Yah, Kwa MUFC ni bora ikose mapato.
Unapokuwa una Mkurugenzi ambae kwake yeye perfomance uwanjani haina uzito muhimu yeye apate hela tu, basi ni bora akose hela ndipo atakopoona umuhimu wa perfomance uwanjan.
Perfomance should equal Revenues, this is the right way!
Na ndio maana Adidas akawaambia kuwa wakiingia UCL basi zawadi yao ni hela nene kwenye dili ila wakiwa hawamo UEFA basi watakula Njugu.... hivi ndo soka inavotakiwa iongozwe.
Au wewe mkuu unaona sawa wa 18 kwenye ligi awe anapewa ubignwa wa ligi na hela sawa na alotokea wa kwanza?