Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira umebadilika zamani majukumu ya kukaba yalikuwa ni ya beki na kiungo mkabaji tu, lakini kwa sasa hata namba 9 anakaba (angalia mfano zinapotokea set pieces)

City wenyewe hadi akina aguero wanakaba, lakini wao wanakabia juu na sio kwenye nusu yao, angalia mfano aguero mechi ya juzi na united kama sikosei, alilambwa kadi ya njano sababu ya kukaba.

Kitu ninachoona ni kwamba, kwa sasa imekuwa ni rahisi sana kumlaumu Mou sababu matokeo hayaendi upande wake

Amin nakwambia, kwa mfumo huu huu wa sasa akipata matokeo mazuri utaona vigelegele na mapambio kutoka kila kona

Mkuu kuna 2 style za defense:-

1. Defending by offense
2. Defending by defense

Mou anatumia hiyo ya 2, na amekuwa analazimisha strikers, midfielders kurudi nyuma kuzuia (unaikumbuka kazi ya kina Etoo Inter), na mfano mwaka jana kuna scenarios Lukaku anajifunga kwa sababu ya kuja huku kwenye back line.

Kwa mpira wa sasa ambao wings hazipigi cross, bali zinakufata imekuwa ni kazi sana kuwa na mafanikio kwenye eneo la defense kama unarudisha timu yote nyuma na watu wanakushambulia muda wote, back then ungekuta wings zinabanwa kwenye crosses, strikers wanapigwa pini maisha yanarahisika, toka 2010 Mou achukue UEFA, then Chelsea 2012 (almost kwa kutumia schemes za Mou) hii mbinu ya ukabaji si rafiki tena kwenye soccer.

Pep anatumia mbinu zote mbili, anakaa na mpira katikati na mbele, muda mwingi nyuma kuna relax (offensive way of defending), na ikitokea mpira ukaja nyuma anarudisha wachezaji wachache kuja kusaidia back line ili wakirecover mpira kunakuwa na watu wa kuupokea. Na ndiyo maana ni wao waliofungwa goli chache EPL na wamefunga goli nyingi. Mfumo wa Mou wa ukabaji haukupi nafasi ya kufunga goli nyingi.

Pep na Barca yake walijikita kwenye mbinu ya kwanza pekee, walikuwa hawajali sana kwenye beki isipokuwa ushambuliaji, ila hii Man City jamaa kasuka beki nzuri, anasumbua kote.

Pep ni bora vs Mou; unapopewa timu, una identify mahitaji, unapewa hela unanunua wachezaji wanaokupa matokeo kama haya wewe ni bora.

Akiwa Bayern hakuwa na mandate kama aliyonayo leo Man City, ile timu Legends ambao ni wazawa wanaangalia pale, wana sauti, na ni timu almost ya Taifa, uhuru wa kufanya utakavyo ni ngumu.

Mou kashapewa wachezaji wengi na anasema hawafit, wrong choice of resources ni almost misuse, huwezi kuwa unanunua 5, moja ndo inafanya vyema tukasema wewe ni bora.

Mimi kwangu Mou was best up to 2010.
 
Greizman
ggmu_manunited-20181116-0001.jpeg
 
Mkuu unamuelewa huyu mtoto

espnuk-20181116-0001.jpeg
 
Mkuu nimekubaliana na wewe kwenye baadhi ya maeneo, nitaomba nitofautieni na wewe kwenye maeneo kadhaa, ambayo ndio nitayaongelea hapa chini

Guardiola ni kweli anakabia juu uwanjani lakini mpinzani wake anapovuka vizingiti, timu huwa inashuka chini zaidi kusaidia kuokoa. Wachezaji wa Guardiola wanawahi kufika kwa mpinzani sababu ana wachezaji wenye mbio, ujuzi na ufasaha na si kwa sababu wachezaji wanabaki golini kwa adui

Mbinu ya Mourinho haijapitwa na wakati, na haitapitwa na wakati .... Kusema ile style imechuja tangu 2012 ni kupotoka. Nakubali ile ni style isiyovutia, lakini husifiwa sana inapofanikisha malengo.

Utasemaje imepitwa na wakati tangu 2012 wakati 2016/2017 Leicester alifanya maajabu na kuchukua kombe kwa mbinu hizo hizo? Vipi kuhusu Chelsea ya Conte, analinda na kushambulia kwa counter attack na akatwaa EPL?

