Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Boss pole, hahhaha ukonk umetamalaki kwa MOUH... Ilipigwa comeback ya kihistoria... Na MOUH alivyojeuri akawapa ishara kuwa SIWASIKII as alikuwa anazomewa na mashabaki... Ronaldo nae anasahau UTD imemlea hadi kufika hapo alipo anatuoneshea 6 packs.... Yote kwa yote jana vijana wamejihakikishia kuvuka next level... Na iman kwa Club Brug kuna 3 points pale... Kaz ipo kwa Valencia walau wakaze sare then kilaini mtoano.
Mkuu ni Young boys sio Club brug. Baada ya mech hii ya Juve kupata ushindi naamin sasa tunaweza vuka round inayofuata japokuwa hatupaswi kubweteka.

Ggmu
 
Jamani mnisamehe mimi mtu wa Liver nimepita tu huku kuwapa hongera, ila jamani mmeshinda lakini Pogba anawangusha kwa kweli anatakiwa ku step up. kwanini anashindwa kufanya basic ya midifielders kapoteza mipira mingi sehemu mbaya kwa kweli. kwani mtu lazima upige chenga. Ukweli jana nimeamini Pogba bado sana kama anataka kuwa good player lazima abadilike. halafu eti hakutaka kushangalia mbona Ronaldo kashangilia halafu kama kawaomba msamaha Man u which is ok lakini raha ya mpira kushangilia. nachukia sana hawa wacheza waio shangilia sababu tu alichezea team fulani.
Sasa mbadala wa pogba unaifikiri ni nani? Maana usiishie tu kunyosha vidole unatakiwa kutoa mbadala...kwasasa anasaidia kwa kiasi fulani sio bure,ushindi tunaoupata ana mchango wake pia,
 
IMG_0770.JPG
Second Half FC
 
Boss pole, hahhaha ukonk umetamalaki kwa MOUH... Ilipigwa comeback ya kihistoria... Na MOUH alivyojeuri akawapa ishara kuwa SIWASIKII as alikuwa anazomewa na mashabaki... Ronaldo nae anasahau UTD imemlea hadi kufika hapo alipo anatuoneshea 6 packs.... Yote kwa yote jana vijana wamejihakikishia kuvuka next level... Na iman kwa Young Boys kuna 3 points pale... Kaz ipo kwa Valencia walau wakaze sare then kilaini mtoano.
Ahhhhh!!! Kumbe aiseee ngoja nitafute marudio nione,asante sanaaaaaaa
 
Hawa watani wetu sometime yes some time no ila tutashinda!!
Hahahha au watuchachafye watupe muda wa kujiuliza tena.... Ngoja tuone inakuwaje sisy.
But I do believe on team spirit now as washajua shangwe la ushindi lina nguvu gani.
 
You got one thing right...nimefurahia goli la Mata.

Kocha wa Juve atakuwa anajuta kuchelewa kumweka Mandzukic. Dogo Cuadrado alishachoka long na machenga yake yasiyo na mantiki.

Kuhusu vyombo tulivyokodi nahisi tuviache tu hapa store maana weekend si mbali. Huyu mgonjwa bado tia maji tia maji.

Hakuwa na mpango wakumuingiza Mandzukic, alimuingiza Bazagli kwenda kuongeza nguvu kwenye defense. Lengo lake lilikua ni kushikilia ushindi lile goli moja.
 
Back
Top Bottom