Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
*Problem is there there
*Tatizo liko Pale Pale
MouOut
MouOut
MouOut
MouOut
MouOut
MouOut
*Tatizo liko Pale Pale
MouOut
MouOut
MouOut
MouOut
MouOut
MouOut
Hapo ndo umeongea nini?Leo sare au mnaotewa kimoko,
Ile game ya kwanza madogo ndio walicheza ,
Gafla papatupapatu, mkapata eti magoli
Leo mkisare, next game mnaenda mestalla , mnaenda kuzikwa na kuelekea futuhi ,kwenye epl mtamaliza nafas ya 8
Hauogopi Europa tungekushughulikia mkuuBora mngeenda europa maana kwa uwezo ambao timu inaonesha haiwezi kuifunga timu yoyote itakayokutana nayo UEFA. Inatembea kwa shida.
Kumbe wewe huwa unalala ili utoe stressLala upunguze stress
United wapo karibu na mkia kuliko kileleni - NonsenseManchester United kwa miezi mingi sasa wamekuwa wakishutumiwa kwa kucheza mchezo usiovutia, na kwa kuandikisha matokeo yasiyo ya kuridhisha sana.
Mashabiki hulalamika kwamba hakuna cha kufurahia, lakini meneja wao anaonekana kufidia hilo kwa vituko vyake.
Mreno huyo alisherehekea bao la ushindi lililofungwa na kiungo wa kati Marouane Fellaini dakika ya 91 kwa kunyanyua kreti ya maji na kuiangusha chini.
Kisha baadaye, alitumia kikao chake na wanahabari kutoa ujumbe kwa wanaompenda na kisha kumtawaza kipa wake "bora zaidi duniani."
Manchester United walikuwa wameonekana kuelekea kuandikisha sare nyingine tasa hadi pale Fellaini alipoufikia mpira wa Romelu Lukaku eneo la hatari uliokuwa umetokana na pasi ya Luke Shaw, akafanikiwa kumzuia mkabaji Loris Benito na kisha kutumbukiza mpira kwenye kona wavuni.
United wamefuzu kwa hatua ya makundi baada ya Juventus kuwalaza Valencia 1-0.
'Mwajua, niko sahihi'
Kusherehekea. Mwanachama wa bendi ya Nirvana, Kurt Cobain, alifahamika sana kwa kukamilisha matamasha yake wakati mwingine kwa kuvunja gitaa.
Mourinho alielekeza furaha yake na hisia zake kwa chupa za maji.
Hakujawahi kuonekana mtu mwenye machungu hivi kwa chupa za maji Old Trafford tangu Eric Cantona alipoulizwa maoni yake kuhusu mchezaji mwenzake Didier Deschamps.
Mourinho alikosolewa na Rio Ferdinand kwa kituko chake hicho kwenye BT Sport. Ferdinand, ambaye ni beki wa zamani wa Manchester United alidai kwamba Mourinho alifanya hivyo katika jaribio la kufanya kitu cha kugonga vichwa vya habari.
Kama hilo lilikuwa ndilo kusudi, basi alifanikiwa.
Lakini Jose hakubaliani na hilo.
"Wale wanaozungumzia kandanda, si wengi wao ambao wamekuwa uwanjani kama wakufunzi," alisema baada ya mechi.
Kwa wale wanaozungumzia mtu kuonyesha masikitiko yake akiwa kwenye basi, basi ninaweza kuwaalika waje waketi nami hapo kwenye benchi kama meneja.
"Pengine wanafurahia zaidi kuwa likizoni visiwa vya Barbvados na wanaweza kwenda kwenye runinga na kutumia vifaa hivyo vya kucheza kwenye skrini."
Hilo halina presha ukilinganisha na kuwa kwenye benchi. Nina uhakika asilimia mia kwamba hakuna meneja yeyote mwenye akili zake anaweza kumkosoa mwenzake kwa vituko alivyovifanya akiwa uwanjani. Kwa wale ambao wanaishi maisha mazuri yasiyo ya presha, ni tofauti."
