Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mi nilisema kuwa hii klabu sasa ivi it is all about money making and not football perfomance. Na Mourinho huyu atabaki mpaka mwisho wa msimu.

Apo Woodward kashapiga hesabu zake zamani, akimfukuza Mou itamalzimiu amlipe mamilioni ya pesa, akisha aajiri manager mpya kwa mamilioni mengine, na manager mwengine akija na yeye anataka wachezaji mamalioni yanazidi kutoka! Kwaio anaona bora tucheze kamari na huyu Mou kuliko gharama zote izo.

Lakini lazima tukumbuke kuwa SAF amechukua mataji uingereza na la UEFA chini ya matajiri Glazers. Kwangu mimi Glazers sio tatizo, tatizo ni woodward na Mou na wachezaji kwa ujumla.

Na vile vile, Woodward amempa hela Mou za kutosha.... Hakuna usajili wa maana aloufanya na ameshindwa kuweka discipline kwenye timu.
Upo sahihi.
 
kusema kweli kwa wapenzi wa mpira wa mguu ambao hawaongozwi na ushabiki wa kinafiki, MAN UTD wanachosha na kuondoa utamu wa mpira pindi wanapocheza. Mimi sijapata kujua kama viwango vya wachezaji ndo umeshuka au kocha ndo ufundishaji wake umekosa ubunifu.

Mchezaji anapata mpira unaona kabisa hajui aipeleke wapi, kwakweli imefika wakati MU waanze uwekezaji upya wenda kwa kumchukua kocha mzaliwa wa United (mfano akina Giggs and Company), wachezaji akina Rashford (amelewa sifa kwa kuaminiwa akiwa bado kijana mdogo), Lukaku, Smalling,Jones, Matic wote waondolewe United.

United ilianza kuangaika kipindi cha Van Gaal kwa mfungaji akatafutwa Ibra na Falcao bado shida ikabaki vile vile, akaja akina Lukaku na Alex mambo yanazidi kua mabaya. Ni maajabu timu imeshafungwa magoli 22 na wao wamefunga magoli 21 ndani ya mechi chini ya 11 ya Ligi kuu. Sisi wapenzi wa mpira itatupendeza zaidi Man U wakianza uwekezaji upya, hakuna cha majina makubwa kwa upande wa ukocha na wachezaji wameshindwa tayari.

Sisi wenzenu bado tunaangaika wa mfungaji asiyetupa pressure mpaka sasa tokea enzi za Torres>Demba Ba> Etto>Falcao>Costa>Drogba>Morata>Mitchuy>Gerou......Bado tunaangaika tu.
Timu nyingi bado wanamwona na kumwacha Zaha wakati anaitaji kufundishwa kitu kimoja tu kulenga goli na wakati gani wa kutoa mpira mguuni wake.
Unajua maendeleo ya Gigs akiwa kocha wa Wales?

In 8 matches, only 3 wins

Juzi tu ametoka kuwashwa na katimu kadogo tu huko ulaya

Ukocha ni kazi
 
Mech ya crystal palace kanikera sana hata bodi ilimlinda sana wenger lakin kila kitu kina tamati yake mkuu kwani mimi ni jiwe au mti nikikaa mahali siwez kujisogeza au kubadilika?
Ki ukweli hata mimi huwa si shabiki wa Mourinho, ila huwa napenda apewe fair judgements

Lakini game ya Cristal Palace imenipa picha ya kuwa mabadiliko hayaepukiki

Lakini, bado naamini kama tunataka United ya SAF hatupaswi kuishia kubadili kocha, tatizo liangaliwe kuanzia kwa structure ya timu (Director of Football awepo), na kocha atakayeletwa pale awe kocha anaeendana na falsafa ya United na si kuleta kocha wa falsafa tofauti tofauti (Mfano Moyes>Van Gaal>Mourinho ni kama mbingu na ardhi).

Hii italeta continuity hata ya mabadiliko ya Wachezaji haitakuwa kubwa sababu Wachezaji wote ni wa aina ya falsafa moja bila kujali kocha anayeletwa.
 
mi nilisema kuwa hii klabu sasa ivi it is all about money making and not football perfomance. Na Mourinho huyu atabaki mpaka mwisho wa msimu.

Apo Woodward kashapiga hesabu zake zamani, akimfukuza Mou itamalzimiu amlipe mamilioni ya pesa, akisha aajiri manager mpya kwa mamilioni mengine, na manager mwengine akija na yeye anataka wachezaji mamalioni yanazidi kutoka! Kwaio anaona bora tucheze kamari na huyu Mou kuliko gharama zote izo.

Lakini lazima tukumbuke kuwa SAF amechukua mataji uingereza na la UEFA chini ya matajiri Glazers. Kwangu mimi Glazers sio tatizo, tatizo ni woodward na Mou na wachezaji kwa ujumla.

Na vile vile, Woodward amempa hela Mou za kutosha.... Hakuna usajili wa maana aloufanya na ameshindwa kuweka discipline kwenye timu.
Huwezi kumfananisha SAF na Mourinho, kiuwezo na power aliyokuwanayo juu bodi
 
-Kiungo wa Klabu ya Manchester United Andreas Pereira atajiunga na Klabu ya Arsenal Kwa ada ya Usajili wa £10m ikiwa Klabu ya Manchester United itamuuza katika dirisha la usajili wa mwezi wa kwanza.

Source(Daily Star)
IMG-20181126-WA0021.jpeg
 
-Kiungo wa Klabu ya Manchester United Andreas Pereira atajiunga na Klabu ya Arsenal Kwa ada ya Usajili wa £10m ikiwa Klabu ya Manchester United itamuuza katika dirisha la usajili wa mwezi wa kwanza.

Source(Daily Star)View attachment 947239
Manchester united kupoteza mchezaj mchanga hua ni ngumu sana
 
Kaeni mkao wa kula. Mourinho ana mechi 2 za kufungwa atimuliwe.
 
Were fecking 7th with a negative goal difference with a third of the season done.
We're in a fecking crisis.
 
Back
Top Bottom