severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Akitaka kujua zaidi aje tu awe mlinda kipa
Akitaka kujua zaidi aje tu awe mlinda kipa
Watakuwa ni watani sana
Yes hizi timu zinamashabiki wa msimu. Walijiunga baada ya mafanikio.Yaani mashabiki wa namna hii ni tatizo sana mkuu
Wazee wa kudandia treni kwa mbele,
Mashabiki real kwa hizo timu upcoming ni wa kuhesabika
KabisaYes hizi timu zinamashabiki wa msimu. Walijiunga baada ya mafanikio.
Mwaka 84 mzee Hughes akiwa mchezaji wa utd kocha mzee Artickson. wengine timu hawajui zinatokea wapi
Kwani main target za Mou msimu Wa kwanza walikuwa ni kina nani na akawakosa? Hivi kocha kununua wachezaji Wa £30 mil inamaanisha kwamba ndio hela alopewa atafute wachezaji Wa kiasi hicho? Mi nijuavyo lindelof na Bailly ni machaguo ambayo Mwl aliamini ni sahihi. Labda beki Wa pembeni na penyewe ilikuwa sahihi kumnyima kwa sababu shaw alikuwepo na kilichoonekana ilikuwa ni kama kocha ana chuki binafsi kwa mchezaji ilihali bodi ya timu iliamini mchezaji ana potential. Beki 2 haikuwa tageti sana ya Mwl. Kuhusu winga ni vilevile tu Mwl alionyesha kutompenda martial hata kufikia kutaka dogo aondoke wakati wenye timu waliamini dogo ana kitu kikubwa ndani yake. Shida inakuja kwamba hata wachezaji alonunua kwa mapendekezo yake wanashindwa kufanya kilichotarajiwa na Mwl na pia wenye timu. Hata Mimi nisingetoa hela kirahisi rahisiMkuu nimekubaliana na wewe kwenye baadhi ya maeneo, nitaomba nitofautieni na wewe kwenye maeneo kadhaa, ambayo ndio nitayaongelea hapa chini
Guardiola ni kweli anakabia juu uwanjani lakini mpinzani wake anapovuka vizingiti, timu huwa inashuka chini zaidi kusaidia kuokoa. Wachezaji wa Guardiola wanawahi kufika kwa mpinzani sababu ana wachezaji wenye mbio, ujuzi na ufasaha na si kwa sababu wachezaji wanabaki golini kwa adui
Mbinu ya Mourinho haijapitwa na wakati, na haitapitwa na wakati .... Kusema ile style imechuja tangu 2012 ni kupotoka. Nakubali ile ni style isiyovutia, lakini husifiwa sana inapofanikisha malengo.
Utasemaje imepitwa na wakati tangu 2012 wakati 2016/2017 Leicester alifanya maajabu na kuchukua kombe kwa mbinu hizo hizo? Vipi kuhusu Chelsea ya Conte, analinda na kushambulia kwa counter attack na akatwaa EPL?
Kuhusu kupewa timu, kisha kocha ku identify mahitaji, Mou hajabahatika kiivyo, nakumbuka msimu ulivyoanza alipendekeza yeye aitwe Head Coach/Trainer kwakuwa kuitwa meneja ni kuvishwa kilemba cha ukoka ama kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Mou ameomba beki wa pembeni akapewa mil. 17 ikabidi anunue kipaji kinachochipukia na si beki aliyekamilika (Dalot), huku akiambiwa aendelee kumtumia Darmian, rojo,shaw, na mawinga Young na Valencia kama mabeki wa pembeni
Guardiola alipokohoa akapewa kipa kwa almost £30mil. (Bravo), wakati ana England no. 1 Joe Hart, akakohoa tena akapewa hela anunue Mendy na Walker kila 1 kwa zaidi ya £50mil (mabeki wa pembeni hawa, sio wa kati), hapo sijamtaja Danilo beki wa pembeni, back up aliyenunuliwa kwa £30mil. Akapewa beki ya kati Stones £44mil., akapewa zaidi £70mil. kumnunua yule mfaransa. Kumbuka huyu Bravo alishaondolewa ikatolewa £34mil. akanunuliwa huyu dogo wa sasa hivi (utanikumbusha jina la kipa na. 1 wa city)
Wakati huo Mou akapewa around £30 kwa kila beki, akampata Bailly na Lindelof (je hizo ndio bei za mabeki wa kati bora duniani?)
Guardiola akiwa na viungo wazuri tu, bado akapewa hela akanunua Gundogan, Mahrez, Silva B. n.k
Wakati huo Mou akapewa Pogba, Fred na Lukaku (hapa alipewa alichoomba)
Msimu wakati unaanza Mou akaomba sana apewe hela anunue beki wa kati, lakini hakupewa akalia apewe hela anunue winger lakini hakupewa.
Halafu unataka kikosi chake kicheze kama cha Pep, pasi nyingi, mashambilizi mengi halafu ushindi. LABDA NDOTONI.