Mourinho si meneja wa kwanza kuelekeza hisia zake kwa chupa za maji.
Arsene Wenger alifukuzwa uwanjani kwa kupiga teke chupa za maji alipokuwa meneja wa Arsenal walipokuwa wanacheza Old Trafford mwaka 2009.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp naye aliomba radhi baada ya kuangusha chupa chini kwa hasira, baada ya sare ya msimu uliopita kati yao na Arsenal.
14 kutoka kwa 14
Mourinho hakuwa tayari kuzungumzia takwimu kuhusu uchezaji wa timu yake msimu huu.
United wanakaribia mkia kwenye Ligi ya Premia kuliko kileleni, na wamefungwa mabao zaidi ya mara nne ukilinganisha na wapinzani wao Manchester City na Liverpool.
Walishindwa kufunga dhidi ya Crystal palace nyumbani wikendi, na mchoro huu wa Michael Caley unaonesha mambo halisi.
Muhimu zaidi kwangu ni kufuzu na kwa baadhi ya watu wanaonipenda, na wanapenda takwimu hizo, nimekuwepo Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya misimu 14 na mara 14 timu zangu zimefuzu hadi hatua ya makundi," alisema Mourinho.
"Msimu ambao sikuwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, nilishinda Europa League."
Mreno huyo anaonekana kufahamu vyema zaidi takwimu kuhusu ufanisi wake.
'Najua anataka kusalia'
Mourinho alimsifia sana kipa wake David de Gea ambaye alitumia ustadi wa hali ya juu kuuzia United kufungwa.
De Gea, 28, mkataba wake Old Trafford unadumu hadi mwisho wa msimu, lakini klabu hiyo inaweza kuuongeza hadi mwaka 2020.
Ni kipa wa kiwango cha juu zaidi duniani; kipa bora zaidi duniani," alisema Mourinho
Najua anataka kusalia na wakala wake anataka kufanya atakavyo mchezaji huyo. Bodi inamtaka asalie na tunalifanyia kazi hilo."View attachment 948687
Ukiogopa timu kama man ujue afya yako mgogoro.Hauogopi Europa tungekushughulikia mkuu
Sometimes yes....Kumbe wewe huwa unalala ili utoe stress
Halafu Si mara ya kwanza hii...Uyu mbwa si aje tu mbona anashoboka tangia kitamboo
Anafanya nini huko matofaliniView attachment 948726
hahaha mkuu hadi umu umoo......tuache bhna na MAN yetu tia maji tia maji hutuna machi rahis yahn.Magoli ya kuvizia vizia.
HIKI NI KIGENGE CHA VICHAAManchester United kwa miezi mingi sasa wamekuwa wakishutumiwa kwa kucheza mchezo usiovutia, na kwa kuandikisha matokeo yasiyo ya kuridhisha sana.
Mashabiki hulalamika kwamba hakuna cha kufurahia, lakini meneja wao anaonekana kufidia hilo kwa vituko vyake.
Mreno huyo alisherehekea bao la ushindi lililofungwa na kiungo wa kati Marouane Fellaini dakika ya 91 kwa kunyanyua kreti ya maji na kuiangusha chini.
Kisha baadaye, alitumia kikao chake na wanahabari kutoa ujumbe kwa wanaompenda na kisha kumtawaza kipa wake "bora zaidi duniani."
Manchester United walikuwa wameonekana kuelekea kuandikisha sare nyingine tasa hadi pale Fellaini alipoufikia mpira wa Romelu Lukaku eneo la hatari uliokuwa umetokana na pasi ya Luke Shaw, akafanikiwa kumzuia mkabaji Loris Benito na kisha kutumbukiza mpira kwenye kona wavuni.
United wamefuzu kwa hatua ya makundi baada ya Juventus kuwalaza Valencia 1-0.
'Mwajua, niko sahihi'
Kusherehekea. Mwanachama wa bendi ya Nirvana, Kurt Cobain, alifahamika sana kwa kukamilisha matamasha yake wakati mwingine kwa kuvunja gitaa.
