Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwanini mourinho hana choice wakati man u ina pesa kuliko barca na man city?
Wewe kukuelewesha ni kazi sana. Soma komenti zilizopita utaelewa

Man Utd ana hela kuliko City lakini unajua policy ya United kwenye ku spend? Unajua policy ya City kwenye ku spend? Je unajua Sera ya Glazer kwenye matumizi?

Wewe hujawahi kuona familia ya tajiri watoto wanavaa vibaya au wanakula chakula kibaya ukilinganisha na familia ya mtu mwenye pesa ndogo/ya wastani tu?
 
Propaganda tu kuhonga Forbes muonekane mna pesa kumbe bure kabisa

Mimi sio fan wa Jose' Mourihno lakini naamini kama angepewa mahitaji yake yote kama pep anavyopewa kwa kipindi hiki cha miaka mitatu,kuna mwaka Jamaa angetupa mafanikio na kuacha timu yenye backup nzuri..

Tunadanganyana tu kuwa pep akipewa hii timu itasumbua pale uingereza..No,sidhani hivyo..lakini naimani itaimprove at some point..

Fagia Fagia inabidi ifanyike,tunawachezaji ambao washachoka na wengine ni bang average..Young,,Smalling,,Valencia,,Mc Tominay,,Jones,,Matic,,Lingard,,Raahford,,Darmian

Inabidi tujitafakari jinsi ambavyo tunafanya sajili zetu aisee..tumekuwa ovyo sana..leo unamsajili Fred then benched,,Dalot then benched..city angalia wanavyosajili..kila sajili inaingizwa kwenye timu,,angalia Laporte,Mahrez na wengine
 
Nani anayedanganya, wanadanganya ili iweje? City mmiliki ni tajiri, ila club si tajiri kiivyo

Kinachoongea sio vipeperushi vya Forbes, wao wana publish tu ukweli unaojidhihirisha field

Kinachoongea ni soko la hisa na factors nyingine
 
Man city haina pesa ila inanunua inachotaka wewe unapesa alafu unaleta upuuzi wa Sera za mtoto wa shangaz anaemiliki team ujinga kabisa

Huna hoja

Kwenye matusi umejaliwa, nafunga ukurasa wa kujadili na aliyekimbia na nguo wakati naoga, maana mimi ndio nitaonekana yeye na yeye ataonekana mimi upstairs
 
Mimi sio fan wa Jose' Mourihno lakini naamini kama angepewa mahitaji yake yote kama pep anavyopewa kwa kipindi hiki cha miaka mitatu,kuna mwaka Jamaa angetupa mafanikio na kuacha timu yenye backup nzuri..

Tunadanganyana tu kuwa pep akipewa hii timu itasumbua pale uingereza..No,sidhani hivyo..lakini naimani itaimprove at some point..

Fagia Fagia inabidi ifanyike,tunawachezaji ambao washachoka na wengine ni bang average..Young,,Smalling,,Valencia,,Mc Tominay,,Jones,,Matic,,Lingard,,Raahford,,Darmian

Inabidi tujitafakari jinsi ambavyo tunafanya sajili zetu aisee..tumekuwa ovyo sana..leo unamsajili Fred then benched,,Dalot then benched..city angalia wanavyosajili..kila sajili inaingizwa kwenye timu,,angalia Laporte,Mahrez na wengine
Mimi pia si Mshabiki wa Jose kiivyo, lakini napenda apewe fair judgement na si kumuonea

Ni kweli mkuu United inabidi wafanye safisha kubwa tu
 
Hahahahaha mshabiki wa manchester city unazungumzia makombe manchester united baba lao england
😂😂 nawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...

😂😂 Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
 
nawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...

Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
Madrid ana makombe 14 ya ulaya manne kwatwaa juz sasa hayo kumi yapo mfukoni kwako? Chelsea tulia wewe huna cha kusema lazima povu la wivu likutoke
 
nawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...

Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
Sasa wewe leicester alipobeba wewe hukuwepo hivi kichwani zipo wewe
 
Kuifumua man utd Ni kuanzia mkurugenzi, hovyo kabisa...Watu wanamtaja zidane. Mimi nawaambia, zidane Hana lolote afadhari giggs UTD, Hawa wote hawafikii level ya morinho na pep. Sasa basi. Tatizo la utd sio Coach kwa asilimia flan, asilimia kubwa ni management.