Nakumbusha: Style hii hii ya Mourinho akipata mafanikio itasifiwa sana na Style hii hii ya Guardiola ikifeli itaonekana sawa na Van Gaal
Mkuu kati ya mim na www nani anapaswa kuwa na wivu, tangu Web astaafu hauna Epl mimi nimeshabeba kadhaa... Hata hii leo mim niko juu yako ki msimamo.... Timu kubwa nayo kukaa miaka yote hiyo bila kombe tena mnawachezaji bkra kabisa kuwahi kutokea kama akina Pogba 😂 Lukaku😂 Lingard😂 na Rashford 😂 ni aibu... Mwisho wa siku ukubwa unaishia kwenye makaratasiMadrid ana makombe 14 ya ulaya manne kwatwaa juz sasa hayo kumi yapo mfukoni kwako? Chelsea tulia wewe huna cha kusema lazima povu la wivu likutoke
Mkuu mimi sio timu kubwa, aibu yako wew timu kubwa kwamba tangu Web astaafu ni vitoto tu vinachujua mbele yako 😂Sasa wewe leicester alipobeba wewe hukuwepo hivi kichwani zipo wewe
hizi comment zako sisi wengine zinaendelea kutuletea maumivu brother, hebu jaribu kutupumzisha japo kwa nusu siku.Mkuu mimi sio timu kubwa, aibu yako wew timu kubwa kwamba tangu Web astaafu ni vitoto tu vinachujua mbele yako 😂
Utapasuka na roho mbaya web alichezesha club bingwa ya dunia ngazi ya vilabu?Mkuu mimi sio timu kubwa, aibu yako wew timu kubwa kwamba tangu Web astaafu ni vitoto tu vinachujua mbele yako![]()
Madrid walikaa miaka 6 hadi mourinho alipowapa la liga ni suala la muda na kupita vipind vibaya kwa akili yako tembo akikonda anafanana na paka unategemea siku chelsea atakuwa manchester united? Najua una maumivu kisingizio chako ni web timu inabeba club bingwa ya ulaya hadi na club world cup ngazi ya vilabu ni web? Uwe unaficha ujinga wako chelsea ulipigwa fainali moscow terry aliambiwa akose penat au web alimshika miguu anelka? Huna tofaut na vilio vya mbaazi zikikosa maua kizur na cha kupendeza nimekufumua fainali ya uefa yule refa sijui alikuwa ni web?Mkuu kati ya mim na www nani anapaswa kuwa na wivu, tangu Web astaafu hauna Epl mimi nimeshabeba kadhaa... Hata hii leo mim niko juu yako ki msimamo.... Timu kubwa nayo kukaa miaka yote hiyo bila kombe tena mnawachezaji bkra kabisa kuwahi kutokea kama akina PogbaLukaku
Lingard
na Rashford
ni aibu... Mwisho wa siku ukubwa unaishia kwenye makaratasi
Watu wepesi sana kusahauKwani main target za Mou msimu Wa kwanza walikuwa ni kina nani na akawakosa? Hivi kocha kununua wachezaji Wa £30 mil inamaanisha kwamba ndio hela alopewa atafute wachezaji Wa kiasi hicho? Mi nijuavyo lindelof na Bailly ni machaguo ambayo Mwl aliamini ni sahihi. Labda beki Wa pembeni na penyewe ilikuwa sahihi kumnyima kwa sababu shaw alikuwepo na kilichoonekana ilikuwa ni kama kocha ana chuki binafsi kwa mchezaji ilihali bodi ya timu iliamini mchezaji ana potential. Beki 2 haikuwa tageti sana ya Mwl. Kuhusu winga ni vilevile tu Mwl alionyesha kutompenda martial hata kufikia kutaka dogo aondoke wakati wenye timu waliamini dogo ana kitu kikubwa ndani yake. Shida inakuja kwamba hata wachezaji alonunua kwa mapendekezo yake wanashindwa kufanya kilichotarajiwa na Mwl na pia wenye timu. Hata Mimi nisingetoa hela kirahisi rahisi
Alafu mtu anatoka kunywa gongo anasema mou anafundisha kukabaKwani Man U walikua wangapi uwanjani? Au walienda break kunywa maji kidg
Mashabiki waimba taarabu nawaonaMkuu ndio maana nilisema siku za nyuma, hawa mashabiki wa MEMKWA ni shida (Mashabiki wanaojielewa watanisamehe)
😂😂😂 sasa mkuu hata wew ukiukizws Mou anafundisha nini utajibuje, mana kama ni attacking ndo hayo magunia ya kina Lukaku... Kama ni kukaba ni hizo dakika karibu tatu mpira unatafutwa kwa tochi 😂...Alafu mtu anatoka kunywa gongo anasema mou anafundisha kukaba
Mkuu nimekuelewa sana lakini kuna maeneo inabidi tuweke sawaKwani main target za Mou msimu Wa kwanza walikuwa ni kina nani na akawakosa? Hivi kocha kununua wachezaji Wa £30 mil inamaanisha kwamba ndio hela alopewa atafute wachezaji Wa kiasi hicho? Mi nijuavyo lindelof na Bailly ni machaguo ambayo Mwl aliamini ni sahihi. Labda beki Wa pembeni na penyewe ilikuwa sahihi kumnyima kwa sababu shaw alikuwepo na kilichoonekana ilikuwa ni kama kocha ana chuki binafsi kwa mchezaji ilihali bodi ya timu iliamini mchezaji ana potential. Beki 2 haikuwa tageti sana ya Mwl. Kuhusu winga ni vilevile tu Mwl alionyesha kutompenda martial hata kufikia kutaka dogo aondoke wakati wenye timu waliamini dogo ana kitu kikubwa ndani yake. Shida inakuja kwamba hata wachezaji alonunua kwa mapendekezo yake wanashindwa kufanya kilichotarajiwa na Mwl na pia wenye timu. Hata Mimi nisingetoa hela kirahisi rahisi
sasa mkuu hata wew ukiukizws Mou anafundisha nini utajibuje, mana kama ni attacking ndo hayo magunia ya kina Lukaku... Kama ni kukaba ni hizo dakika karibu tatu mpira unatafutwa kwa tochi
...
