Ukimuona leo anayejiita shabiki wa Chelsea, Man city na Leicester hata Totenham jua
1.Alikuwa shabiki wa liverpool, arsenal, man United, Newcastle au everton.
2.hakuwa mshabiki wa mpira bali kaanza kushabikia sasa na ndo kazikuta hizo timu ziko kwenye njia.
3.ni mhamiaji haramu.
4.katoka kijijini kafika mjini katafuta timu ya kushabikia kazikuta hizo.
Shabiki mkongwe wa mpira na anayeujua mpira vema utamkuta liverpool, arsenal, man United, Newcastle na everton hizi ni timu zenye historia na umaarufu unaoeleweka. Kwa mbaali sana nimewaacha na Aston villa.