Kuwa na power manake ni kuiambia bodi unachotaka na ikakubali ama kumwambia mmiliki unachotaka akakubali, in short ukamueka chini na kumcontrol utakavo, hii power mpaka sasa wanayo makocha wa Citeh tu, Guardiola atakachoiambia bodi wanakubali tu. Kipindi hicho hao akina rio na wengine hela ilionekana nyingi kweli, lakini vipi ukilinganisha na signings za Madrid ama Citeh? zinafanana kweli kwenye manunuzi kipindi icho? Ukitizama hizo transfer windows wakati wa SAF how much he spent and how much others spent ndio utajua kama the guy had a very limited budget. Sasa iv Power ya spending Mou ikoje? Sasa tunashindana na hata Real Madrid kwenye kuspend, tatizo letu we dont spend wisely!!!
SAF na Glazer hawa jamaa walikuwa wanamvutano wao, lakini SAF alijua how to work with the resources he had. He had no power over the board decisions. Uzuri wa MUFC ni kwamba ukiwa manager, basi kazi zako huingiliwi, na Mou ana enjoy same freedom ila jamaa zilipendwa.