Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwaiyo unawaiga barca na Madrid?

Ukiiga kunya kwa tembo utachanika mk...
Sasa kama Barcelona walilipa mkwanja mrefu kwa dembele na coutinho wakamuacha hazard mimi nashindwaje kumpiga chini? Ananunuliwa mariano na madrid anapewa jezi ya ronaldo namba 7 anachwa hazard huoni kama inawezekana?
 
Euros
Club World Cup
Champions League
Premier League
League Cup
Portuguese Cup

Happy birthday to Nani 32 yrs. - on his day he's something else
FB_IMG_1542460949464.jpeg
FB_IMG_1542460958258.jpeg
FB_IMG_1542460964884.jpeg
FB_IMG_1542460969605.jpeg
 
Mimi sio fan wa Jose' Mourihno lakini naamini kama angepewa mahitaji yake yote kama pep anavyopewa kwa kipindi hiki cha miaka mitatu,kuna mwaka Jamaa angetupa mafanikio na kuacha timu yenye backup nzuri..

Tunadanganyana tu kuwa pep akipewa hii timu itasumbua pale uingereza..No,sidhani hivyo..lakini naimani itaimprove at some point..

Fagia Fagia inabidi ifanyike,tunawachezaji ambao washachoka na wengine ni bang average..Young,,Smalling,,Valencia,,Mc Tominay,,Jones,,Matic,,Lingard,,Raahford,,Darmian

Inabidi tujitafakari jinsi ambavyo tunafanya sajili zetu aisee..tumekuwa ovyo sana..leo unamsajili Fred then benched,,Dalot then benched..city angalia wanavyosajili..kila sajili inaingizwa kwenye timu,,angalia Laporte,una Mahrez na wengine
  • brother una amini ya kwamba kutokutimiziwa mahitaji yake ya wachezaji anaowahitaji hususan walinzi wa kati ndio sababu ya kuzidiwa na timu kama wattford pamoja na bournermouth msimu huu wakati msimu uliopita tulikuwa nafasi sawa na liverpool kwenye msimamo.
  • ule ubabe wa mourinho umekweda wapi?. unakumbuka vita yake na abramovich kuhusiana na usajili wa shevchenko. unaamini ya kwamba mourinho hana kauli mbele ya woodward linapokuja suala la kuwapa mikataba wachezaji kama valencia,lingard,matic,smalling n.k. kama mourinho anashindwa hata kufanya maamuzi ya kuuza wachezaji asiyowahitaji kuna faida gani ya kuendelea kufanya kazi na dikteta ed woodward? mimi naamini mourinho pia anahusika kwenye ishu ya kuwapa mikataba mipya average player kama antonio valencia na wengineo. na hii ndio tofauti nyengine kubwa ninayoiona kati yake na guardiola huyu wa manchester city.guardiola amemuondoa kolarov ila mourinho anashindwa kumuondoa darmian wakati juve walishatuma ofa . uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyemuondoa casillas real madrid kwenye kikosi cha kwanza?
  • aliyefanikisha dili la fred na diogo dalot ni ed woodward peke yake?.
  • anayemweka benchi fred ni ed woodward?
 
Mkuu point yangu kubwa hasa kwenye hiyo comment yangu ni kuwa;

√Mourinho sio kocha sahihi pale OT kwa maoni yangu,lakini bado naamini kama bodi yetu ingekuwa serious ya inayoyafanya Mourinho angeweza kutupa kitu kwenye hii miaka mitatu na akaacha timu yenye backup mzuri..Ndo maana chelsea haipotei kwenye ramani kihivo..angalia conte alienda stamford bridge na timu ikabeba kombe kwa timu aliyoiacha Mourinho,,conte kaondoka bado Sari anadeliver..Je united toka Fergie aondoke kocha gani ameweza kutupa furaha sisi mashabiki??

