Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahiyo lindelof ana umbo dogo?
sanchez,mata na lingaard hawa sio regular starter kwenye kikosi cha mou.
acha ushamba kama hujui mpira kalale tuu.. lindelof unamjua au unaropoka?? kwanza mpira wenyewe unaangaliaga???..
 
Salah - one season wonder.
Hazard - half season wonder
Morata - I wonder
Lukaku - Steven wonder
Benzema - no wonder
T. Cortouis - wonder woman
Giroud - wonders shall never end
Sanchez - I wonder how I wonder why I wonder where ...
 
Mourinho “If you feel pressure, stay at home, and when I say home I don’t say stadium home, I say home home and watch on TV. When the people come to support, come on. I don’t feel pressure to play at home.” ........Hapa tuliingia kwenye 18 za wahuni tumepigwa mazima pesa kibao day.....

Hivi kweli kocha unawachezaji below miaka 25 unatoa hayo maneno? Hajui hao madogo wanahitaji mno kupewa mawaida ya confidence na upendo wa kocha..... kama jamaa hataki kubaki united si Adele direct tu kuliko huu ujinga anaobwabwaja
 
Mimi navyoona huyu jamaa licha ya mafanikio yake ya kudonoadonoa aliyoyapata bado ni wrong manager kwa timu yetu..

Jamaa linadiscourage wachezaji na bado anahitaji makubwa kutoka kwao..hovyo huyu jamaa!!..Hatukatai kuwa tunaweza kuwa na mapungufu kama timu at some point lakini Mourinho ndo anaongeza matatizo zaidi

Sack him..hire director of football and a new manager be either Jardim,Eddie howe, or Zidane..
 
Fact mkuu yani anavyoongelea team utadhan ni kocha wa team pinzani na ndo maana anaendelea kushindwa kwa kila hatua anayopiga.... Aende tu
Mimi navyoona huyu jamaa licha ya mafanikio yake ya kudonoadonoa aliyoyapata bado ni wrong manager kwa timu yetu..

Jamaa linadiscourage wachezaji na bado anahitaji makubwa kutoka kwao..hovyo huyu jamaa!!..Hatukatai kuwa tunaweza kuwa na mapungufu kama timu at some point lakini Mourinho ndo anaongeza matatizo zaidi

Sack him..hire director of football and a new manager be either Jardim,Eddie howe, or Zidane..
 
Huwezi kumfananisha SAF na Mourinho, kiuwezo na power aliyokuwanayo juu bodi
Power ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...

So its not the Power SAF had, its KNOW HOW which MOU lacks. SAF amekuja EPL amesema anataka kuangusha utawala wa Liverpool, and he was successful kwa kutumia MUFC, Mou amekuja EPL amesema anataka kuiangusha MUFC wakati yupo chelsea, ameshindwa kufanya ivo, ameamua kuja MUFC moja kwa moja kuja kuiua..... Huyu jamaa zilipendwa, kama hela amepewa tele, lakini unaona we mwenyewe, mchezaji leo akicheza vizuri anakuja kumueka bench mwezi mzima. Tumemnunua Dalot, yuko wapi? U21 au?

Klabu nzima imekosa discipline, hebu wewe nambie mara ya mwisho kuuona mchezaji akieka mikato ya ajabu under SAF nini kilitokea?

Beckham na ustar wake alimrushia kiatu.... That shows how serious he was into building an empire....
 
Sure..mpira sio kuwa na wachezaji wa viwango binafsi vya juu tu,inahitaji kocha atengeneze nidhamu na nidhamu inatengenezwa kwa kocha mwenyewe kujiheshimu..

With this squad chini ya Fergie tusingekuwa hovyo hivi wakuu..
 
Mimi navyoona huyu jamaa licha ya mafanikio yake ya kudonoadonoa aliyoyapata bado ni wrong manager kwa timu yetu..

Jamaa linadiscourage wachezaji na bado anahitaji makubwa kutoka kwao..hovyo huyu jamaa!!..Hatukatai kuwa tunaweza kuwa na mapungufu kama timu at some point lakini Mourinho ndo anaongeza matatizo zaidi

Sack him..hire director of football and a new manager be either Jardim,Eddie howe, or Zidane..
Nyie ndo wachovu ile timu hata angepewa mchezaji mzawa yule aliwahi kuishikilia kwa muda kipindi fulani mnaweza kufanya maajabu. Mnalizunguka duara la umasikini na shida mtabaki hivyo hivyo na katu hamtamfunga kigogo hata mmoja.
 
I agree with Mourinho's observation on his players individual sub par performance match in match out, but I fully disagree with his style of presentation.

The other thing is that, He has personally failed to resolve the problem, when you have sub par individual players, as a coach you need to build a team,

What does this mean, man u is bound to fail.
 
i think we already fail for this season.... It's up to the board to give us a manager and a football director
I agree with Mourinho's observation on his players individual sub par performance match in match out, but I fully disagree with his style of presentation.

The other thing is that, He has personally failed to resolve the problem, when you have sub par individual players, as a coach you need to build a team,

What does this mean, man u is bound to fail.
 
Power ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...

