Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli kabisa maana wewe unaeshabikia hiyo yako umezaliwa mjini na umecheza mjini. Lakini mbona hizi timu zinakufungafunga sana? Halfu vijiji vyote havifanani na vya huko ulipotoka wewe. Wengine vijiji vyetu ni ulaya kwako. Sio kila mtu katoka chato. Kwni mm kukufunga ndio uanze kunitengenezea biography. Ok basi mm nilikuwa mshabiki wa Man U nikaona hatufanyi vizuri kila siku nafungwa tu nikaamua kuhamia city. Na wewe karibu.
Wewe ni man United huko njaa njaa zako.
 
Safi Sana ndugu mchambuzi ambaye miaka michache nyuma hukujua hata Kama kuna kitu kinaitwa Jamii forums achilia mbali miaka ya Jambo forum wakati ambao hukujua hata maana ya internet
kwani yeye kaanza kufuatilia soka baada ya kujiunga JF?
 
Mourinho to Pogba in the Man United dressing room:

“You don't play. You don't respect players and supporters. And you kill the mentality of the good honest people around you.” [Duncan Castles]
Imeripotiwa kuwa kocha wa Man United Jose Mourinho alimuita Paul Pogba ni kirusi mbele ya wachezaji wenzake jana katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya sare ya 2-2 dhidi ya Southampton ugenini.
.
“ Upo kama mtu mwenye mafua, mwenye virusi ndani ya chumba kilichofungwa - unasambaza virusi kwa wengine. .
“Hauchezi (vizuri), hauheshimu wachezaji na mashabiki. Na unaua akili ya watu wema wanaokuzunguka “. - Hayo ndio maneno ambayo Jose Mourinho ameripotiwa kumwambia Pogba mbele ya wachezaji wenzake jana.
 
Kocha alikosea alitakiwa kumuita ofisini kwake pale anaharibu mentality za wengine

Ila pogba body language inaonesha hivyo hayuko makini na hana ile hamasa kama wanayo de gea,mata na harrera hawa hawampendi kocha ila wanaipenda timu wanajitoa kwa ajili ya timu pogba hayupo hivyo hapambani kwa ajili ya timu kuna mpira mmoja dakika za majeruhi alipoteza katakat ya uwanja bila umahiri wa de gea tulishakufa

Namheshimu sana de gea anajua nini maana ya kuwepo pale hata ikitokea kasepa ntampa heshima kama mtu mtiifu kuwahi kuwa nae

Nakumbuka ndoto yake ya kuhamia madrid ilizimwa kisanii lakini hadi leo hakuwahi kuongea wala kuigomea timu

Tumpe heshima david de gea pia na harrera

Rashford alionesha utofaut mech ya sutton kwa nini ni muhimu timu kuwa na wazawa hawa huwa wanapambana kwa ajili ya timu hakutulia hadi alipokomboa goli mbili ningependa tuendelee kuchukua watu toka kwenye academy

Muangalie scott alivyokuwa akipambana ushangiliaji wake tuliporudisha goli lakin kwa pogba ni tofauti hapendi mambo magumu japo kocha kazingua sana.
 
City hawezi kuwa level ya Man U. Kwanintunatafuta ushindi au level? City yupo uefa toka naanza kuishabikia 2010. Hiyo man U sikuizi uefa anasua sua. Mwakani haendi atakuwa level ya nani sasa? Hakuna kitu kizuri kama ucheze halafu ushinde. Sasa wewe unafungwa halafu unasema alienifunga hala level yangu? Dah haya bana
Kumbe umeanza kushabikia soka 2010, that's why u know nothing, hapa ni sawa nabishana na mtoto wa chekechea kwenye masuala ya soka

Mimi nimekuwa shabiki tangu tunashinda treble, kwa hiyo unaweza kuona tofauti yetu na tofauti ya timu zetu (mtashinda treble labda ya kupiga pasi)

Hivi wewe ni shekhe Yahaya? Umesema kuwa msimu ujao hatutacheza UEFA?
 
Iniume wakati nipo juu yako. Kiufupi pep yupo vizuri sana. Hatuumi huku. Ila wewe kila wiki kwako lazima ukosoe uchezaji wenu. Kiufupi man u wapo vizuri sana. Hawana kocha mzuri tu.
Kukosoa kupo tu, pale timu inapofanya vibaya

Nakumbuka hata msimu wa kwanza wa Pep, alifanya vibaya na watu wakiwemo washabiki wa City walimkosoa.