Uingeleza inachangia ubovu wa hata club, kwa Sheria za soka hapa UK, lazima timu iwe na wachezaji wazawa, Smalling amedumu hapa Manchester kwa sababu hiyo na wengine waking Jones. Vinginevyo kocha angejaza wageni.

Kitendo Cha mkurugenzi kutaka wachezaji flani wawepo ni rushwa katika Soka, man utd mtaje, mchezaji wa uingeleza ananguvu ya kubaki kwa utaifa tuu. Hicho kitu kina igharimu timu.

Timu inapokuwa na mkurugenzi ambaye sio multskilled katika Mambo mengi na Soka ikiwemo Ni tatizo.... morinho Nate ana skills nyingi kuliko gardiola lkn anakosa management skills wa watu wote, sio wachezaji wake tu...huko uwanjani Ni mtu asiye na subra, hachelewi kutamka maneno anayotaka...

Kwa Soka la uingeleza itamsumbua Sana, kwa sababu ataonekana mahakamani siku zote kwamba anashambulia binadamu wengine..aserna wenga amenyanyashwa Sana na morinho, mzee wa watu wa man City, morninho alikomalia Sana. Yaani jamaa namkubali ila anapokosa skills flan ya kustahi wengine anaharibu kazi yote
 
nawapendaga hapk tu mkianza kuhesabu makombe yaliyo kwenye makaratasi mnasahau kabisa kama mlichapwa tatu...

Mashabiki wa Man u saiz ukimwambia umefungwa anakwambia Man u ni klabu kubwa wewe... Sasa klabu kubwa unakubalije kukaa miaka yote hiyo haujachukua ligi kuu mpaka unapitwa na Leicester?
Kwa hiyo Mkuu sasa hivi Leicester yupo juu ya Man Utd

Washabiki wa United lazima wawe proud na achievements walizopata

Mashabiki wa timu nyingine hawana achievements yoyote, sasa watajisifia nini? Labda kupiga pasi.
 
Huyu jamaa huwa anaongozwa na chuki kisha wivu unafuata fuatilia post zake huwa anapenda kuishusha timu yetu kwamba kwa kuwa chelsea kabeba makombe mawili ya epl hii miaka ya karibuni basi ni club kubwa kuishinda manchester united namuona na mshabik ambae hajakamilika si mtu wa mpira ni mtu wa roho mbaya
 
Mkuu ndio maana nilisema siku za nyuma, hawa mashabiki wa MEMKWA ni shida (Mashabiki wanaojielewa watanisamehe)
 
Huwa nachekaga sana kwenye mabanda ya. Mipira dar es salaam, washabiki wanaiponda utd Lkn wanaiangalia.

Niliangalia soka pub Mona jijini, asernal wanacheza, mashabiki wanabishana, man inapoteza, lkn tunaangalia nao...

Huwa Sina nafasi Sana, lkn nimeset ratiba zangu mechi za utd lazima nisogee kwenye luninga, Sasa Hawa jamaa hata wangeniacha peke angu niangalie mpira, watu wanadai mpira ni zile kelele za ushabiki, Mimi hazinisumbui lkn moyo wangu kwa man utd hata chumbani naweza kaa alone nikifatilia kwa makini.

For a record last season man utd haijachukua Combe lkn kwa nini mapato yalikuwa makubwa kupita hata aliyechukua? Can you answer that? Man utd inaangaliwa dunia nzima. Inawashabiki wengine hawapo kwenye record. Mabanda ya daresalama, mechi ya man utd yanauza Sana, wabishe Hapo. Ni timu kubwa hate mchezaji mkubwa anayeitwa pale anakenua.....akikataa ninjia ya kusaka kick ili, atangaze yeye nibora, ni sawa kumkataa dem mkali halafu utangaze. Sasa ole wako.
 
Hako ka jamaa kameibuka baada ya city kushinda vikipigwa vinalala mbele sasa nae ni shabiki huyo mkuu?
Yaani mashabiki wa namna hii ni tatizo sana mkuu

Wazee wa kudandia treni kwa mbele,

Mashabiki real kwa hizo timu upcoming ni wa kuhesabika
 
Back
Top Bottom