Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Blah blah, sema wewe ulikuwa mshabiki wa timu gani, na ukaisaliti ukahamia kwa hao watoto wa juzi

Haingii akilini, kutoka ushabiki wa Wrestling mpaka ushabiki wa soka, kiufupi hiki kitu (ushabiki) huwa sio mtu overnight tu anaanza kukipenda, ni kitu ambacho mtu anakipenda tangu na tangu

Eti mimi sipendi basketball (mfano) ghafla nianze kufuatilia na kushangili NBA, eti niwe Lakers kindakindaki ..... Sidanganyiki
Wewe amini uaminivyo boss. Kama wewe timu zenu zinafanya vibaya usitafute mchawi. Kuna watu wengi sio washabiki wa mpira mpaka leo. Sikuwagi kuwa mshabiki wa mpira. Nilikuwa naona makelele tu mnapiga. Ila kuna wachezaji nilikuwa nawasikia tu. Henry. Rooney. Drogba.
 
Alaf kuna watu watakuja kumtetea Morinho humu..pamoja na upumbavu anaofanya
Mkuu tumepata funzo kwa arsenal na spurs hamna cha kupewa pesa ndefu walizikuta timu dhaifu balaa lakin zimefanya poa sana unai alichukua had bek la bure na kanunua torreira funga kazi

Hapa naona mchawi ni bodi yetu kwa nini nasema hivyo ukiangalia toka academy zetu utamaduni wetu ni kushambulia kwa spidi kwa nini walimpa kazi kocha mkabaji? Je wakina tahit chong na angel gomes wakipandishwa timu ya wakubwa wanafanyaje ikiwa toka chini wanafundishwa soka la kushambulia

Nafikir Ed woordward ni mtu wa kwanza anaetakiwa kufukuzwa
 
Nyie mnajua tumeshawafunga mara ngapi, au nikuletee stats?

Anyway nitakusamehe kwa kuwa hujui usemalo, after all city umewajua juzijuzi baada ya kuhama huko ulipokuwa
Mm sijuibmliwahi kitufunga sana ila mm na wewe tumekutana juzi na nimekupiga kwann nisishangilie. Tupo season mpya tuongelee season tuliyopo. Mbona mliwahi kuwapiga arsenal 8. Chelsea mpewapiga sana pia na liverpool mmewapiga sana pia ila season hii wapo juu yenu kimpira.
 
Tupo season mpya lakini usinipangie cha kuongea au na mimi nikuambie tupo week mpya au mwezi mpya kwa hiyo tusiongelee yaliyopita

So na mimi nakukumbusha overall kwa miaka mingi tu nimekuwa nikikutandika
 
Umemaliza Mkuu.

Mourihno hawezi kukwepa lawama kwa kusingizia hana wachezaji anaotaka...Lazima aonyeshe hao alionao anawatumia ipasavyo.
Mkuu tumepata funzo kwa arsenal na spurs hamna cha kupewa pesa ndefu walizikuta timu dhaifu balaa lakin zimefanya poa sana unai alichukua had bek la bure na kanunua torreira funga kazi

Hapa naona mchawi ni bodi yetu kwa nini nasema hivyo ukiangalia toka academy zetu utamaduni wetu ni kushambulia kwa spidi kwa nini walimpa kazi kocha mkabaji? Je wakina tahit chong na angel gomes wakipandishwa timu ya wakubwa wanafanyaje ikiwa toka chini wanafundishwa soka la kushambulia

Nafikir Ed woordward ni mtu wa kwanza anaetakiwa kufukuzwa
 
Arsenal alichomfanya Spurs basi baada ya dakika 90' jiandaeni Kisaikolojia hapa jinsi watakvyokuja Na Fujo lao
Mkuu King Ngwaba kwa trend hii ya Man kutufunga Arsenal jumatano Itakua ndoto, Japo mpira unadunda Ila majeruhi walionao pale nyuma sioni watatoboa vp...

Still wamekariri Arsenal Ile ya Wenger..Ile haipo tena ,hakuna historia itakayocheza tena.

By the way Sioni viungo wao wa kukamata pale Kati dhidi ya viungo wetu...Tutapata goli 3 bila shaka yeyote...Game Itakua 3-1 or 3-2..
 
Tunalipia dstv inauma pia. Leo nilitaka kuvunja kiuno kwa ajili ya kurekebisha dish ili nisikose mechi matokeo ndio hayo.

Hivi Mou aoni aibu akiangalia Manchester City inavyocheza?. Na timu yake ilivyo
Hahahaha unapanda kufunga dish unadondoka chin unavunjika kiuno halafu man united inafungwa unapata presha unakufa!! hahaha pole sana bro..
 
Na Hata Hawa Rant Boys Wa Chelsea ukiwaangalia Backgrounds zao utakutia Washabiki Waliohama Man Unite na Arsenal mwaka 2005 kwa Kumfuata Mourinho Chelsea baada Ya Kuanzishwa Timu Hiyo mwaka 2004.

Kabla ya 2004 hapakuwa na Mshabiki Wa Chelsea Bongo kwani Chelsea ilikuwa Ni Kina group la Fulham na West Ham kwani Hata Leeds United alikuwa juu kulilo wao.
Nilikuwepo mimi.
 
Tupo season mpya lakini usinipangie cha kuongea au na mimi nikuambie tupo week mpya au mwezi mpya kwa hiyo tusiongelee yaliyopita

So na mimi nakukumbusha overall kwa miaka mingi tu nimekuwa nikikutandika
Haya wewe kumbe ulishawahi kuwa bingwa. Kumbe ulishawahi kuchukua makombe haya wewe mshindi. Sasa kwa mda huu umezeeka au mbona hufungi tena? Kiufupi wewe ni namba 1. Ni timu bora. Tena mnachukua na kombe msimu huu tena mtachukua na uefa.
 
Na Hata Hawa Rant Boys Wa Chelsea ukiwaangalia Backgrounds zao utakutia Washabiki Waliohama Man Unite na Arsenal mwaka 2005 kwa Kumfuata Mourinho Chelsea baada Ya Kuanzishwa Timu Hiyo mwaka 2004.

Kabla ya 2004 hapakuwa na Mshabiki Wa Chelsea Bongo kwani Chelsea ilikuwa Ni Kina group la Fulham na West Ham kwani Hata Leeds United alikuwa juu kulilo wao.
Ukimuona leo anayejiita shabiki wa Chelsea, Man city na Leicester hata Totenham jua

1.Alikuwa shabiki wa liverpool, arsenal, man United, Newcastle au everton.

2.hakuwa mshabiki wa mpira bali kaanza kushabikia sasa na ndo kazikuta hizo timu ziko kwenye njia.

3.ni mhamiaji haramu.

4.katoka kijijini kafika mjini katafuta timu ya kushabikia kazikuta hizo.

Shabiki mkongwe wa mpira na anayeujua mpira vema utamkuta liverpool, arsenal, man United, Newcastle na everton hizi ni timu zenye historia na umaarufu unaoeleweka. Kwa mbaali sana nimewaacha na Aston villa.
 
Back
Top Bottom