Pep alikosolewa hata pale Bayern, akishindwa kuleta mafanikio kwenye michuano ya Ulaya (Makombe ya nyumbani alishinda lakini, pale Bayern hata umpeleke Nsajigwa atashinda makombe ya ndani pale Ujerumani)
 
Ho
Halafu humu ndani kuna baadhibya watu au mashabiki hawataki watu wawe washabiki wa timu tofauti na zao. Hawataki watu wawe chelsea au city. Na wanaenda mbali kulaumu eti wametoka arsenal au liver. Kwani aesenal na liver zimewakosea nn? Nyinyi mkichukiana halfu sisi tukawabamiza shida iko wapi? Ukiniuliza chelsea wamepata wapi mashabiki tz mm sijui ila kwani man u alipataje mashabiki tz? Arsenal alipataje au liver alipataje. Mm niliingia city baada ya kupelekwa kuangalia mpira mahali. Na sikuwa mshabiki ila kulikuwa na timu kama sita zinachuana. Sasa kila saa nasikia gooo goooo haipiti muda nasikia gooo. Nikauliza huo upande wa kila saa gooo ni nani na nani nikaambiwa manu na man city. Nikahamia huo upande nikaona ubao unasomeka Man unitend 1 Mancity 6. Kesho yake nikanunua jezi ya man city. Na ndo mpaka leo.
Hongera umechagua fungu lililo nona Hakika utaona mafanikio ya ushabiki wako
 
Kocha alikosea alitakiwa kumuita ofisini kwake pale anaharibu mentality za wengine

Ila pogba body language inaonesha hivyo hayuko makini na hana ile hamasa kama wanayo de gea,mata na harrera hawa hawampendi kocha ila wanaipenda timu wanajitoa kwa ajili ya timu pogba hayupo hivyo hapambani kwa ajili ya timu kuna mpira mmoja dakika za majeruhi alipoteza katakat ya uwanja bila umahiri wa de gea tulishakufa

Namheshimu sana de gea anajua nini maana ya kuwepo pale hata ikitokea kasepa ntampa heshima kama mtu mtiifu kuwahi kuwa nae

Nakumbuka ndoto yake ya kuhamia madrid ilizimwa kisanii lakini hadi leo hakuwahi kuongea wala kuigomea timu

Tumpe heshima david de gea pia na harrera

Rashford alionesha utofaut mech ya sutton kwa nini ni muhimu timu kuwa na wazawa hawa huwa wanapambana kwa ajili ya timu hakutulia hadi alipokomboa goli mbili ningependa tuendelee kuchukua watu toka kwenye academy

Muangalie scott alivyokuwa akipambana ushangiliaji wake tuliporudisha goli lakin kwa pogba ni tofauti hapendi mambo magumu japo kocha kazingua sana.
Mkuu nakubaliana na wewe, Pogba alipaswa kuchanwa live lakini si mbele ya hadhara ya wachezaji wengine

Lakini, kama Pogba anazingua kwanini Mourinho anaendelea kumg'ang'ania? Hivi haoni Mata na Pereira wanaweza kuziba hilo pengo? (Nadhani ugonjwa wake wa kupenda wachezaji warefu unamsumbua)

Mimi ningekuwa ni Mourinho ningemuuza Pogba, nimchukue Milkovic Sabic kutoka Lazio, lakini at the mean time ningemtumia Pereira/Mata pale mbele ya Herrera na Fred
 
Humu wengi wameshindwa kutambua pogba ni mtu wa kwanza kuifelisha timu nina hoja zangu

Pogba kashindwa kabisa ku-control sehemu kubwa ya kiungo huwa ana baadhi ya mech anacheza vizur zinazofuata anavulunda wenzie wanapocheza uwanjani wanaamini kupata huduma nzur toka kwake lakini mambo huwa tofaut yeye ndo huwa wakwnza kupoteza mipira hawez kuachia mpira haraka hadi ajivute apige chenga kisha anaporwa lakini timu ya taifa hukut akikaa na mpira

Wengi wanasema ni shaur ya kupak bus ukiangalia anavyocheza ufaransa ndivyo huo mfumo wa kuzuia didier deschamps anaucheza si mtu wa kumiliki mpira anatagemea kasi ya greizman,mbape lakin katikat kocha wa ufaransa anajaza viungo wa kazi unakuta kuna matuid na kante