√Nimezungumzia fagia fagia ya wachezaji..wewe umesema kuwa Mourinho na Ed Woordward ndo wanaohusika,Je unakumbuka ishu ya Martial??..Ni wazi Mou alikuwa anataka Martial aondoke lakini inasemekana bodi ikawa haikubaliani na hilo..Sasa ni vipi useme kuwa wote wanahusika na kuwapa mikataba wachezaji??

√Mimi naona tatizo letu sio kocha tu..Ed woordward nae naona ni mtu anayeturudisha nyuma..kwahiyo ili turudi kwenye level zetu inabidi structure hii ifumuliwe

√Kuhusu sajili alizozifanya Mourihno,..Mimi naona kuflop kupo..hata barcelona hawapendezwi kuona jinsi dembele anavyocheza huku wao wametoa €100M+..Ikitokea hivi kocha apewe nafasi ya kuwaafload na kuleta wengine..simply like that
 
natumia simu ndio maana maelezo yangu yamekuwa mafupi labda ndio maana inawezekana yamekuletea matatizo kuyaelewa lakini pia nakuomba uyarejee tena kuyasoma kama utakuwa na muda.
hayo yote uliyaeleza ndio hayo niliyoyazungumza mimi kiupande wangu kwa sababu kwa uelewa wangu kiunganishi cha bodi ni mtendaji mkuu ambaye ni woodward,ndio maana nikasema ya kwamba tatizo kwa sasa ni wote wawili wanashindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo.
ed ana matatizo yake na mourinho pia ana matatizo yake.
inawezekana tumetofautiana kwenye kuelewa kwa haraka.
ndio maana nikauliza uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyouonyesha kwa perez na abramovich?
kwa nini haonyeshi tena ubabe wake au anamuogopa ed woodward.?
 
  • brother una amini ya kwamba kutokutimiziwa mahitaji yake ya wachezaji anaowahitaji hususan walinzi wa kati ndio sababu ya kuzidiwa na timu kama wattford pamoja na bournermouth msimu huu wakati msimu uliopita tulikuwa nafasi sawa na liverpool kwenye msimamo.
  • ule ubabe wa mourinho umekweda wapi?. unakumbuka vita yake na abramovich kuhusiana na usajili wa shevchenko. unaamini ya kwamba mourinho hana kauli mbele ya woodward linapokuja suala la kuwapa mikataba wachezaji kama valencia,lingard,matic,smalling n.k. kama mourinho anashindwa hata kufanya maamuzi ya kuuza wachezaji asiyowahitaji kuna faida gani ya kuendelea kufanya kazi na dikteta ed woodward? mimi naamini mourinho pia anahusika kwenye ishu ya kuwapa mikataba mipya average player kama antonio valencia na wengineo. na hii ndio tofauti nyengine kubwa ninayoiona kati yake na guardiola huyu wa manchester city.guardiola amemuondoa kolarov ila mourinho anashindwa kumuondoa darmian wakati juve walishatuma ofa . uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyemuondoa casillas real madrid kwenye kikosi cha kwanza?
  • aliyefanikisha dili la fred na diogo dalot ni ed woodward peke yake?.
  • anayemweka benchi fred ni ed woodward?
Mkuu Damushin una IQ kubwa kusoma matukio ya club pia unatoa ufafanuzi mzuri mno kwa kugusa historia na current situation.... Kuna uongo tunalishwa hapa bila sisi kujua..... Alafu alisema Valencia mgonjwa juzi Valencia kasema yupo fiti na ni technical reason zinamuweka nje.... Kwanini kocha asiwe muwazi?... Mwisho shikamoo Damushin najua hutulazimishi kukubali hali ya club ila muda mwingine board yetu inaonewa kwa sababu haiwezi kutoka nje kumpinga kocha direct
 
Nimekusoma mkuu..Maybe anakutana na vizingiti ambavyo hakukutana navyo before..Mkuu Damushin wewe unahisi ubabe wake umepotelea wapi??,unaweza kutupa mwanga kidogo..

