Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hello Team naomba mwenye link ya kutazama hii game online anisaidie tafadhali.
 
Leo tunafanya maajabu pale Turin

Right wing yupo Lingard shauri yako!

Dah ila poleni sana Red Devils hahahahahahhahaha Maana katika vitu strange naviona ni Sanchez kucheza namba 9 hahahahhaha
 
Right wing yupo Lingard shauri yako!

Dah ila poleni sana Red Devils hahahahahahhahaha Maana katika vitu strange naviona ni Sanchez kucheza namba 9 hahahahhaha
Mkuu,umemfuatilia Sanchez kabla ya kuja MUFC?
 
Hapo katikati mwa uwanja panatisha hatari! Sijui viungo wetu watafanya nini.
 
Hii leo basi tu ushabiki ni kujipa matumaini, ila ingekuwa kubet nawapa Juve.

Ila kuushabiki, siikatii tamaa Man U
 
Back
Top Bottom