Marcos rojoView attachment 940759
Akicheza na bailly naona mourinho anamfanyia kusudi ed woodwardHuyu na baily au Jones huwa wanaelewana sana.
hahahahaaaaa una utani wa ajabu sana muheshimiwa radika.I get a funny feeling he'll be able to run faster now.View attachment 940758
Hahahha noma sana mkuu.hahahahaaaaa una utani wa ajabu sana muheshimiwa radika.
umesahau hata willian wa chelsea,axel witsel wa dortmund wote wana nywele nyingi lakini wanakimbia kama chui.
teh teh teh
lord fellaini.
majeruhi yamemuathiri marcos rojo kwenye maisha yake ya soka, halafu mourinho ana tabia ya kuchunukwa na mchezaji tofauti na SAF ambaye alikuwa ni muumini wa rotation squad, fikiria inafika mechi ya tano kwenye ligi kuu hajampa nafasi eric bailly na jamaa hana tatizo lolote la kiafya.Akicheza na bailly naona mourinho anamfanyia kusudi ed woodward
Kwenyw rotation mkuu umeongea ukweli jamaa toka akiwa chelsea yupo hivyo sijui nini anaogopa sir alex alikuwa akifanya rotation sana had wachezaj wanaimarika hadi evans alikuwa akicheza na vidic au rio.majeruhi yamemuathiri marcos rojo kwenye maisha yake ya soka, halafu mourinho ana tabia ya kuchunukwa na mchezaji tofauti na SAF ambaye alikuwa ni muumini wa rotation squad, fikiria inafika mechi ya tano kwenye ligi kuu hajampa nafasi eric bailly na jamaa hana tatizo lolote la kiafya.
hata nyakati zile za combination ya bailly na rojo au jones alikuwa anawasahau smalling na lindeloff.
kwenye eneo la midfield hivyo hivyo anawasahau herrera na wenzake.
na mchezaji unapomweka benchi mara kwa mara unampotezea kujiamini na kumfanya aonekane useless.
nyakati za SAF hata ukimkuta ferdinand anacheza pamoja na smalling au evans pressure ilikuwa ni ya kawaida hata kama adui ni didier drogba.
rotation system ina faida kubwa sana kwenye timu kuliko hasara zake kwa uoni wangu.
mfano mwengine waangalie man city leo hii kelvin de bruyne hayupo kwenye kikosi lakini bernardo silva amerithi nafasi yake kwa umahiri mkubwa.
ukifundishwa na jose mourinho muda wote unatakiwa uwe upande wake kuanzia kiwango chako na nidhamu yako,ukijisahau kidogo unaweza ukapotea kisoka.Kwenyw rotation mkuu umeongea ukweli jamaa toka akiwa chelsea yupo hivyo sijui nini anaogopa sir alex alikuwa akifanya rotation sana had wachezaj wanaimarika hadi evans alikuwa akicheza na vidic au rio.
Nafikiri Giggs anaweza kutupeleka mahali japo hana experience kubwa. Guardiola aliweza kupewa team na akafanya makubwa vivyo hivyo kwa Dimateo alifanya vizuri.PTER hayo yote ulioyazungumza kwa njia ya maandishi yana ukweli kwa asilimia kubwa sana.
lakini kwa uoni wako unadhani ni mwanadamu yupi mwenye damu ya manchester united ambaye unadhani anaweza kutusogeza mbele wakati huu wa mkwamo wa kujitakia?
Nakumbuka Jone Evans mechi yake ya ushindani alicheza pamoja na Vidic dhid ya Chelsea na man u walishinda 3 na hakukuwa na pressure yoyotemajeruhi yamemuathiri marcos rojo kwenye maisha yake ya soka, halafu mourinho ana tabia ya kuchunukwa na mchezaji tofauti na SAF ambaye alikuwa ni muumini wa rotation squad, fikiria inafika mechi ya tano kwenye ligi kuu hajampa nafasi eric bailly na jamaa hana tatizo lolote la kiafya.
hata nyakati zile za combination ya bailly na rojo au jones alikuwa anawasahau smalling na lindeloff.
kwenye eneo la midfield hivyo hivyo anawasahau herrera na wenzake.
na mchezaji unapomweka benchi mara kwa mara unampotezea kujiamini na kumfanya aonekane useless.
nyakati za SAF hata ukimkuta ferdinand anacheza pamoja na smalling au evans pressure ilikuwa ni ya kawaida hata kama adui ni didier drogba.
rotation system ina faida kubwa sana kwenye timu kuliko hasara zake kwa uoni wangu.
mfano mwengine waangalie man city leo hii kelvin de bruyne hayupo kwenye kikosi lakini bernardo silva amerithi nafasi yake kwa umahiri mkubwa.
Inasemekana yupo sokoni JanuaryMarcos rojoView attachment 940759
Uwe unatoa na ww michango yakoNapenda kuwa msomaji apa, nafurahia sana
Kilichomponza Bailly, mechi 2majeruhi yamemuathiri marcos rojo kwenye maisha yake ya soka, halafu mourinho ana tabia ya kuchunukwa na mchezaji tofauti na SAF ambaye alikuwa ni muumini wa rotation squad, fikiria inafika mechi ya tano kwenye ligi kuu hajampa nafasi eric bailly na jamaa hana tatizo lolote la kiafya.
hata nyakati zile za combination ya bailly na rojo au jones alikuwa anawasahau smalling na lindeloff.
kwenye eneo la midfield hivyo hivyo anawasahau herrera na wenzake.
na mchezaji unapomweka benchi mara kwa mara unampotezea kujiamini na kumfanya aonekane useless.
nyakati za SAF hata ukimkuta ferdinand anacheza pamoja na smalling au evans pressure ilikuwa ni ya kawaida hata kama adui ni didier drogba.
rotation system ina faida kubwa sana kwenye timu kuliko hasara zake kwa uoni wangu.
mfano mwengine waangalie man city leo hii kelvin de bruyne hayupo kwenye kikosi lakini bernardo silva amerithi nafasi yake kwa umahiri mkubwa.
Akicheza na bailly naona mourinho anamfanyia kusudi ed woodward
Mkuu kwa nondo unazoongea zinaniumiza sana Tani unaweza Dhani kocha kaanza kufundisha soka msimu uliopita... He is not confident not good for us i guessKilichomponza Bailly, mechi 2
Mechi Brighton na mechi ya Newcastle
He had his chance. Tungekuwa bado tuna FA tungesema apewe mechi za FA ili arudishe confidence iliyopotea. Unless tusubiri Carabao Cup ili apewe nafasi.
After all, at least Smalling na Lindelof wameonesha stability pale nyuma (ANGALAU)
Nadhani Mourinho inabidi awaamini zaidi Mata, Herera na Fred (awape mechi nyingi zaidi)
Mkuu wote tuna hasira, tunatakiwa kuwa na uvumilivu tuMkuu kwa nondo unazoongea zinaniumiza sana Tani unaweza Dhani kocha kaanza kufundisha soka msimu uliopita... He is not confident not good for us i guess