So its not the Power SAF had, its KNOW HOW which MOU lacks. SAF amekuja EPL amesema anataka kuangusha utawala wa Liverpool, and he was successful kwa kutumia MUFC, Mou amekuja EPL amesema anataka kuiangusha MUFC wakati yupo chelsea, ameshindwa kufanya ivo, ameamua kuja MUFC moja kwa moja kuja kuiua..... Huyu jamaa zilipendwa, kama hela amepewa tele, lakini unaona we mwenyewe, mchezaji leo akicheza vizuri anakuja kumueka bench mwezi mzima. Tumemnunua Dalot, yuko wapi? U21 au?

Klabu nzima imekosa discipline, hebu wewe nambie mara ya mwisho kuuona mchezaji akieka mikato ya ajabu under SAF nini kilitokea?

Beckham na ustar wake alimrushia kiatu.... That shows how serious he was into building an empire....
Bahati nzuri na wewe umekubali kwamba SAF alikuwa ana power (kwenye maelezo) na hiyo ndio hoja yangu. Power ninayoongelea ni kusikilizwa na bodi na kufanya yale anayoamua yeye

Kuhusu bajeti ndogo, ni kweli alikuwa anapewa fedha ndogo kusajili lakini ni ndogo unapolinganisha na bajeti za siku hizi.

Lakini kwa wakati ule bado zile bajeti zilikuwa kubwa. Nakumbuka alimnunua beki ghali Uingereza, kwa £ 30+ million Ferdinand kwa wakati huo. Lakini hata kwa £ 19 million kipa, kinda kama Degea ilikuwa ni kubwa mno. Sijataja akina Berbatov, Nesterloy n.k (kwa solo la wakati ule)
 
Power ipi alokuwa nayo? SAF alikuwa anafanya kazi kwenye tight budget, kikosi cha SAF kilikuwa cha kawaida tu. SAF alikuwa ni mtu ambae anaweza kukumanipulate kisaikolojia tu na alikuwa strict and serious kwenye suala zima la mpira. Wachezaji wote mbele ya SAF wanakuwa kama baba na watoto wake. SAF aliweka Discipline kutoka management, board mpaka FA walikuwa wanamheshimu huyu mtu. kitu ambacho MOU ana lack, no one respects MOU kwa sababu yeye mwenyewe hajirepsect...

So its not the Power SAF had, its KNOW HOW which MOU lacks. SAF amekuja EPL amesema anataka kuangusha utawala wa Liverpool, and he was successful kwa kutumia MUFC, Mou amekuja EPL amesema anataka kuiangusha MUFC wakati yupo chelsea, ameshindwa kufanya ivo, ameamua kuja MUFC moja kwa moja kuja kuiua..... Huyu jamaa zilipendwa, kama hela amepewa tele, lakini unaona we mwenyewe, mchezaji leo akicheza vizuri anakuja kumueka bench mwezi mzima. Tumemnunua Dalot, yuko wapi? U21 au?

Klabu nzima imekosa discipline, hebu wewe nambie mara ya mwisho kuuona mchezaji akieka mikato ya ajabu under SAF nini kilitokea?

Beckham na ustar wake alimrushia kiatu.... That shows how serious he was into building an empire....
Mkuu japo nitaonekana namtetea Mou. Vuta Picha Mou akimpiga na kiatu Pogba Leo nini kitatokea. Kwa Ferguson ilionekana yupo serious na mpira ila Kwa Mou haitoonekana hivyo. Mambo yamebadilika.

Kingine ambacho naomba nipishane na wewe ni kuhusu Ferguson kufanya kazi Kwenye tight budget. Sioni kama Ferguson alifanya kazi Kwenye bajeti ndogo (ukilinganisha soko la kipindi kile na kipindi hiki). Mfano usajili wa Rio Ferdinand,Juan Sebastian Veron(ali flop), Rooney,RVN. Ferguson alifanya mengi mazuri ila pia alikuwa na mabaya yake. Hata Ferguson alishindwa kusolve basdhi ya migogoro ndani ya timu. Refer ishu ya Beckham,Van nestroy,Pogba&Morrison na Roy Keane. Point yangu ni kwamba sidhani kama itakuwa ni sahihi kulinganisha makocha wa sasa na Ferguson.

Ishu ya Dalot Mimi nadhani ni sababu Dogo alikuwa na injury kabla msimu haujaanza ja kacheza mechi kadhaa kapata tena injury iliyo muweka nje muda mrefu. Soon kama atakuwa na Match fitness., (huu ni mtazamo wangu sijui sababu za Mou kuhusu Dalot)
 
Kuna yule Dogo Valera na Michael Keane nahisi wamgetufaa sana. Japo bado wapo kina Mensah na Tuanzabe.
Katika vitu ambavyo tulikurupuka ni kumuuza Gualemo varela alikuwa beki mzur sana upande wa kulia japo kuna kipengele cha kumrudisha ila sikupenda kuondoka kwake.
 
Savage Santa
IMG_20181127_214800_607.jpeg
 
Katika vitu ambavyo tulikurupuka ni kumuuza Gualemo varela alikuwa beki mzur sana upande wa kulia japo kuna kipengele cha kumrudisha ila sikupenda kuondoka kwake.
Valera aliyemuondoa ni Coutinho, aisee kuna mechi na Liverpool alizungukwa akaonekana hafai kabisa
 
Back
Top Bottom