Kushindana Alikua anashindana mkuu...Na fainali amefika Mara 4 nafikiri, Mbili akachukua Mbili akapoteza...Amefika robo fainali nyingi tu..Mkuu huoni Kuwa hiyo inaweza Kuwa ni uthibitisho Kuwa alishindwa kushindana na ma giant? (Maana Mara nyingi kuanzia robo fainali ndio Mchele na chuya vinaanza kujitenga)
Labda ulitaka awe anachukua Kila mwaka.Kwa records zake Ferg hakua mnyonge UEFA.