Pogba alitakiwa kuichezea manchester united tukiwa na viungo wawili wa maana hapo angekuwa huru kazi ya ukabaji hawez kumpanga yeye matic na fellain ni kujitakiwa matatizo tu wote hawana spidi

Timu yetu haikuwahi kuwa na viungo wanaokaa na mipira toka kean,carick scholes walikuwa wakiupata mpira wanakuwa fast kupiga pasi kwa watu wakimbie walikuwa wanaangalia space

Michael carick kabisa humkut akipiga chenga wala vikanzu huyu ni pasi tu za haraka

Pogba katuua sana
 
Humu wengi wameshindwa kutambua pogba ni mtu wa kwanza kuifelisha timu nina hoja zangu nzito

Hana consistence

Selfish

Hana mad dog mentality

Hana urgency/haraka

Egocentric

Kipaji anacho, lakini kwa mtazamo wangu analeta matatizo mengi kwenye timu kuliko faida
 
Mkuu nakubaliana na wewe, Pogba alipaswa kuchanwa live lakini si mbele ya hadhara ya wachezaji wengine

Lakini, kama Pogba anazingua kwanini Mourinho anaendelea kumg'ang'ania? Hivi haoni Mata na Pereira wanaweza kuziba hilo pengo? (Nadhani ugonjwa wake wa kupenda wachezaji warefu unamsumbua)

Mimi ningekuwa ni Mourinho ningemuuza Pogba, nimchukue Milkovic Sabic kutoka Lazio, lakini at the mean time ningemtumia Pereira/Mata pale mbele ya Herrera na Fred
Kama ile mech nilitegemea kocha angemtoa pogba na kumuingiza mata au fred sema aliogopa ukosoaji mwingi wa hawa wanajiita maligendar wa hii timu kila uchwao ni kelele tu miluzi mingi hupoteza mbwa

Ozil anakula bench kule kwa unai wale mchongaji alikuwa henry katupwa monaco akili inamkaa sawa sasa bado scholes na ferdinand wale ma neville wote walionja joto la jiwe wapo kimyaa

Kila uchwao ni kuwasema wachezaj na kocha hadi wanakuwa mazuzu.
 
Neville brothers wamekuwa wanamsapoti Mourinho siku hizi, nadhani experience ya ukocha imewapa somo

Hata Henry akisimama kufundisha uchambuzi wake utabadilika kabisa
 
Mkuu tumepata funzo kwa arsenal na spurs hamna cha kupewa pesa ndefu walizikuta timu dhaifu balaa lakin zimefanya poa sana unai alichukua had bek la bure na kanunua torreira funga kazi

Hapa naona mchawi ni bodi yetu kwa nini nasema hivyo ukiangalia toka academy zetu utamaduni wetu ni kushambulia kwa spidi kwa nini walimpa kazi kocha mkabaji? Je wakina tahit chong na angel gomes wakipandishwa timu ya wakubwa wanafanyaje ikiwa toka chini wanafundishwa soka la kushambulia

Nafikir Ed woordward ni mtu wa kwanza anaetakiwa kufukuzwa

Mkuu Radika,huyo unnay Emery ni bonge moja la kocha. Kazi yake nilianza kuipenda tangu akiwa na sevilla. Falsa yake inahitaji wachezaji average kiasi maana kila mtu anawajibika sawia kuutafuta mpira. PSG ilimshinda sababu mastaa walikuwa wanakingiwa kifua na matajiri kwa sababu za kibiashara.

Nashangaa sababu za sisi kutafuta makocha wenye majina makubwa wakati kuna timu kama Girona zina makocha wanafundisha soka mbashara na matokeo yanaonekana. Kwa mourinho tunakosa matokeo na pia burudani,namkumbuka LvG maana tulikuwa tunaona walau pasi nyingi.
 
Paul Scholes aliwahi kutuambia tangu mwanzo kabisa kuwa tatizo la man utd kwanza ni mourinho halafu pogba,sasa nimemuamini kufikia hapo.
 
Mkuu Radika,huyo unnay Emery ni bonge moja la kocha. Kazi yake nilianza kuipenda tangu akiwa na sevilla. Falsa yake inahitaji wachezaji average kiasi maana kila mtu anawajibika sawia kuutafuta mpira. PSG ilimshinda sababu mastaa walikuwa wanakingiwa kifua na matajiri kwa sababu za kibiashara.

