Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamaa...ndio nisiowapenda kabisa, hasa mnapoanza kumtaja web, hivi katika akili ndogo tu, mafanikio ya man utd huko nyuma ilikuwa upendeleo unadhani, akili ya kitoto Sana. Na je makocha wanaochemsha, unadhani tatizo lipo kwa Nani? Ushabiki huu kwenye mabanda ya video tunawanyamazia tu, hapa kwa Thinkers huwezi andika upupu Kama huo.
Povu
 
Huyu jamaa ni lile kundi lililokosa hoja huwa wanatafuta kichaka cha kijifichia muulize fainali ya moscow kati ya chelsea na united refa alikuwa web?
 
Ndiyo, aliipeleka Bergium nusu fainali ya World cup wakiwa na Lukaku [emoji23]
Memphis Depay - Memphis arrived at Old Trafford from PSV with a huge reputation but never made his mark. Jose Mourinho sold him to Lyon in January 2017 but United inserted a buy-back clause in the deal. The Dutchman has impressed for the Ligue 1 club, scoring 33 goals and notching 31 assists in 86 appearances.
 
New Ronaldo
 
Siku ile nilikuletea hapa takwimu za Jorginho dhidi ya midielfield wengine akiwemo matic na pogba uliruka hapa [emoji23][emoji23] lkn leo takwimu zina value... Mashabiki wa man u mnasumbukiwa na ugonjwa gani [emoji23]
Nilikuambia sio za kweli? Zile ni takwimu za kupiga pass si za ubora
 
[emoji23][emoji23] si ndo nashangaa ulishindwa kuwanyoa wale watoto pale darajani... Sasa napata tabu pale ambapo watoto wako juu akaf wakubwa wako nafasi ya saba, nane nane huko..... [emoji23]
Kuwa juu si ajabu

Alaves na Espanyol wapo juu ya Madrid, lakini bado watabaki kuwa watoto tu wa Madrid
 
Back
Top Bottom