya uwanjani kaletewa kila mtu lakin wapi anazidiwa na herrera bana
Mkuu si mmupige bench tuu, then January mnapiga bei, mou mwenyewe anamtegemea pogba.
 
Kocha muoga sana anaamini magiant yanapiga mpira kumbe vimtu kama david silva au mata ndo vina mambo ya maana hata scott yupo vizur
 
Tungeanza na pogba kwanza msimu wa tatu huu hajui nini anatakiwa kufanya uwanjani kaletewa kila mtu lakin wapi anazidiwa na herrera bana
Kaletewa nani mkuu plus huoni hakuna movement za wachezaji wengine nyuma ya pogba....Tactics za Mou zinafanya wachezaji easier huru kabisa Kwanzaa hakuna beauty na creativity kabisa toka kwa kocha.... Pogba tukitaka tumlaumu basi Mou akitoka ndo tuangalie anachezaje ila kwasasa Mou ndio chanzo cha timu kuwa chini mkuu kiuchezaji
 
Matic na fred tulifikir herrera hatosh lakin story iko vilevile
 
Mkuu Pogba naye ana mapungufu yake, mfano anakaa sana na mpira sometime bila sababu ya msingi. Lakini pia anapoteza mipira mingi.

Lakini Mourinho angeweza kumtumia Herrera na Fredy ili wafidie mapungufu ya Pogba. Tatizo la Jose anaumwa ugonjwa wa kuwapenda sana wachezaji wakubwa (miili jumba/warefu)

Kuna makala moja nilisoma, ilisema Man United inaweza kucheza kama City ikitaka, maana ina wachezaji wa namna hiyo kwenye midfield. De Bruyne (Pogba), Silva (Mata), Fenandinho (Herrera/Fredy)
 
Kweli mkuu shukrani kwa kunielewesha maana nilimkandia Mou moja kwa moja
 
Matic na fred tulifikir herrera hatosh lakin story iko vilevile
Kweli mkuu shukrani Kw kuniweka sawa katika hili ingawa pia Mou anazingua kuweka slow defensive midfielders nyuma ya Pog watu ambao hawana creativity nzuri
 
Mkuu kwenye mbinu kocha kweli anazingua lakin pogba hata umchezeshe sehemu yake sahihi bado ataleta mpira wa madoido wanapora na kukaba hawezi sijui anatatizo gani akiwa kwetu.
 
Kaletewa nani mkuu plus huoni hakuna movement za wachezaji wengine nyuma ya pogba....Tactics za Mou zinafanya wachezaji easier huru kabisa Kwanzaa hakuna beauty na creativity kabisa toka kwa kocha.... Pogba tukitaka tumlaumu basi Mou akitoka ndo tuangalie anachezaje ila kwasasa Mou ndio chanzo cha timu kuwa chini mkuu kiuchezaji
Man united hii hatuna mchezaji kama Pogba..timu inacheza ovyo yote..how comes mchezaji mmoja angare??
 
Kweli mkuu jamaa anahaki ya kujitetea kuwa tactics za kocha zinambana zaidi maana Mou tactics zake zinawabana wachezaji hawawi huru
 
Back
Top Bottom