Hawa majirani tutawafunga tu, tena na hivi wanajifanya eti hawajafungwa.Lakini saivi wakianza kufunga huwa wanaendelea tu ..
Nyie mutaweza??
kwani mwaka jana tulivyonfunga 3 kwa 2 pale kwao etihadi ilikuaje si tulitokea nyuma au ufayilii mpira weweMsije kifanya huo ujinga ukicheza na man city..
Yeye akianza kufunga anaendelea tu...
Martial amekosa kama lile juziLilikuwa la kuchop tu pale. Angekuwa mata au martial lilikiwa goalla tatu lile. Dogo afanye practise kufunga magoli.
Nimemiss vituko vya mourinho aka special one kipindi akiwa anashinda tuuuuu huwa anakuaga na mzuka anaeweza rukia vitiView attachment 925334Siwasikii tena, siwasikiii mkisema!??
Fans said that?They said relax its only NEWCASTLE... Then they said relax its only BOURNEMOUTH... I guess now we have to relax its only JUVENTUS?View attachment 925332
Rashford lile goli kakosaje jamani??..katengewa uzuri kabisa
Martial sasa ni jembeMartial amekosa kama lile juzi
Kweli kabisa. Na amewananga kweli leo....Jose Mourinho ni fundi!! Shida watu hawamwamini na hasa mashabiki wa Man U. Mourinho akipata wachezaji wa Calibre yake, ni kocha mmoja fund sana.
Nahisi atakuwa kocha wa viungo itakuwa yalifanyia mazoezAlienda kushangilia na nani huyu? Mwalimu wa mipira iliyokufa au?
Dogo ana hamsha hamsha usimchukulie poaHuyu dogo sijui ana matatizo gani.