Mkuu naona povu limekua jingi... Sasa kama mnajua ni kipindi cha mpito kelela na majigambo ya nini.. Mlimsajiki Pogba kwa usajili wa kuvunja rekod hapakutosha humu 😂 baadae akaja Lukaku game kama tatu za kwanza akawa anafunga basi ndo alikua striker bora duniani... 😂 Mashabiki wa Man u mna taabu sana na timu yenu KUBWA bila Web hamna timu ombeni arudi ndo pona pona yenu... Zike enzi za Rooney kufunga goli na Web anashangilia zilisha pita.. Sasa pambaneni na sura halisi ya Man u 😂... Mwaka unaenda wa nane huu mwisho tutagikia umri wa mtu mzima 😂Madrid walikaa miaka 6 hadi mourinho alipowapa la liga ni suala la muda na kupita vipind vibaya kwa akili yako tembo akikonda anafanana na paka unategemea siku chelsea atakuwa manchester united? Najua una maumivu kisingizio chako ni web timu inabeba club bingwa ya ulaya hadi na club world cup ngazi ya vilabu ni web? Uwe unaficha ujinga wako chelsea ulipigwa fainali moscow terry aliambiwa akose penat au web alimshika miguu anelka? Huna tofaut na vilio vya mbaazi zikikosa maua kizur na cha kupendeza nimekufumua fainali ya uefa yule refa sijui alikuwa ni web?
Mkuu naona povu limekua jingi... Sasa kama mnajua ni kipindi cha mpito kelela na majigambo ya nini.. Mlimsajiki Pogba kwa usajili wa kuvunja rekod hapakutosha humubaadae akaja Lukaku game kama tatu za kwanza akawa anafunga basi ndo alikua striker bora duniani...
Mashabiki wa Man u mna taabu sana na timu yenu KUBWA bila Web hamna timu ombeni arudi ndo pona pona yenu... Zike enzi za Rooney kufunga goli na Web anashangilia zilisha pita.. Sasa pambaneni na sura halisi ya Man u
... Mwaka unaenda wa nane huu mwisho tutagikia umri wa mtu mzima
![]()
Aliekupiga uefa ni nani? Refa alikuwa web mi sisomi post zako naangalia juu ulivyoanza kisha najua idea yako nzimaMkuu naona povu limekua jingi... Sasa kama mnajua ni kipindi cha mpito kelela na majigambo ya nini.. Mlimsajiki Pogba kwa usajili wa kuvunja rekod hapakutosha humubaadae akaja Lukaku game kama tatu za kwanza akawa anafunga basi ndo alikua striker bora duniani...
Mashabiki wa Man u mna taabu sana na timu yenu KUBWA bila Web hamna timu ombeni arudi ndo pona pona yenu... Zike enzi za Rooney kufunga goli na Web anashangilia zilisha pita.. Sasa pambaneni na sura halisi ya Man u
... Mwaka unaenda wa nane huu mwisho tutagikia umri wa mtu mzima
![]()
😂😂😂😂 tatizo mna kelele sana.. Yani mkishinda game moja huwa hapatoshi humu na timu yenu kubwa 😂hizi comment zako sisi wengine zinaendelea kutuletea maumivu brother, hebu jaribu kutupumzisha japo kwa nusu siku.
timu ndogo zinachukua makombe ila sisi wakubwa tunaimba historia.
hahahahaaaaa ila muna haki wapinzani wetu kwa nyakati hizi kutumwagia mvua ya kejeli na matusi kwa sababu hali hii tulionayo kwa miaka hii tumejitakia wenyewe.