Kuhusu kupewa timu, kisha kocha ku identify mahitaji, Mou hajabahatika kiivyo, nakumbuka msimu ulivyoanza alipendekeza yeye aitwe Head Coach/Trainer kwakuwa kuitwa meneja ni kuvishwa kilemba cha ukoka ama kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Mou ameomba beki wa pembeni akapewa mil. 17 ikabidi anunue kipaji kinachochipukia na si beki aliyekamilika (Dalot), huku akiambiwa aendelee kumtumia Darmian, rojo,shaw, na mawinga Young na Valencia kama mabeki wa pembeni

Guardiola alipokohoa akapewa kipa kwa almost £30mil. (Bravo), wakati ana England no. 1 Joe Hart, akakohoa tena akapewa hela anunue Mendy na Walker kila 1 kwa zaidi ya £50mil (mabeki wa pembeni hawa, sio wa kati), hapo sijamtaja Danilo beki wa pembeni, back up aliyenunuliwa kwa £30mil. Akapewa beki ya kati Stones £44mil., akapewa zaidi £70mil. kumnunua yule mfaransa. Kumbuka huyu Bravo alishaondolewa ikatolewa £34mil. akanunuliwa huyu dogo wa sasa hivi (utanikumbusha jina la kipa na. 1 wa city)

Wakati huo Mou akapewa around £30 kwa kila beki, akampata Bailly na Lindelof (je hizo ndio bei za mabeki wa kati bora duniani?)

Guardiola akiwa na viungo wazuri tu, bado akapewa hela akanunua Gundogan, Mahrez, Silva B. n.k

Wakati huo Mou akapewa Pogba, Fred na Lukaku (hapa alipewa alichoomba)

Msimu wakati unaanza Mou akaomba sana apewe hela anunue beki wa kati, lakini hakupewa akalia apewe hela anunue winger lakini hakupewa.

Halafu unataka kikosi chake kicheze kama cha Pep, pasi nyingi, mashambilizi mengi halafu ushindi. LABDA NDOTONI.

Nakumbusha: Style hii hii ya Mourinho akipata mafanikio itasifiwa sana na Style hii hii ya Guardiola ikifeli itaonekana sawa na Van Gaal
 
Mkuu nitoe angalizo kwa mou. Mimi timu yangu hii inafalsafa zake. Naamini akija kocha Aki insert zakwake atafeli tu. Labda niishie hapo kwa hilo. Nikija kwenye transfer...mou amepewa lukaku Ni flop, amepewa Pogba hamtumii anagombana nae...amepewa Fred anamtumia bench, ana martial, anashindwa kula na watoto na kuwachukulia hivyo mpaka ugombane nao?
He miss management skills, pale Chelsea aligombana...mou hata akiwa kocha Bora...hapakuwa Bora Kama anapambana na watumishi...na hatimaye hawafanyi kazi kwa kujituma.

Fergie alikuwa na heshima, ona Ferguson alivyoifanya mtoto mtukutu akigombana nae Keane.lkn ona kazi ya Keane. Hivi mnamjua Eric carntona? Hakuwa na mzaha uwanjani.

Angalia wachezaji wa mou. Yaani nashindwa kusema la moyoni. Eti watu wanashangaa come back style...hivi hawajui ndio falsafa ya man utd?
 
Lukaku bado hajawa flop kiivyo, yupo katika kipindi kigumu tu....yote haya yatapita.

Nakumbuka kuna kipindi Kane alikuwa hajafunga kwa muda mrefu na sikusikia hizi kashfa....sijui ni kwa sababu ya rangi ama uingereza wake

Fred bado hajaizoea timu, anahitaji kuwa integrated kwenye timu taratibu

Pogba ni bonge la kiungo ila anahitaji kuwa na consistency

Martial alihitaji kukua, na dalili zinaonesha anakua

Mou sio kocha wa kwanza kugombana na wachezaji wake. Makocha wote ambao ni disciplinarian huwa wangombana na wachezaji wao, mfano Conte na Willian, Jose na Martial, Pogba et. al. Fergie na Beckham, Keano, Ruud Van, Rooney, Stam n.k

Unapofundisha wachezaji wakubwa suala si kugombana nao, suala ni una handle vipi situation unapogombana nao
 
Man u tumeshaupoteza ubingwa tena labda tushinde UEFA au FA

Samahan mkuu Kama approach Niliyotumia ni mbaya. Lakini mkuu pep ni kitu kingine kwangu mm. Na Pep angepata wachezaji walioachwa na kocha yyt Kati ya walioondoka OT-Old Trafford wangefanya wonders.

