Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mizungu wakati mwingine ni mipuuzi kweli kweli...

Cheki inasapoti Ushoga,Usagaji live live na wanapost kwenye instagram account ya timu..wamenichefua sana hawa wapuuzi
View attachment 957267
Wanaboa sana hawa jamaa,, skuizi UNITED kuna watu wa ajabu! Nmeshangaa ule uzi wa mchuichui!!

Naona kama tunapoteza Identity kuanzia mchezo, muonekano wa team na spirit ya club.

Sasa rangi za ushoga zinakaaje hapo.? Nini waanataka kutuonyesha hapa.?!

BTW we are reds sio hiyo michuichui bana, waache kutuchangnya na ujinga ujinga tusioujua!!
 
Mkuu hii ni kampeni Uingereza ama? Maana hata kwenye mechi ya Watford na City hayo marangi yalitawala sana.

Lakini pia weekend iliyopita niliona vitambaa vya ma kapteni kwa timu zote ni vya rangi hizo za kishoga. Nimeshindwa kuwaelewa kabisa.
 
Mkuu sio United tu, ni kwa timu zote

Ni kama ilivyo week ya kwenda kwa usalama bongo, nadhani na huko kuna week ya haki za mashoga
 
Rangi za upinde kwenye mechi ya Watford Vs City
Screenshot_2018-12-05-21-35-54.jpg
 
Mkuu hii ni kampeni Uingereza ama? Maana hata kwenye mechi ya Watford na City hayo marangi yalitawala sana.

Lakini pia weekend iliyopita niliona vitambaa vya ma kapteni kwa timu zote ni vya rangi hizo za kishoga. Nimeshindwa kuwaelewa kabisa.
Yaah ni kampeni ya timu zote za uingereza za EPL..sio united tu
 
matokeo yoyote kwenye game ya leo ni furaha kwa united maana aidha tutapata point 3/1 au yatapelekea mourinho kuonyeshwa mlango mapema. hakuna matata kabisa leo
 
Back
Top Bottom