Ofcourse hatoonekana kuwa yupo serious na mpira, with his way of playing unafikiri yupo serious? He is not a guy who gets into a game to win, how can you take this guy as serious? afu aje ampige POGBA kiatu??? Duh!
Mwaka alomnunua Rio Ferdinand , total spending kwenye transfer market ni 32M, alipomnunua Veron na RVN 49.6M, kamnunua rooney for 25M hakununua mwengine (Usajili dirisha kuu). Hatukuweza ku compete na our European Rivals ambao kina Madrid, tumeshindwa kupata wachezaji kutokana na hela ya kununulia ama mshahara wa mchezaji.... Uhuru wa fedha alokuwa anao Fergie sio huu alokuwa nao Mou, Mou ana uhuru mkubwa sana, nasikia na January wana mpango wa kumtengea 100M azidi kupoteza hela mana tunazo nyingi siku izi.
Halafu Kumbuka, kipindi cha Glazers Klabu ilikuwa na deni, huku Glazers akitaka kuchota mahela. SAF na Gill walikuwa wanapita shida, kwa sababu Glazers trusted in Fergie, walijua huyu mtu ata ukimpa mbao achezeshe uwanjani atachukua ubingwa kwaio hawakuona umuhimu wa kurusha hela.