Nashangaa sababu za sisi kutafuta makocha wenye majina makubwa wakati kuna timu kama Girona zina makocha wanafundisha soka mbashara na matokeo yanaonekana. Kwa mourinho tunakosa matokeo na pia burudani,namkumbuka LvG maana tulikuwa tunaona walau pasi nyingi.
Point mkuu kwa mfano sijui kocha anashindwaje kuipanga timu kama hii

de Gea, Valencia, Smalling, Bailly, Young, McTominay, Matic, Mata, Rashford, Lukaku, Sanchez.

Hapo nyuma akiwepo scott matic na nata wanakuwa vizur sana maan scott huwa hapandi mbele sana anawaacha matic na mata kusogea kushambulia wakat yeye anakuwa anawalinda smallng na bailly

Pia tunaweza kumuweka nje sanchez mara nyingi nimeona martial huwa anacheza vizur akiwa na lukaku hasa lukaku awe nyuma ya martial wakat wa counter attack au mipira ila ambayo de gea huwa anapiga moja kwa moja kumtafuta lukaku mara nyingi imekuwa na madhara sasa lukaku huwa anamdondoshea martial rashford mzur wa mipira ya kupenyezewa akimbie kocha haoni hilo.
 
Halafu humu ndani kuna baadhibya watu au mashabiki hawataki watu wawe washabiki wa timu tofauti na zao. Hawataki watu wawe chelsea au city. Na wanaenda mbali kulaumu eti wametoka arsenal au liver. Kwani aesenal na liver zimewakosea nn? Nyinyi mkichukiana halfu sisi tukawabamiza shida iko wapi? Ukiniuliza chelsea wamepata wapi mashabiki tz mm sijui ila kwani man u alipataje mashabiki tz? Arsenal alipataje au liver alipataje. Mm niliingia city baada ya kupelekwa kuangalia mpira mahali. Na sikuwa mshabiki ila kulikuwa na timu kama sita zinachuana. Sasa kila saa nasikia gooo goooo haipiti muda nasikia gooo. Nikauliza huo upande wa kila saa gooo ni nani na nani nikaambiwa manu na man city. Nikahamia huo upande nikaona ubao unasomeka Man unitend 1 Mancity 6. Kesho yake nikanunua jezi ya man city. Na ndo mpaka leo.
Umejieleza mkuu inatosha shabikia tim yako.andika unachotaka jukwaa lolote huna mipaka mbona.
 
Mkuu Kwa sample ya Matokeo haya, tutasema hatukuwa underdogs mbele ya wakubwa wenzetu?
02/03 Madrid alitutoa
03/04 katuoa Porto
4/5 katutoa Ac Milan
5/6 tumetoka Makundi
6/7 tulifika nusu tukatolewa na Ac milan
7/8 mabingwa.
8/9 tulifika fainali ila njiani tulikutana na kina arsenal na porto,
9/10 tumetoa Ac Milan iliyo choka tumetolewa na Beyern
10/11 Tumetoa Chelsea,schalke tumepigwa Na barca
11/12 Makundi.

Timu kubwa nzuri tuliyo wahi itoa Kwenye muda huo ni BARCA tu. (Kama kuna nyingine nikubmbushe)
Kwa dhana hio, hata real madrid tumwite underdog, Ac milan underdog, Juventus underdog, in short UCL wote ni under dogs......Duh! ulitaka kila wakati tupangiwe real madrid na barca na tuwafunge kila siku?
 
Mkuu nakubaliana na wewe, Pogba alipaswa kuchanwa live lakini si mbele ya hadhara ya wachezaji wengine

Lakini, kama Pogba anazingua kwanini Mourinho anaendelea kumg'ang'ania? Hivi haoni Mata na Pereira wanaweza kuziba hilo pengo? (Nadhani ugonjwa wake wa kupenda wachezaji warefu unamsumbua)

Mimi ningekuwa ni Mourinho ningemuuza Pogba, nimchukue Milkovic Sabic kutoka Lazio, lakini at the mean time ningemtumia Pereira/Mata pale mbele ya Herrera na Fred
Woodward /Glazers hawawezi kukubali kumuuza Pogba kwa sasa
 
Back
Top Bottom