Nataka nikuonyeshe namna pep angemtumia de Maria, namna pep angemtumia kagawa, na wachezaji wengi wengi waliopitia utd. Naamini uhusiano mzur Kati ya manager na wachezaji ndio moyo wa ushindi.
Mbona aliowakuta city wengi kawafyekelea mbali??...
 
True mchezaji hatakiwi kumpanda kichwani mwalimu ndiyo maana ni lazima amwadabishe mbona Fergie alikuwa anagombana na wachezaji anawatia benchi vizuri tu akiona anazingua anampiga bei.

Hata Mourinho hawezi kufanya vizuri kama team aliyonayo kila mtu atageuka kuwa kambale, lazima afanye kila linalowezekana kudhibit team as a manager.
Lukaku bado hajawa flop kiivyo, yupo katika kipindi kigumu tu....yote haya yatapita.

Nakumbuka kuna kipindi Kane alikuwa hajafunga kwa muda mrefu na sikusikia hizi kashfa....sijui ni kwa sababu ya rangi ama uingereza wake

Fred bado hajaizoea timu, anahitaji kuwa integrated kwenye timu taratibu

Pogba ni bonge la kiungo ila anahitaji kuwa na consistency

Martial alihitaji kukua, na dalili zinaonesha anakua

Mou sio kocha wa kwanza kugombana na wachezaji wake. Makocha wote ambao ni disciplinarian huwa wangombana na wachezaji wao, mfano Conte na Willian, Jose na Martial, Pogba et. al. Fergie na Beckham, Keano, Ruud Van, Rooney, Stam n.k

Unapofundisha wachezaji wakubwa suala si kugombana nao, suala ni una handle vipi situation unapogombana nao
 
True mchezaji hatakiwi kumpanda kichwani mwalimu ndiyo maana ni lazima amwadabishe mbona Fergie alikuwa anagombana na wachezaji anawatia benchi vizuri tu akiona anazingua anampiga bei.

Hata Mourinho hawezi kufanya vizuri kama team aliyonayo kila mtu atageuka kuwa kambale, lazima afanye kila linalowezekana kudhibit team as a manager.
Mkuu tumefikia hatua tunataka kambale ammwage mwenzie lkn timu ishinde.

Mara nyingi naingia mtandao wa www.newsnow/manutd napata umbea mwingi Sana. Magazeti na pundits wanakosoa Sana. Lkn nimeona magazeti au media imeshindwa. Inasema Sana, yaani mauwongo mengin kuhusu Pogba, martial, morinho. Otherwise timu shida ipo kwa mkurugenz. Hawezi kazi Kama Peter Kenyon.

Hafanyi kazi na kocha. Morinho yupo Kama shamba boy. Akiomba kitu bodi iko chalinze, haielewi. Morinho ilishampa pesa ile....Kama mtu amefeli mnamshikilia wa nn. Ni kocha lkn hawezi kudumu kazini. Hana management skills.
 
Ukweli ni kwamba ugomvi uliopo kati ya mou na wachezaji wake unakuzwa na magazeti.

Magazeti yanauza zaidi yanapoiandika man u kuliko yakiandika habari za team zingine pale top four kwa ujumla wake hivyo kitu kidogo sana kinakuzwa ili magazeti yauze.

Toka Woodward ameshika usukani pale gari imepoteza mwelekeo kwa sababu dereva yuko interested na gear tu bila kuangalia uelekeo. Mou hana management skills kubwa sana kama hajapewa fungu la kusajili.

Ukweli unazidi kujidhihirisha kuwa tatizo siyo makocha huenda tatizo ni Woodward mwenyewe.
Mkuu tumefikia hatua tunataka kambale ammwage mwenzie lkn timu ishinde.

Mara nyingi naingia mtandao wa www.newsnow/manutd napata umbea mwingi Sana. Magazeti na pundits wanakosoa Sana. Lkn nimeona magazeti au media imeshindwa. Inasema Sana, yaani mauwongo mengin kuhusu Pogba, martial, morinho. Otherwise timu shida ipo kwa mkurugenz. Hawezi kazi Kama Peter Kenyon.

