Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
walete man city
Taratibu na maneno yako mkuu
walete man city
Sure!Bado ntasimama na mourinho apewe majembe yake.
Msije kifanya huo ujinga ukicheza na man city..Game plan mkuu wangekimbia sana watachoka tuna mech kubwa tena na city
acha uwoga . nimekula leo 50k ya mtu .Taratibu na maneno yako mkuu
Anatoa pole kinyonge sana mkuu Mentor tatizo nini? Yani hata uefa nivulunde? Kunjua moyo mkuu.Naomba kabla haujapewa matokeo tukae kwanza kikao tuone tunawezaje kumfariji ndugu yetu Mentor
Huyu bwana jana alilipia maturubali,vyombo,mchele,maharage,nyama,kabichi pamoja na waliaji wa kukodi kutoka ile nyumba inayoomboleza msiba wa J4. Sasa sijui atarudisha vipi gharama zake.
Pole sana mkuu Mentor ila najua unafurahi kuona lile goli la Juan.
Unashangilia "own goal"
Naam faulu tamu sana kapiga.Naomba kabla haujapewa matokeo tukae kwanza kikao tuone tunawezaje kumfariji ndugu yetu Mentor
Huyu bwana jana alilipia maturubali,vyombo,mchele,maharage,nyama,kabichi pamoja na waliaji wa kukodi kutoka ile nyumba inayoomboleza msiba wa J4. Sasa sijui atarudisha vipi gharama zake.
Pole sana mkuu Mentor ila najua unafurahi kuona lile goli la Juan.
Mkuu sio leo.Huyu Fellaini...leo amekuwa hero.
Naomba kabla haujapewa matokeo tukae kwanza kikao tuone tunawezaje kumfariji ndugu yetu Mentor
Huyu bwana jana alilipia maturubali,vyombo,mchele,maharage,nyama,kabichi pamoja na waliaji wa kukodi kutoka ile nyumba inayoomboleza msiba wa J4. Sasa sijui atarudisha vipi gharama zake.
Pole sana mkuu Mentor ila najua unafurahi kuona lile goli la Juan.
Mkuu ukiona own goal ujue hali ilikuwa ni tete, mtu huwezi kuamua kujifunga tuUnashangilia "own goal"
Kapata funzo nilijifunza timu ya safar hii haina papara nafikir kocha anawajenga sana kikiliRonaldo tumekulea wenyewe unafunga unatuonyesha six packs? Nadhani umeipata pata.. The King of comebacks
Yani apo ndo mahali wanapokoseaga...Taratibu na maneno yako mkuu
Deby walifunga goli nne peke yao chelsea 1Mechi yenu na Derby ya Lampard mlifunga goli ngapi?
Sikutamani kumuona mandzukicYou got one thing right...nimefurahia goli la Mata.
Kocha wa Juve atakuwa anajuta kuchelewa kumweka Mandzukic. Dogo Cuadrado alishachoka long na machenga yake yasiyo na mantiki.
Kuhusu vyombo tulivyokodi nahisi tuviache tu hapa store maana weekend si mbali. Huyu mgonjwa bado tia maji tia maji.