Mourinho alielekeza furaha yake na hisia zake kwa chupa za maji.
Hakujawahi kuonekana mtu mwenye machungu hivi kwa chupa za maji Old Trafford tangu Eric Cantona alipoulizwa maoni yake kuhusu mchezaji mwenzake Didier Deschamps.
Mourinho alikosolewa na Rio Ferdinand kwa kituko chake hicho kwenye BT Sport. Ferdinand, ambaye ni beki wa zamani wa Manchester United alidai kwamba Mourinho alifanya hivyo katika jaribio la kufanya kitu cha kugonga vichwa vya habari.
Kama hilo lilikuwa ndilo kusudi, basi alifanikiwa.
Lakini Jose hakubaliani na hilo.
"Wale wanaozungumzia kandanda, si wengi wao ambao wamekuwa uwanjani kama wakufunzi," alisema baada ya mechi.
Kwa wale wanaozungumzia mtu kuonyesha masikitiko yake akiwa kwenye basi, basi ninaweza kuwaalika waje waketi nami hapo kwenye benchi kama meneja.
"Pengine wanafurahia zaidi kuwa likizoni visiwa vya Barbvados na wanaweza kwenda kwenye runinga na kutumia vifaa hivyo vya kucheza kwenye skrini."
Hilo halina presha ukilinganisha na kuwa kwenye benchi. Nina uhakika asilimia mia kwamba hakuna meneja yeyote mwenye akili zake anaweza kumkosoa mwenzake kwa vituko alivyovifanya akiwa uwanjani. Kwa wale ambao wanaishi maisha mazuri yasiyo ya presha, ni tofauti."
Mourinho si meneja wa kwanza kuelekeza hisia zake kwa chupa za maji.
Arsene Wenger alifukuzwa uwanjani kwa kupiga teke chupa za maji alipokuwa meneja wa Arsenal walipokuwa wanacheza Old Trafford mwaka 2009.
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp naye aliomba radhi baada ya kuangusha chupa chini kwa hasira, baada ya sare ya msimu uliopita kati yao na Arsenal.
14 kutoka kwa 14
Mourinho hakuwa tayari kuzungumzia takwimu kuhusu uchezaji wa timu yake msimu huu.
United wanakaribia mkia kwenye Ligi ya Premia kuliko kileleni, na wamefungwa mabao zaidi ya mara nne ukilinganisha na wapinzani wao Manchester City na Liverpool.
Walishindwa kufunga dhidi ya Crystal palace nyumbani wikendi, na mchoro huu wa Michael Caley unaonesha mambo halisi.
Muhimu zaidi kwangu ni kufuzu na kwa baadhi ya watu wanaonipenda, na wanapenda takwimu hizo, nimekuwepo Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya misimu 14 na mara 14 timu zangu zimefuzu hadi hatua ya makundi," alisema Mourinho.
"Msimu ambao sikuwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, nilishinda Europa League."
Mreno huyo anaonekana kufahamu vyema zaidi takwimu kuhusu ufanisi wake.
'Najua anataka kusalia'
Mourinho alimsifia sana kipa wake David de Gea ambaye alitumia ustadi wa hali ya juu kuuzia United kufungwa.
De Gea, 28, mkataba wake Old Trafford unadumu hadi mwisho wa msimu, lakini klabu hiyo inaweza kuuongeza hadi mwaka 2020.
Ni kipa wa kiwango cha juu zaidi duniani; kipa bora zaidi duniani," alisema Mourinho
Najua anataka kusalia na wakala wake anataka kufanya atakavyo mchezaji huyo. Bodi inamtaka asalie na tunalifanyia kazi hilo."View attachment 948687
Hehe mi pia shabiki wa united ila timu saiv ipo ipo tu.hahaha mkuu hadi umu umoo......tuache bhna na MAN yetu tia maji tia maji hutuna machi rahis yahn.
Uyu mbwa si aje tu mbona anashoboka tangia kitamboo