Hafanyi kazi na kocha. Morinho yupo Kama shamba boy. Akiomba kitu bodi iko chalinze, haielewi. Morinho ilishampa pesa ile....Kama mtu amefeli mnamshikilia wa nn. Ni kocha lkn hawezi kudumu kazini. Hana management skills.
 
Mkuu tumefikia hatua tunataka kambale ammwage mwenzie lkn timu ishinde.

Mara nyingi naingia mtandao wa www.newsnow/manutd napata umbea mwingi Sana. Magazeti na pundits wanakosoa Sana. Lkn nimeona magazeti au media imeshindwa. Inasema Sana, yaani mauwongo mengin kuhusu Pogba, martial, morinho. Otherwise timu shida ipo kwa mkurugenz. Hawezi kazi Kama Peter Kenyon.

Hafanyi kazi na kocha. Morinho yupo Kama shamba boy. Akiomba kitu bodi iko chalinze, haielewi. Morinho ilishampa pesa ile....Kama mtu amefeli mnamshikilia wa nn. Ni kocha lkn hawezi kudumu kazini. Hana management skills.
Mkuu hapa umeongea point kubwa sana

Tatizo pale United ni kubwa kuliko Mou au Wachezaji

Tatizo linaanzia kwa Wamiliki (Glazers) na Ed. Unajua wamiliki sio watu wa soka kiviile, wenyewe wanachoangalia ni mwisho wa siku timu imeingiza kiasi gani cha mapato. Ndio maana timu isipofanya vizuri (lakini angalau ishiriki UEFA kocha hawezi guswa hata kidogo, ila ikijichanganya ikose nafasi kushiriki UEFA ujue kocha hana kazi, sababu UEFA ni pesa. Imeshamtokea Moyes na LVG.

Ed ni mzuri sana kwenye Biashara lakini si mzuri kwenye mafanikio ya timu kisoka. Kenyon alikuwa bora kwenye vyote lakini sanasana kwenye soka.

Halafu Ed hajui hata soka kivile lakini Mou akitaka mchezaji anamwambia huyo hatufai au huyo hayupo tofauti na wachezaji tulionao. Hii kazi angalau angetafutwa Director of Football ili awe anafanya maamuzi ya namna hiyo na si yeye Ed ambaye kwake mpira ni baishara tu.
 
True mchezaji hatakiwi kumpanda kichwani mwalimu ndiyo maana ni lazima amwadabishe mbona Fergie alikuwa anagombana na wachezaji anawatia benchi vizuri tu akiona anazingua anampiga bei.

Hata Mourinho hawezi kufanya vizuri kama team aliyonayo kila mtu atageuka kuwa kambale, lazima afanye kila linalowezekana kudhibit team as a manager.
Ukweli ndio mkuu
 
Mimi naomba unisaidie sababu ya morinho kutomtumia DM mtanisaidia jina, akampeleka timu ya vijana, kwa Nini aachane na zlatan? Alikuwa bora kuliko lukaku, tatizo la morinho anachuki binafsi. Na huyo hawezi kupata mafanikio ya maana. Unaona amewapa vikombe the blue lkn anahangaika nao, hakuna kuheshiniana kikazi, japo kibinadanu hakuna. Ferguson alisumbualiwa Sana ishu za usajili. Na ndio maana alimalizia na wachezaji ambao wasingeweza kutumiwa na kocha mwingine
Magoli mengi tunayofungwa msimu huu mengi ni individual mistake za mabeki wetu ni tofauti na misimu 2 iliyopita na DM(Matic) amechoka kwa umri wake na majeruhi sio mchezaji wa kucheza kila wiki.
 
Wewe ni shabiki au mpingaji wa kocha?
Hahaha mkuu labda haujanijua vizuri..

Mimi ni mwana-manchester united mpinzani wa huyo kocha. Kama ukicheki comments zangu zote nimetanabaisha na kujieleza kwa kina kuhusu hilo.

Nasema tena, Manchester UNITED ina matatizo mengi mno. Ila tatizo kubwa ni uwepo wa huyo mndengereko wa kizungu (Mourinho). Mtapata tabu sana mpaka mtakapokuja kujua mchawi wa hii timu ni Mou.

Cheki game na city hata ile Football Playing display ya team haioneshi kuwa kuna kocha anaefundisha soka.
 
Back
Top Bottom