Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi Mashabiki wa Chelsea hamjui kuwa kuna thread ya club yenu hapa jf kila siku mpo kwenye thread ya man u ?
 
Nyumbani kwenu huwa ndo mpo hivyo mnapamba mavi? Kuna mdau hapo kakwambia wewe unachojua ni matusi mpira hujui

Zaman mamluki wa city walikuwa wanamfananisha rashford na ihenacho naona tune imebadilika mamluk mpya umekuja na tune yako
Kama ambavyo umekuja na tune ya hazard na Martial yani kwenye kikosi chako una Hazard na Martila unaweza kumchukua Martil? Kweli kabisa uko mentali fit 😂
 
Kama ambavyo umekuja na tune ya hazard na Martial yani kwenye kikosi chako una Hazard na Martila unaweza kumchukua Martil? Kweli kabisa uko mentali fit
Sasa kama Barcelona walilipa mkwanja mrefu kwa dembele na coutinho wakamuacha hazard mimi nashindwaje kumpiga chini? Ananunuliwa mariano na madrid anapewa jezi ya ronaldo namba 7 anachwa hazard huoni kama inawezekana?
 
Sasa kama Barcelona walilipa mkwanja mrefu kwa dembele na coutinho wakamuacha hazard mimi nashindwaje kumpiga chini? Ananunuliwa mariano na madrid anapewa jezi ya ronaldo namba 7 anachwa hazard huini maajabu huoni kama inawezekana
Mkuu una akili Sana. Kwa maneno machache haya kwa wanaomtetea hazard wakiendelea kubisha ni sawa na kuvaa chupi kichwani.

Mechi ya juzi mpuuzi mmoja alibaki kumsifu harzard against rashford. Hakujua tu, aliniboa Sana, nashukuru kingomero langu lilibana punzi
 
Kwa hiyo wew unaamini utamakiza ligi juu ya Chelsea kwa wachezaji sampuli ya Rashford na Lingard..
Hivi mkuu hili swali ulikuwa na usingizi au umeropoka? Ile nafasi ya pili tuliyomaliza wewe ulikuwa bingwa? Au lingard na rashford hawakuwepo? Mi ndo mana nakwambia wewe unaongozwa na chuki msimu ulioisha tumemaliza juu yako hao madogo wakiwepo au huchez europa wewe?
 
Mkuu una akili Sana. Kwa maneno machache haya kwa wanaomtetea hazard wakiendelea kubisha ni sawa na kuvaa chupi kichwani.

Mechi ya juzi mpuuzi mmoja alibaki kumsifu harzard against rashford. Hakujua tu, aliniboa Sana, nashukuru kingomero langu lilibana punzi
Mkuu hawa madogo tunahitaji kuwasaidia kuna swali kauliza kama rashaford na libgard timu yetu inaweza kumaliza juu ya chelsea wakat yeye anacheza europa sijui alimaliza juu ya rashford na lingard
 
Back
Top Bottom