Kipindi anachukuwa ubingwa na porto alitufumuaga ki goli kimoja nyumban alikimbia uwanja mzima akateleza mbele ya sir alex alimaind sana tulikuwa tuna muda mrefu hatujafungwa hom mjinga alivunja rekod na timu ya kawaida tu.Kweli kabisa. Na amewananga kweli leo....
Hapo ndio utamu wa Mourinho unaponoga.View attachment 925339
Sasa subiri tuhitimishe weekend kwa kumchapa yule jirani mbwiga....utaona nyodo zake kwa game zitakazo fuata.Kipindi anachukuwa ubingwa na porto alitufumuaga ki goli kimoja nyumban alikimbia uwanja mzima akateleza mbele ya sir alex alimaind sana tulikuwa tuna muda mrefu hatujafungwa hom mjinga alivunja rekod na timu ya kawaida tu.
Huyo ndo jose mourinho
Huyu dogo jinga sanaRonaldo tumekulea wenyewe unafunga unatuonyesha six packs? Nadhani umeipata pata.. The King of comebacks
Rashford lile goli kakosaje jamani??..katengewa uzuri kabisa
Lukaku kawa obsolete kabisa. Kajilea ovyo baada ya kuona regardless ya performance yake mbovu bado MOUH alimpanga. Akaishia kujinenepea tu.Tunauwezo mzuri tu wa kuwachallenge City jumapili..Pogba akiwa form naamini kila kitu kitakaa sawa..
Keep lukaku out of the starting X1...
Nimekuja nakimbia uwiii nahemea juu juu tu!!!,huu umama kazi kweli embu nihadithieni nini kinaendelea mtaani huku nasikia tu Man United konk konk!!!!
Jamani mnisamehe mimi mtu wa Liver nimepita tu huku kuwapa hongera, ila jamani mmeshinda lakini Pogba anawangusha kwa kweli anatakiwa ku step up. kwanini anashindwa kufanya basic ya midifielders kapoteza mipira mingi sehemu mbaya kwa kweli. kwani mtu lazima upige chenga. Ukweli jana nimeamini Pogba bado sana kama anataka kuwa good player lazima abadilike. halafu eti hakutaka kushangalia mbona Ronaldo kashangilia halafu kama kawaomba msamaha Man u which is ok lakini raha ya mpira kushangilia. nachukia sana hawa wacheza waio shangilia sababu tu alichezea team fulani.Tunauwezo mzuri tu wa kuwachallenge City jumapili..Pogba akiwa form naamini kila kitu kitakaa sawa..
Keep lukaku out of the starting X1...
Niajeeeeeeeeenaona unachechemea.
Hawa Juve wanaenda nje ya ratiba ya msiba kwa kuzidi kuchelewesha mwili msibani. Watu watachelewa kuaga sasa
Tutashinda tuu Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Naona kama tutarudisha maturubai yetu Liverpool