natumia simu ndio maana maelezo yangu yamekuwa mafupi labda ndio maana inawezekana yamekuletea matatizo kuyaelewa lakini pia nakuomba uyarejee tena kuyasoma kama utakuwa na muda.
hayo yote uliyaeleza ndio hayo niliyoyazungumza mimi kiupande wangu kwa sababu kwa uelewa wangu kiunganishi cha bodi ni mtendaji mkuu ambaye ni woodward,ndio maana nikasema ya kwamba tatizo kwa sasa ni wote wawili wanashindwa kutimiza majukumu yao ipasavyo.
ed ana matatizo yake na mourinho pia ana matatizo yake.
inawezekana tumetofautiana kwenye kuelewa kwa haraka.
ndio maana nikauliza uko wapi ule ubabe wa mourinho aliyouonyesha kwa perez na abramovich?
 
Nimekusoma mkuu..Maybe anakutana na vizingiti ambavyo hakukutana navyo before..Mkuu Damushin wewe unahisi ubabe wake umepotelea wapi??,unaweza kutupa mwanga kidogo..
inawezekana tunayo yazungumza yana ukweli ndani yake au ni kinyume chake,ngoja tusubiri siku atakayoondoka jose mourinho huenda atazungumza yote yaliopo ndani ya klabu kama alivyofanya LVG baada ya kudai ya kwamba viongozi wa manchester united hawana uelewa mkubwa wa mpira isipokuwa uelewa wao mkubwa upo kwenye biashara ukilinganisha na viongozi wa bayern munich.
mambo ya ndani hatuwezi kuyaelewa makapuku kama sisi tusiotimiza hata mlo mmoja uliotimia kwa siku na tutabaki kuwa watabiri uchwara.
kwa maoni yangu finyu kwa sababu sijakamilika inawezekana kwa nyakati hizi:
  • inawezekana jose mourinho lile jicho lake la tatu limepoteza nuru kwa kiasi kikubwa sana jambo linalompelekea kupoteza umakini kwenye swala zima la ufundishaji wake wa soka, kwa mfano jaribu kuangalia usajili anaoufanya ndani ya klabu wachezaji wote aliowasajili inawachukua muda sana kuendana na matumaini aliyoyaweka ndani ya muda mfupi mfano fred, dalot, lindelof imemchukua msimu mzima kuendana na matumizi yake na wengine ndio wamepoteza muelekeo kati kati ya mapambano kwa mfano nemanja matic,eric bailly, henrick mkhitaryan na hata lukaku.
  • pia inawezekana labda vifungu vya mkataba dhidi ya manchester united vinamzuia kuwa mbwatukaji kwenye ishu zote za ndani ya klabu ndio maana amepoa sana tofauti na kipindi kile alipogombana hadharani na viongozi wa juu wa chelsea kwenye ishu kama ile ya usajili wa shevchenko,kupewa nafasi mzee avram grant kuwa mkurugenzi wa ufundi wa chelsea kipindi kile.
  • binafsi nashangaa inakuwaje jose mourinho huyu aliyewahi kumuondoa william gallas ndani ya chelsea kwa uhuni na fedha juu kwa ajili ya ashley cole kiurahisi rahisi tu leo hii anakubali kuwa na wachezaji watatu wenye uwezo unaolingana kwenye klabu, mfano valencia, ashley young, matteo darmian. mourinho hakuwa hivi sasa sijui ni kipi kimemkuta yule mzee mtafsiri lugha wa zamani.
je macho yake yamepoteza nuru au amepoteza mamlaka makubwa kwenye ishu nzima ya kuwasimamia wachezaji?
kiurahisi rahisi mourinho anakubali jesse lingard kupewa mkataba mpya wenye thamani ndani ya klabu?
au wewe kiupande wako unaonaje?
 
Back
Top Bottom